mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,493
- 767
Angalia maslahi zaidi,unaweza ukaenda huko na hilo gari lao halafu hakuna hata barabara,social services zipo mbali,but angalia kwanza mazingira ya huko mkoani kwanza halafu ukiona mazuri au mabaya ndo ufanye uamuzi
habarini JF
nipo dms nafanya kazi kampuni fulani ya simu.nimepata kibarua kingine kwenye kampuni nyingine ya simu kwa tofauti ya mshahara ya laki 2...i mean ya mkoani imezidi kwa laki 2 mshahara wa apa dar..........wananipa na gari ya kazi!!hardbody...lakini bado naona ugumu kuenda huko meatu...nishaurini niende au nibaki?

wewe huko Meatu hakufai bana ..kaa mujini fanya kazi kwa bidii tafuta namna ya kuingiza kipato nje ya mshahara wako ...sitaki hata kusikia yaani tofauti ya laki mbili 2 ,na hiyo gari sio yako binafsi ni ya ofisi..lol we panda daladala .bana ..
Kwani wewe ni mzaramo hadi ung'ang'anie Dar? Kwani Dsm ni nini jamani? Kuna kitu gani cha ziada unachopata ukiwa Dar es Salaam?habarini JF
nipo dms nafanya kazi kampuni fulani ya simu.nimepata kibarua kingine kwenye kampuni nyingine ya simu kwa tofauti ya mshahara ya laki 2...i mean ya mkoani imezidi kwa laki 2 mshahara wa apa dar..........wananipa na gari ya kazi!!hardbody...lakini bado naona ugumu kuenda huko meatu...nishaurini niende au nibaki?
*angalia maslahi ya kimaisha,na msimamao wa kampuni hiyo na unaweza kwenda huko mkoani alafu kampuni yenyewe ikawa haina future baadae.Alafu maisha ni popote*habarini JF