Lamisa Danish
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 285
- 626
Wakuu habarini?Naomba niende kwenye Hoja Moja kwa Moja!
Nina ndugu yangu amefanya KAZI kwa Mjerumani Mmoja akiwa kama Fundi Pump (Diesel Engines)kwa zaidi ya miaka 15 hivi,Akiwa na mkataba WA kudumu kwenye Ajira yake Sasa Mtoto wa Boss hamtaki kazini akitaka kumuondoa kwa kigezo Cha kupunguza Wafanyakazi sababu Kampuni haipati faida.
Sasa Kanuni inayotumika kumlipa mafao yake huyo ndugu yangu Ktk kipindi chote Cha utendaji KAZI wake ni hii.
BASIC SALARY÷26×7×10 +Basic Salary ×2
Yaani,
MSHAHARA gawanya kwa 26 UZIDISHE Mara 7 HALAFU Mara 10 HALAFU + MSHAHARA tena UZIDISHE Mara 2
Kama alikuwa anapokea Mshahara WA Tsh500,000/=
Inakuwa hivi 500,000÷26=19,230/=
19,230×7=134,610/=
134,610×10=1,346,100/=
1,346,100 + (500,000/=×2)
1,346,100+1,000,000=
TOTAL 2,346,1000/=
Je, kanuni hii ni Sahihi? Kama sio sahihi Kanuni IPI ni Sahihi yenye Faida zaidi kwa Mfanyakazi ambae ametumia muda wote huo kumtumikia Mwajiri wake?
Sheria za kazi pengine huenda n'a kubadilika kwa kufanyiwa marekebisho Je, Sheria iliyokuja n'a Kanuni hii ni ya mwaka gani?na haina maboresho?
Ni hayo tu.