Nimepata kazi lakini mshahara ni mdogo mno

Kuna wapuuzi humu huwa mnajiita mamilionaire ila kupitia huu uzi mmeingia king na kutaja status mbaya na ya kikapuku iliyotawala maisha yenu .Wtf .Eti mtu anasema laki 100000 , hivi unaweza endesha maisha kwa hizo senti kweli ? , duh
 
Think big act big , laki 6 kitu gani kwa life la sasa ? . Hiyo pesa ni peanut tu ambayo kiuhalisia hutafanikiwa kuwa na saving yoyote na mwisho wa yote ni perpetual enslavement , wengi mna akili fupi za kitumwa , hamwazi nje ya box
 
Hamjanielewa shida sio kufanana na mtu, hapana. Shida ni kua nalipwa kiwango kidogo.
Niendelee kutafuta sehemu nyingine au nifanye hapo baada ya miezi kadhaa ni re negotiate na boss.
Naomba ushauri sio matusi
Endelea kutafuta kazi nyingine mkuu,huto tupesa ni kidogo mno kwa graduate kama wewe.
 
Hamjanielewa shida sio kufanana na mtu, hapana. Shida ni kua nalipwa kiwango kidogo.
Niendelee kutafuta sehemu nyingine au nifanye hapo baada ya miezi kadhaa ni re negotiate na boss.
Naomba ushauri sio matusi
ulimuuliza huyo Kijana kazi anayoifanya
mbona mishahara mingi tu ipo lakini ukubaliane na Mabaharia? wauza unga
Mdogo wetu ridhika na huo mshahara ni hallali kabisa haujatakatishwa kwa miaka hii ya hapa kazi
 
Tubadilishane... Njoo huku mtaani, mimi nije nilipwe hata laki 5 tu.
 
Aisee
 
Jamaa kafuta Jamii forum kabisaa
Wadau kweli maisha magumu maana mmemchamba mpaka kakimbia aisee..
 
Bila shaka ushawaza apartment maeneo ya Mbezi beach, kununua Toyota Brevis/Mark X na demu mkali kama Rihana!
 
Hamjanielewa shida sio kufanana na mtu, hapana. Shida ni kua nalipwa kiwango kidogo.
Niendelee kutafuta sehemu nyingine au nifanye hapo baada ya miezi kadhaa ni re negotiate na boss.
Naomba ushauri sio matusi

Acha kazi bruh ukatafute pengine
 
Shida zako ni zako .Don't inflict your own miserable life style into others lives . Usidhani kila mtu ana ndoto za kuishi kimaskini kama wewe . Kama hukuwa na cha kumshauri ni bora usingeandika upupu kama huu ulioandika . Pumbavu

Mkuu how much are you making per month?approximately
 
UONGO OG
 
huo ni uongo, kwa hali ya nchi ilivuo sasa,watu hawaangalii tena elimu, wala elimu naona maana, cha maana n ela, uyu jamaa n muongo
 
Kupata kazi nzuri ukiwa home ni ngumu saana,

Cha kufaya, anza kazi then endelea kuapply kwingine. ukipata pazuri zaidi utaacha hapo na kwenda huko kwuzuri zaidi.

In mean time, utakuwa unajenga CV na kupata hela ya kuombea kazi nzuri zaidi
 
dah!
hizi comments mpk mleta mada itakuwa kafuta na JF yenyewe πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…