Mshahara wa Tsh. 350,000/- ni mkubwa mno kwa mtumishi anayeanza kazi, halafu bachela

Screenshot_20221101-223122.png
hii 👆👆ni avatar yako.. kweli kwa uko unapoishi 350,000 ni nyingi sana,uko mnaishi na ndege tu
 
View attachment 2404491hii ni avatar yako kweli kwa uko unapoishi 350,000 ni nyingi sana,uko mnaishi na ndege tu
Huyo jamaa yupo Kwenye mashamba ya miwa huko ni mshahara wa Supervisor Maana nyumba wanapewa hawajui bili ya umeme Wala maji nguo wanapewa viatu wanapewa kiufupi wanalelewa

Siku wanapofukuzwa kazi ndio wanakuja kuexperience reality.
 
Ina maana mkuu mimi nafanyia kazi hela yako ya posho dah
Hapana sio mimi,nimesema kwa watu wengine, mimi ni mchoma mkaa minjingu mkuu,mambo ya mishahara nishasahau tangia 2008. Ila kuna watu wanapata mipunga mingi sana kwa mwezi, nakumbuka long time sana MD wa mgodi wa mwanza huko alikuwa anakunja 80m kwa mwezi na alikuwa analala Sheraton Hotel Dar lakini kazi Mwanza ,alikuwa daily anakula mwewe.
 
Hapana sio mimi,nimesema kwa watu wengine ,mimi ni mchoma mkaa minjingu mkuu,mambo ya mishahara nishasahau tangia 2008......ila kuna watu wanapata mipunga mingi sana kwa mwezi ,nakumbuka long time sana MD wa mgodi wa mwanza huko alikuwa anakunja 80m kwa mwezi na alikuwa analala Sheraton Hotel Dar lakini kazi Mwanza ,alikuwa daily anakula mwewe.
Kuna wengine wanakula mshahara laki 1 tu na mtu ana komaa na kazi.yaani africa haina tofauti na motoni
 
Back
Top Bottom