Nimepata kazi lakini mshahara ni mdogo mno

Habarini humu ndani

Kama nimekosea jukwaa mtanisamehe. Mimi ni fresh graduate. Nimemaliza chuo mwaka jana. Katika mishe za kutafuta kazi nimehangaika sana. Nime apply sehemu kama 10+ hakuna hata moja nilioitwa interview.

Basi hivi karibuni kuna dada alinielekeza mahali akaniambia hiyo sehemu kazi zipo ila wanalipa hela kidogo sana nenda pale muulizie flani huyo ndo anaajiri hapo.. Nikaenda kupeleka documents zangu hata hakufungua yule jamaa. Baada ya kuuliza chuo nlichosoma basi akaniuliza unataka mshahara wa shillingi ngapi. I asked how much do you offer akasema Tsh 600,000 kiwango ambacho ni kidogo zaidi ya salary scale ya serikali (tsh 980,000) Kwa kua sijui ni uoga au ni desperation basi nikakubali. Akaniambia baada ya kuweka mambo yangu sawa nirudi.

Baada ya kutoka pale nilikua nimefurahi sana finally nimepata kazi lakini kila nikifikiria sina amani. I feel stupid. Nimeongea na rafiki yangu ameniambia yeye kapata kazi analipwa 1.5M hapo ndo nimechangamyikiwa kabisa. Nafikiria sijui nipotezee nisirudi pale. Sielewi cha kufanya. Kazi nataka lakini pesa ndogo. Sijui nifanye nini.
Acha hiyo kazi
 
Mara ya Kwanza wakt naanza kazi mshahara wangu ulikuwa 28000 had nimesatafu yaani kwa sas Niko jobless nilikuwa mshara wangu wa mwisho kupokeaa ni almost 750000 sas huwa nawaza hawa wanaolipwa mamilioni ni kina Nan je maisha yao yao yakoje. Sas wew laki sitaa
 
Hamjanielewa shida sio kufanana na mtu, hapana. Shida ni kua nalipwa kiwango kidogo.
Niendelee kutafuta sehemu nyingine au nifanye hapo baada ya miezi kadhaa ni re negotiate na boss.
Naomba ushauri sio matusi
Matako yako ww, usitusumbue hapa watu mwaka wa 9 huu tunaitafuta laki 5 ww unaona ndogo hiyo? Kaolewe sasa upewe nyingi mpuuzi kabisa
 
Wakati naaza kazi 2009 kwenye kampuni X niliaza na Tshs 250,000 wakati rafiki yangu wa karibu alikuwa analipwa 1M. nikafanya kazi hapo kwa muda mrefu kama miaka 6 nilijiendeleza vizuri tuuh mpaka naondoka nilikuwa nalipwa 1.2M.

Baada ya kuondoka nilipata kazi sehemu ya 2.8M nikapiga kazi zuri tuuh mpaka leo nalipwa 4.9M na allowance zingine... nimeshafanya maendeleo mengi tuuh lakini wezangu yeye hata kujenga bado... pamoja na kulipwa 4M kama mimi... You should never compare youself with other, every person has it’s own way to success. The only God know you next chapter. Only advise i give to you work Hard have a focus and vision. Never allow someone to discourage your vision. Vijana wengi wanaishi kwa kukalili sana maisha. Tunatakiwa kusali na kufanya kazi kwa Bidii.
4.9m
 
Habarini humu ndani

Kama nimekosea jukwaa mtanisamehe. Mimi ni fresh graduate. Nimemaliza chuo mwaka jana. Katika mishe za kutafuta kazi nimehangaika sana. Nime apply sehemu kama 10+ hakuna hata moja nilioitwa interview.

Basi hivi karibuni kuna dada alinielekeza mahali akaniambia hiyo sehemu kazi zipo ila wanalipa hela kidogo sana nenda pale muulizie flani huyo ndo anaajiri hapo.. Nikaenda kupeleka documents zangu hata hakufungua yule jamaa. Baada ya kuuliza chuo nlichosoma basi akaniuliza unataka mshahara wa shillingi ngapi. I asked how much do you offer akasema Tsh 600,000 kiwango ambacho ni kidogo zaidi ya salary scale ya serikali (tsh 980,000) Kwa kua sijui ni uoga au ni desperation basi nikakubali. Akaniambia baada ya kuweka mambo yangu sawa nirudi.

Baada ya kutoka pale nilikua nimefurahi sana finally nimepata kazi lakini kila nikifikiria sina amani. I feel stupid. Nimeongea na rafiki yangu ameniambia yeye kapata kazi analipwa 1.5M hapo ndo nimechangamyikiwa kabisa. Nafikiria sijui nipotezee nisirudi pale. Sielewi cha kufanya. Kazi nataka lakini pesa ndogo. Sijui nifanye nini.
Kwa kifupi wewe ni mjinga. Mpuuzi kabisa.
 
Nenda kale makaratasi yako kama unaona umewini sana na hako ka digirii.huna uzoefu, unataka mshahara mkubwa
 
Habarini humu ndani

Kama nimekosea jukwaa mtanisamehe. Mimi ni fresh graduate. Nimemaliza chuo mwaka jana. Katika mishe za kutafuta kazi nimehangaika sana. Nime apply sehemu kama 10+ hakuna hata moja nilioitwa interview.

Basi hivi karibuni kuna dada alinielekeza mahali akaniambia hiyo sehemu kazi zipo ila wanalipa hela kidogo sana nenda pale muulizie flani huyo ndo anaajiri hapo.. Nikaenda kupeleka documents zangu hata hakufungua yule jamaa. Baada ya kuuliza chuo nlichosoma basi akaniuliza unataka mshahara wa shillingi ngapi. I asked how much do you offer akasema Tsh 600,000 kiwango ambacho ni kidogo zaidi ya salary scale ya serikali (tsh 980,000) Kwa kua sijui ni uoga au ni desperation basi nikakubali. Akaniambia baada ya kuweka mambo yangu sawa nirudi.

Baada ya kutoka pale nilikua nimefurahi sana finally nimepata kazi lakini kila nikifikiria sina amani. I feel stupid. Nimeongea na rafiki yangu ameniambia yeye kapata kazi analipwa 1.5M hapo ndo nimechangamyikiwa kabisa. Nafikiria sijui nipotezee nisirudi pale. Sielewi cha kufanya. Kazi nataka lakini pesa ndogo. Sijui nifanye nini.
Kama unaona hiyo hela ni ndogo basi acha kazi ili uone kazi
 
Acha ujinga, hela iko mtaani, njoo ujiajiri
 
Sijui kama upo serious na maisha yako. Kuna raia wenzako wana mwaka wa tano huu wanajitolea kwenye taasisi wanaambulia michango tu ya nauli chakula na posho kama ikitokea.

Ila wewe unaambiwa utaanza na mshahara wa laki sita unaona una dharaulika.... Duh dogo haujachapwa na maisha. Labda kama nyumbani kwenu ji sololabien baba CEO mama mkurugenzi, kaka meneja, dada branch meneger.... Ila kama ni mwenzetu na sisi nafsi ya tatu wingi then tusubirie basi hiyo ajira ya muujiza.
 
Kwamba daktari yeye ana matumizi tofauti na mwalimu, kwamba mwalimu hakusoma, Kwamba Daktar anafanya kazi masaa 24. Mjusi wa blue wewe
Acha bangi zako. Daktari na mwalimu wakilipwa sawa, nani atahangaika kusoma kozi miaka 5 akatoka na deni la HESLB zaidi ya 20M wakati angesoma miaka 3 na kudaiwa around 15M.
 
Wakati naaza kazi 2009 kwenye kampuni X niliaza na Tshs 250,000 wakati rafiki yangu wa karibu alikuwa analipwa 1M. nikafanya kazi hapo kwa muda mrefu kama miaka 6 nilijiendeleza vizuri tuuh mpaka naondoka nilikuwa nalipwa 1.2M.

Baada ya kuondoka nilipata kazi sehemu ya 2.8M nikapiga kazi zuri tuuh mpaka leo nalipwa 4.9M na allowance zingine... nimeshafanya maendeleo mengi tuuh lakini wezangu yeye hata kujenga bado... pamoja na kulipwa 4M kama mimi... You should never compare youself with other, every person has it’s own way to success. The only God know you next chapter. Only advise i give to you work Hard have a focus and vision. Never allow someone to discourage your vision. Vijana wengi wanaishi kwa kukalili sana maisha. Tunatakiwa kusali na kufanya kazi kwa Bidii.
Fact
 
Back
Top Bottom