Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kutafuta kazi nyingine mkuu,huto tupesa ni kidogo mno kwa graduate kama wewe.Hamjanielewa shida sio kufanana na mtu, hapana. Shida ni kua nalipwa kiwango kidogo.
Niendelee kutafuta sehemu nyingine au nifanye hapo baada ya miezi kadhaa ni re negotiate na boss.
Naomba ushauri sio matusi
ulimuuliza huyo Kijana kazi anayoifanyaHamjanielewa shida sio kufanana na mtu, hapana. Shida ni kua nalipwa kiwango kidogo.
Niendelee kutafuta sehemu nyingine au nifanye hapo baada ya miezi kadhaa ni re negotiate na boss.
Naomba ushauri sio matusi
Baada ya kutoka pale nilikua nimefurahi sana finally nimepata kazi lakini kila nikifikiria sina amani. I feel stupid. Nimeongea na rafiki yangu ameniambia yeye kapata kazi analipwa 1.5M hapo ndo nimechangamyikiwa kabisa. Nafikiria sijui nipotezee nisirudi pale. Sielewi cha kufanya. Kazi nataka lakini pesa ndogo. Sijui nifanye nini.
Sisi maaskari watu kama nyie huwa tunasema mnatiwa980 ni scale ya serikali. Nitakua nalipwa 600 kwa mwezi.
AiseeWewe ni mpumbavu nami naomba nikazie hapo, wenzio wanatafuta mahali pa internship wapewe angalau 2000 ya nauli kwa siku, na hawapati. Alafu wewe umepata kazi ya kudumu ya mshahara wa laki 600k, na huna majukumu yyt unakula kwa kengele, alafu unakuja kutupandisha visukari watu wenye ndevu za matako bila sababu, maana yake nn?
Aisee umewaghadhibisha wengi sana, sababu kuna watu na familia zao zenye watoto wanapokea mshahara chini ya huo, na maisha yanasonga.
Yafaa uombe mods waufute huu uzi au, utuombe radhi mkuu.
Hamjanielewa shida sio kufanana na mtu, hapana. Shida ni kua nalipwa kiwango kidogo.
Niendelee kutafuta sehemu nyingine au nifanye hapo baada ya miezi kadhaa ni re negotiate na boss.
Naomba ushauri sio matusi
Shida zako ni zako .Don't inflict your own miserable life style into others lives . Usidhani kila mtu ana ndoto za kuishi kimaskini kama wewe . Kama hukuwa na cha kumshauri ni bora usingeandika upupu kama huu ulioandika . Pumbavu
UONGO OGHabarini humu ndani
Kama nimekosea jukwaa mtanisamehe. Mimi ni fresh graduate. Nimemaliza chuo mwaka jana. Katika mishe za kutafuta kazi nimehangaika sana. Nime apply sehemu kama 10+ hakuna hata moja nilioitwa interview.
Basi hivi karibuni kuna dada alinielekeza mahali akaniambia hiyo sehemu kazi zipo ila wanalipa hela kidogo sana nenda pale muulizie flani huyo ndo anaajiri hapo.. Nikaenda kupeleka documents zangu hata hakufungua yule jamaa. Baada ya kuuliza chuo nlichosoma basi akaniuliza unataka mshahara wa shillingi ngapi. I asked how much do you offer akasema Tsh 600,000 kiwango ambacho ni kidogo zaidi ya salary scale ya serikali (tsh 980,000) Kwa kua sijui ni uoga au ni desperation basi nikakubali. Akaniambia baada ya kuweka mambo yangu sawa nirudi.