Nimepata kazi lakini mshahara ni mdogo mno

Kubwalijalo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2018
Messages
325
Points
250

Kubwalijalo

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2018
325 250
Usikubali laki 6 nikidogo mnoo kaka. Walau akulipe 9.5M kwa elimu yako na chuo ulichosoma. Achana nao hao jamaa wa laki6. Sasa laki6 inakufikisha wapi zaidi yakulipia chumba na mahitaji madogodogo bado hapo hujamuhonga demu wako.
 

Selemani944

Member
Joined
Jun 15, 2019
Messages
10
Points
45

Selemani944

Member
Joined Jun 15, 2019
10 45
Habarini humu ndani

Kama nimekosea jukwaa mtanisamehe. Mimi ni fresh graduate. Nimemaliza chuo mwaka jana. Katika mishe za kutafuta kazi nimehangaika sana. Nime apply sehemu kama 10+ hakuna hata moja nilioitwa interview.

Basi hivi karibuni kuna dada alinielekeza mahali akaniambia hiyo sehemu kazi zipo ila wanalipa hela kidogo sana nenda pale muulizie flani huyo ndo anaajiri hapo.. Nikaenda kupeleka documents zangu hata hakufungua yule jamaa. Baada ya kuuliza chuo nlichosoma basi akaniuliza unataka mshahara wa shillingi ngapi. I asked how much do you offer akasema Tsh 600,000 kiwango ambacho ni kidogo zaidi ya salary scale ya serikali (tsh 980,000) Kwa kua sijui ni uoga au ni desperation basi nikakubali. Akaniambia baada ya kuweka mambo yangu sawa nirudi.

Baada ya kutoka pale nilikua nimefurahi sana finally nimepata kazi lakini kila nikifikiria sina amani. I feel stupid. Nimeongea na rafiki yangu ameniambia yeye kapata kazi analipwa 1.5M hapo ndo nimechangamyikiwa kabisa. Nafikiria sijui nipotezee nisirudi pale. Sielewi cha kufanya. Kazi nataka lakini pesa ndogo. Sijui nifanye nini.
Chakufanya kapige kazi ...uongeze uzoefu maana sikuhiz uzoefu ndio muhimu..
We vunga tu ... ipo siku utapiga zaidi ya 1.5m ya huyo mwenzio...

Jopo hujasema ni kazi gani
 

1987SANAWA

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
309
Points
500

1987SANAWA

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2013
309 500
Ulichoandika hapa ni sawa na mtu amekula milo mitatu alafu kisa haja pata juice anasema leo sijala, tena anasema mbele za watu ambao hawajala kabisa siku nzima.

Mkuu jifunze kutumia kichwa kufikiri kabla hujaandika upupu.
Ninacho msikitikia hata huyo salary scale ya government haijui afu anaandika tu. Msomi anaongea bila reliable reference, sidhani km anajua Luna watu wengi wanalipwa chini ya 300k na wanaishi.
 

NEVADA

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2017
Messages
330
Points
500

NEVADA

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2017
330 500
Kuna wapuuzi humu huwa mnajiita mamilionaire ila kupitia huu uzi mmeingia king na kutaja status mbaya na ya kikapuku iliyotawala maisha yenu .Wtf .Eti mtu anasema laki 100000 , hivi unaweza endesha maisha kwa hizo senti kweli ? , duh
 

NEVADA

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2017
Messages
330
Points
500

NEVADA

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2017
330 500
Think big act big , laki 6 kitu gani kwa life la sasa ? . Hiyo pesa ni peanut tu ambayo kiuhalisia hutafanikiwa kuwa na saving yoyote na mwisho wa yote ni perpetual enslavement , wengi mna akili fupi za kitumwa , hamwazi nje ya box
 

balibabambonahi

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Messages
7,741
Points
2,000

balibabambonahi

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2015
7,741 2,000
Hamjanielewa shida sio kufanana na mtu, hapana. Shida ni kua nalipwa kiwango kidogo.
Niendelee kutafuta sehemu nyingine au nifanye hapo baada ya miezi kadhaa ni re negotiate na boss.
Naomba ushauri sio matusi
Endelea kutafuta kazi nyingine mkuu,huto tupesa ni kidogo mno kwa graduate kama wewe.
 

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
9,997
Points
2,000

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
9,997 2,000
Hamjanielewa shida sio kufanana na mtu, hapana. Shida ni kua nalipwa kiwango kidogo.
Niendelee kutafuta sehemu nyingine au nifanye hapo baada ya miezi kadhaa ni re negotiate na boss.
Naomba ushauri sio matusi
ulimuuliza huyo Kijana kazi anayoifanya
mbona mishahara mingi tu ipo lakini ukubaliane na Mabaharia? wauza unga
Mdogo wetu ridhika na huo mshahara ni hallali kabisa haujatakatishwa kwa miaka hii ya hapa kazi
Baada ya kutoka pale nilikua nimefurahi sana finally nimepata kazi lakini kila nikifikiria sina amani. I feel stupid. Nimeongea na rafiki yangu ameniambia yeye kapata kazi analipwa 1.5M hapo ndo nimechangamyikiwa kabisa. Nafikiria sijui nipotezee nisirudi pale. Sielewi cha kufanya. Kazi nataka lakini pesa ndogo. Sijui nifanye nini.
 

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
11,588
Points
2,000

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
11,588 2,000
Wewe ni mpumbavu nami naomba nikazie hapo, wenzio wanatafuta mahali pa internship wapewe angalau 2000 ya nauli kwa siku, na hawapati. Alafu wewe umepata kazi ya kudumu ya mshahara wa laki 600k, na huna majukumu yyt unakula kwa kengele, alafu unakuja kutupandisha visukari watu wenye ndevu za matako bila sababu, maana yake nn?

Aisee umewaghadhibisha wengi sana, sababu kuna watu na familia zao zenye watoto wanapokea mshahara chini ya huo, na maisha yanasonga.

Yafaa uombe mods waufute huu uzi au, utuombe radhi mkuu.
Aisee
 

Forum statistics

Threads 1,344,375
Members 515,441
Posts 32,817,942
Top