AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 12,212
- 20,473
- Thread starter
-
- #21
Niliachaga pia almost 7 years but siku hizi nimeanza upya kunywa but situmii nyingine yoyote zaidi ya hio hapo mezani yaan kwanza sielewi zingine ladha tofauti nikitumia naumwa tumbo you see lakini nikinywa hio sisikii sijui tumbo kujaa sijui nini yaan najifeel good kabisa ndio maana imeanza kunitengenezea addiction unajua ukizoea kitu ikifika kila baada ya muda unataka kutumia hio ni addiction correct or not?Kwakweli huwa nashangaa pia, inaeza kupita hata mwezi au zaidi sijatumia soda au juice za kiwandani
Mzee soda unywaji wake ni tofauti na maji.Mkuu,
Nikwambie kitu? Mimi sipeendi kukaa muda mwingi hua natembea hata nikiwa nafungua hio chupa sipendi kunywa nimekaa chini hua nakunywa huku natembea nakunywa mpaka naimaliza yote
Mganga hatakiwi kunywa soda Bwashee anaua majini 😂Huo uchafu niliacha kunywa baada ya kua kila nikinywa natokewa na matezi, haina uzuri wowote
Bora unywe hata gongo kuliko hiyo sumuMganga hatakiwi kunywa soda Bwashee anaua majini 😂
Mkuu sasa hapo kwenye reward hapo ndio umesema neno, sasa hio kukata mitaa ndio nasikia raha zaidi siwezi kunywa nimekaa hio sio bia, kwanza sisikii ile ladha niikinywa nimekaa hata home lazima nipige huku nacheza nayo bluesMzee soda unywaji wake ni tofauti na maji.
Soda unakunywa kama pongezi au kujifurahisha ( Reward ) kama sehemu ya ulivyozoeza kuustarehesha mwili.
Bado naangalia huo unywaji huku unakata mitaa ...sijauelewa.
Kweeeli kabisa mkuu sio dhambi ni kweliFanya unachokipenda ilimradi siyo dhambi!
Maana kuna wengine wana addiction na yaliyo ya dhambi
Oya nasikia mnavikimbia visungura siku hizi hamtaki kua sungura wajanja mwisho mnakua sunguratope mnasema mkinywa nusu tu kesho ukiamka km ulichukuliwa na wachawi hivi ni kweli?Bora unywe hata gongo kuliko hiyo sumu
Aisee, kweli nimeamini siku za mwisho kutakua na manabii wa uongo.
Haina tofauti na Mitandao.Mkuu sasa hapo kwenye reward hapo ndio umesema neno, sasa hio kukata mitaa ndio nasikia raha zaidi siwezi kunywa nimekaa hio sio bia, kwanza sisikii ile ladha niikinywa nimekaa hata home lazima nipige huku nacheza nayo blues
Kwa hio hapo tunafanyaje kuna muda natakaga kuskip ila nashtuka nipo chupa ya pili ndio nagundua leo si nilisema sinywi hii na ubongo unaniambia malizia leo tuHaina tofauti na Mitandao.
Train Algorithm ( skeleton ya Maamuzi ) yako ...Sio kila kiu ikuletee Taka taka za kufanan ( Soda ).....Kila inapopita soda kichwan kama hujaipinga itazidi kuja soda hadi figo Ziwe za njano.
Sema unaweza ukawa una low blood sugar. Wewe unaiita addiction kumbe ni survival instinct ya mwili ili yendelee kuupa surgery drinksKwa hio hapo tunafanyaje kuna muda natakaga kuskip ila nashtuka nipo chupa ya pili ndio nagundua leo si nilisema sinywi hii na ubongo unaniambia malizia leo tu
Ngoja kwanza. Emu hapo eleza vizuri unamaanisha nini labda? Listen nikinywa hio kitu hata kijiko kimoja jinsi ninavyojisikia siwezi kukuelezea kuna ladha ipo humo ndio naifeel nothing elseSema unaweza ukawa una low blood sugar. Wewe unaiita addiction kumbe ni survival instinct ya mwili ili yendelee kuupa surgery drinks
Ubongo ndo unao control mwili wako, kama umepost hako kadude ili uwatangazie biashara basi shame on you. Ila kama ni kweli unajisikia hivo unavosema basi moja kwa moja una low blood sugar. Hiyo hali imewahi kunikuta kipindi nakunywa sana valeur na mi-wisky ya ajabu ajabu.Ngoja kwanza. Emu hapo eleza vizuri unamaanisha nini labda? Listen nikinywa hio kitu hata kijiko kimoja jinsi ninavyojisikia siwezi kukuelezea kuna ladha ipo humo ndio naifeel nothing else
Maumivu ya gepu la soda jua yatakuwepo ikifika mida yake mwili utadai ...Je upo tayari kurudishia mamlaka Akili na kurudishwa utmwa kwa mwili?Kwa hio hapo tunafanyaje kuna muda natakaga kuskip ila nashtuka nipo chupa ya pili ndio nagundua leo si nilisema sinywi hii na ubongo unaniambia malizia leo tu
Achana na hizo mambo ndugu, haya kama una-addiction kiasi gani, hiyo chupa nikiiona mwili unasisimuka, tumia kwa kiasi.Mkuu,
Nikwambie kitu? Mimi sipeendi kukaa muda mwingi hua natembea hata nikiwa nafungua hio chupa sipendi kunywa nimekaa chini hua nakunywa huku natembea nakunywa mpaka naimaliza yote