Kama mimi nitakuwa mpumbavu, wewe utakuwa mpumbavu namba 1 kwenye hii sayari.......
Mtu mwenye akili timamu huwezi kukaa unawatetea waendesha pikipiki.............mkishakoswa koswa na magari mnaanza kukashfu kuwa ni ya mkopo, kama kukopeshwa gari ni rahisi, na wewe si ukakope...
Nina mashaka utakuwa kuna nati mbili zimelegea kwenye ubongo wako..
Hata kama unaendesha pikipiki ya milini 150, jichanganye nayo uone kitu unafanya...kenge kabisa
Narudia tena, kesi ya kumvunja boda boda mguu ni nyepesi, kuliko ya kumvunja ng'ombe mguu...
Ng'ombe mwenye thamani ya laki 8 ukimvunja mguu, hawekewi POP...lazima achinjwe aliwe....hapo ni laiki 8 inakuwa imemtoka mtenda kosa..
Wewe nikikuvunja mguu, nakupeleka hospitali ya wilaya, matibabu na P.O.P havitazidi laki 2....baada ya hapo nakutelekeza ukauguze mguu wako miezi 6+
Unajua majanga ambayo tumeshakutana nayo au tuliyoshuhudia yakifanywa na boda boda na bado wanakimbia, na wenzao kijiwe kizima wanawahifadhi..? Au unaropoka tu....
Boda boda wanajidai hawana akili, sasa huku Arusha kuna kampeni ya kuwatia adabu....na wale wenye akili wameanza kubadilika.....
Unapewa bodi tu, ukavunjikie mbavu kule mtaroni...
Jana tu, nimetaka kukutana na janga la bodaboda...halafu unaongea pumba hapa...
Ujinga kama ni mali, peleka sokoni uuze upate faida...
Sitakujibu tena maana wewe unaonekana ni mwenyekiti wa wapumbavu..
That's all....Wasalimie.....





