Nimeona vibaya Naibu Spika au ni kweli ni Mama kijacho?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Sasa hiv nmemuona kupitia itv kama mgeni rasmi kwenye mahafali ya JKT mgulani ebu mlio karbu nae nijibuni swali hili; Mh Dr Tulia ni Mama kijacho au kanenepa tu? Natambua kuwa ni mwana mama na ana haki ya kuwa na mtt ila naomba kujua maana amekuwa akinivutia na umbo lake no nane ila leo sijaliona tena
 
Usitamani mwanamke asiye mke wako
 
Sasa hiv nmemuona kupitia itv kama mgeni rasmi kwenye mahafali ya JKT mgulani ebu mlio karbu nae nijibuni swali hili; Mh Dr Tulia ni Mama kijacho au kanenepa tu? Natambua kuwa ni mwana mama na ana haki ya kuwa na mtt ila naomba kujua maana amekuwa akinivutia na umbo lake no nane ila leo sijaliona tena
Weka picha
 
Haikuhusu, angalia za amber rutty
 
Back
Top Bottom