LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 4,647
- 12,895
Niwie radhi mdogo anguNitake radhi kijana

Wewe ni mtu mwenye nyege za hatari,hivi uchi wa mwaname ulionaje?,alikuwa kachutama? kasimama? au alikuwa anachamba? haya tuseme ndio umeuona huo uchi,ndiyo utuletee hapa?Wakuu
Kwa masikitiko makubwa sana naleta huu uzi hapa jamvini.
Nimemtembelea rafiki yangu ambae aliniambia yuko likizo nyumbani kwao,sasa nimefika nikapiga hodi hakuna aliyeitikia,nikaamua kukaa nje tu pale nisubiri wahusika waje,huyu jamaa kwao wanatumia bafu la nje,nikaona mlango wa bafu unafunguliwa,mama wa jamaa akatoka akawa kama anajifunika kanga hivi vizuri nikaona uchi wake.huyu mama kiumri ni mtu mzima huenda akawa na miaka 60+.alivyoniona akaniambia tu kyanyangwe mwanangu hujambo nami nikazuga ka sijaona k yake nikawa namsalimia kwa adabu zote.
Huu utupu wake kuuona umeniacha na mawazo sana kwa kweli nisije nikapata laana bure.
Unafikiri ilitokea kweli?It was by accident. Why do you report it?
I want to laugh but we are solving family issue my grandmother is pregnant 😂😂. They might think am laughing at herWakuu
Kwa masikitiko makubwa sana naleta huu uzi hapa jamvini.
Nimemtembelea rafiki yangu ambae aliniambia yuko likizo nyumbani kwao,sasa nimefika nikapiga hodi hakuna aliyeitikia,nikaamua kukaa nje tu pale nisubiri wahusika waje,huyu jamaa kwao wanatumia bafu la nje,nikaona mlango wa bafu unafunguliwa,mama wa jamaa akatoka akawa kama anajifunika kanga hivi vizuri nikaona uchi wake.huyu mama kiumri ni mtu mzima huenda akawa na miaka 60+.alivyoniona akaniambia tu kyanyangwe mwanangu hujambo nami nikazuga ka sijaona k yake nikawa namsalimia kwa adabu zote.
Huu utupu wake kuuona umeniacha na mawazo sana kwa kweli nisije nikapata laana bure.
😂😂😂 daaah hahahaha noma sanaaWatu wote tuna matatizo ya akili, ni suala la muda tuu.
Mtu mzima akivuliwa nguo, asimami uchutamaNa sisi kwetu tunamsemo unasema " Mtu mzima ukidondosha nguo /taulo/khanga usiiname kuliokota kwani utapata aibu mara mbili"
Yaani mambo kama haya yanisikitisha na kuchekesha kwa wakati mmoja.Wakuu
Kwa masikitiko makubwa sana naleta huu uzi hapa jamvini.
Nimemtembelea rafiki yangu ambae aliniambia yuko likizo nyumbani kwao,sasa nimefika nikapiga hodi hakuna aliyeitikia,nikaamua kukaa nje tu pale nisubiri wahusika waje,huyu jamaa kwao wanatumia bafu la nje,nikaona mlango wa bafu unafunguliwa,mama wa jamaa akatoka akawa kama anajifunika kanga hivi vizuri nikaona uchi wake.huyu mama kiumri ni mtu mzima huenda akawa na miaka 60+.alivyoniona akaniambia tu kyanyangwe mwanangu hujambo nami nikazuga ka sijaona k yake nikawa namsalimia kwa adabu zote.
Huu utupu wake kuuona umeniacha na mawazo sana kwa kweli nisije nikapata laana bure.
Acha tu nchi iuzwe kwa Hali hii maake jana umetoka kumlalia mama mkwe 2008Yaani mambo kama haya yanisikitisha na kuchekesha kwa wakati mmoja.
Binafsi nilishamkuta mama mmoja wa jirani akiwa anakojoa kwenye nyumba ambayo bodo haijakamilika (nyumba ilikuwa kwenye kiwango cha lenta) baada ya kubanwa na mkojo mkali.
Aliponiona akawa hana Cha kufanya kwa kujitutumua akasema " secretarybird njoo tukojoe".
Nilimwone sana huruma yule mama maanq Kila akiniona anakosa confidence.
Cc Lamomy Mshangazi dot com Monetary doctor mzabzab Mbaga Jr BICHWA KOMWE -.
Sujamlalia mbona😂Acha tu nchi iuzwe kwa Hali hii maake jana umetoka kumlalia mama mkwe 2008