Nimeona uchi wa mama wa rafiki yangu.

Nimeona uchi wa mama wa rafiki yangu.

Wakuu
Kwa masikitiko makubwa sana naleta huu uzi hapa jamvini.
Nimemtembelea rafiki yangu ambae aliniambia yuko likizo nyumbani kwao,sasa nimefika nikapiga hodi hakuna aliyeitikia,nikaamua kukaa nje tu pale nisubiri wahusika waje,huyu jamaa kwao wanatumia bafu la nje,nikaona mlango wa bafu unafunguliwa,mama wa jamaa akatoka akawa kama anajifunika kanga hivi vizuri nikaona uchi wake.huyu mama kiumri ni mtu mzima huenda akawa na miaka 60+.alivyoniona akaniambia tu kyanyangwe mwanangu hujambo nami nikazuga ka sijaona k yake nikawa namsalimia kwa adabu zote.
Huu utupu wake kuuona umeniacha na mawazo sana kwa kweli nisije nikapata laana bure.
Hahaha
 
Kuna mtu kwenye biblia aliona uchi wa babake na kuwataarifu kaka zake na alilaaniwa, wewe umeona uchi wa mama wa rafiki yako( kimaadili ni mama yako) unautangazia ulimwengu hapa JF hiyo ni laana kubwa. Ungekaa tu kimya.
 
Hii iliwahi nitokea,,,siku hiyo nimetembelea jamaa angu kwao choo kipo uwani namuita JXXX JXX nikafika mpaka sebuleni kimya nikaona ngoja niende uwani la haula uso kwa uso na mama yake mzazi ametoka chooni uchi wa mnyama kufuata kanga iliyokua nje imeanikwa kwenye kamba, bi mother alidhani nje hakuna mtu nilisepa sikurudi tena mpaka wanahama ile nyumba. Kipindi hiko niko na miaka 16.
 
Back
Top Bottom