Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 13,610
- 25,762
Simjui namjua kakobe tuuHalafu hapo mpakani senta Kuna apostle wangu mmoja anajiita Inyaki Nyakia.
Anajua kutabiri ile mbaya.

Kwahiyo ulimkojolesha kwa mara nyingine mama wa watu 💦 au ilikuwaje, hebu malizia stori vizuri 🤣🤣🤣Yaani mambo kama haya yanisikitisha na kuchekesha kwa wakati mmoja.
Binafsi nilishamkuta mama mmoja wa jirani akiwa anakojoa kwenye nyumba ambayo bodo haijakamilika (nyumba ilikuwa kwenye kiwango cha lenta) baada ya kubanwa na mkojo mkali.
Aliponiona akawa hana Cha kufanya kwa kujitutumua akasema " secretarybird njoo tukojoe".
Nilimwone sana huruma yule mama maanq Kila akiniona anakosa confidence.
Cc Lamomy Mshangazi dot com Monetary doctor mzabzab Mbaga Jr BICHWA KOMWE -.
Huenda hata ni kiongozi mkubwa tu tena yuko hata ikulu.Huyu ndio anakuja kuwa mkuu wa kitengo fulani kwenye taasisi ya umma
Kakobe ni muongo yaani no mzee wa fix fix.Simjui namjua kakobe tuu
La hasha. Nililia kwa huruma maana alikuwa mama niliyekuwa namuheshimu sana.Kwahiyo ulimkojolesha kwa mara nyingine mama wa watu 💦 au ilikuwaje, hebu malizia stori vizuri 🤣🤣🤣
Teh teh teh kuna Uzi wa mirambo umeuona?Kakobe ni muongo yaani no mzee wa fix fix.
Hapana mkuu.Teh teh teh kuna Uzi wa mirambo umeuona?
Nshakutag unakaa hapo umepakatwa tuu shauri yakoHapana mkuu.
Niko kifuani mwa mshangazi na akili imenichoropoka kwa utamu wa mbususu.Nshakutag unakaa hapo umepakatwa tuu shauri yako
kyanyangwe mwanangu sasa umelaanika... 🙂Wakuu
Kwa masikitiko makubwa sana naleta huu uzi hapa jamvini.
Nimemtembelea rafiki yangu ambae aliniambia yuko likizo nyumbani kwao,sasa nimefika nikapiga hodi hakuna aliyeitikia,nikaamua kukaa nje tu pale nisubiri wahusika waje,huyu jamaa kwao wanatumia bafu la nje,nikaona mlango wa bafu unafunguliwa,mama wa jamaa akatoka akawa kama anajifunika kanga hivi vizuri nikaona uchi wake.huyu mama kiumri ni mtu mzima huenda akawa na miaka 60+.alivyoniona akaniambia tu kyanyangwe mwanangu hujambo nami nikazuga ka sijaona k yake nikawa namsalimia kwa adabu zote.
Huu utupu wake kuuona umeniacha na mawazo sana kwa kweli nisije nikapata laana bure.
Ikimbie zinaa vijana tujipe mudaNiko kifuani mwa mshangazi na akili imenichoropoka kwa utamu wa mbususu.
Hapana bana!Ikimbie zinaa vijana tujipe muda
Yaani ameshaona halafu afumbe itasaidia nini mkuuPumbavu, uwe unafumba macho uonapo wakubwa wako uchu
Kwanini unamsanua mkuu. Huyu muache afe akiwa hajitambui kabisaLaana unayo muda mrefu sema hujui tu
Hata sasa hatajijua.😂😂Kwanini unamsanua mkuu. Huyu muache afe akiwa hajitambui kabisa
Laana itakujia kwa kuja kusambaza hiyo habari. Vinginevyo ungefuta tu kwenye mawazo yako!Wakuu
Kwa masikitiko makubwa sana naleta huu uzi hapa jamvini.
Nimemtembelea rafiki yangu ambae aliniambia yuko likizo nyumbani kwao,sasa nimefika nikapiga hodi hakuna aliyeitikia,nikaamua kukaa nje tu pale nisubiri wahusika waje,huyu jamaa kwao wanatumia bafu la nje,nikaona mlango wa bafu unafunguliwa,mama wa jamaa akatoka akawa kama anajifunika kanga hivi vizuri nikaona uchi wake.huyu mama kiumri ni mtu mzima huenda akawa na miaka 60+.alivyoniona akaniambia tu kyanyangwe mwanangu hujambo nami nikazuga ka sijaona k yake nikawa namsalimia kwa adabu zote.
Huu utupu wake kuuona umeniacha na mawazo sana kwa kweli nisije nikapata laana bure.
Kazi ipoWakuu