Nimeona Jiko kwa Wanyamwezi.

Taratibu zote nilizifuata, Wazazi wa Binti wakaridhia, matakwa yao nikatekeleza, ndoa ikafungwa, harusi ikafanyika. Mwenyezi Mungu atukuzwe, sasa naishi na Mke wangu, tuombeeni upendo, amani na furaha ndugu zangu wana Jf. Ahsanteni.
 
Hongera sana mkuu, tutakuombea, nina imani ulifurahia sana siku ya harusi, wanyamwezi huwa wana nyimbo nzuri sana za harusi
 
Taratibu zote nilizifuata, Wazazi wa Binti wakaridhia, matakwa yao nikatekeleza, ndoa ikafungwa, harusi ikafanyika. Mwenyezi Mungu atukuzwe, sasa naishi na Mke wangu, tuombeeni upendo, amani na furaha ndugu zangu wana Jf. Ahsanteni.

Hongera sana wewe na mkeo kwa kutimiza ahadi ya ndoa! Mungu awalinde!
 
Wadau kwa heshima na taadhima nawapa salamu!

Katika pitapita zangu nimeona Jiko linalonifaa kwa Wanyamwezi, tafadhali anayefahamu taratibu za kupata Jiko kwa Wanyamwezi anipe ujuzi ili nijitokeze kwao.

Natanguliza shukrani zangu za dhati!!!

Good luck and all the best

Last edited by a moderator:
Hongera sana wewe na mkeo kwa kutimiza ahadi ya ndoa! Mungu awalinde!

Kipipi dua zako juu yetu sisi Mungu amezipokea kwani kila jambo Mungu amelifanyz jema kwetu. nawe pia nakuombea mema.
 
Yaani sasa ndio nagundua huu uzi ni wa last year. Mnaendeleaje na mdogo wangu lakini?
 
He Kaunga kumbe Shem? Tunaendelea vizuri ndio mana nimerudi tena hapa la sivyo ningesepa kimyakimya, hakuna limbwata wala nini, mambo safi!!!
 
Nimefurahi sana kusikia hivyo shem, unao wengi tu humu mashem zako. Kama kawaida yetu, wako cool mcharuko mimi tu! LOL
 
Hongera mwaya..muombe Mungu,asiwe kama wengine baadhi wapulizaji, akipaliwa na maji tu kwa mganga! Mungu awalinde.
 
Back
Top Bottom