Nimeona Jiko kwa Wanyamwezi.

Halafu wanapenda mboga za majani, wanakuchanganyia na niaje kidogo kwenye mboga, unakua hubanduki home ha haaa ukitoka job hom au unaacha kabisa.
Tehetehetehe atakomaje? ndio dawa yao hawa.
 
Asante sana Ennie na wote mlionipa maujanja, Nimepeleka posa imepita bila kupingwa na mahari tumeshapangiwa tutaitwa rasmi kumalizia ushindi wa kishindo, Wanyamwezi ni wakarimu sana na hawana makuu a.k.a longolongo. Wanyamwezi mtakuwa Shemeji zangu nawapenda!!
 
Hao dada zetu wa kipande hiyo wako juu sana,inabidi na mahari utoe mara2 ya zile utakazotakiwa kutoa.
 
jiko la mchina, umeme, kuni, mkaa au gesi?

but seriously hongera sana, natu mai umemchunguza na kumjua vya kutosha, muwe na mafanikio mema, upande wa utaratibu inabidi utafute mshenga mnyamwezi (awe anajua taratibu za kinyamwezi, si washenga wa kuchonga hawa wa siku hizi) atakuelekeza cha kufanya...
 
asante kwa kunipongeza!
 
Ukiona sifa za kuokota ujue sio mzuka sana. Nafahamu taiba ya individual lakini kwa ujumla wanawake wa kinyamwezi sio house makers. Hawakawii kwenda Sikonge!!!!!!!! Wanapenda sana Malimbwata!! Wewe unamjua mtu wako 100x kuliko mimi ninayeropokaropoka hapa! Lakini nilitaka pia usikie na upande wa pili wa sh. ili uweze kuli address kama litajitokeza
 
Umemlipa mahari shemeji yako TB, mwambie akupe sifa za wanyamwezi......hongera sana mkuu kila la kheri
 
Asante sana Ennie na wote mlionipa maujanja, Nimepeleka posa imepita bila kupingwa na mahari tumeshapangiwa tutaitwa rasmi kumalizia ushindi wa kishindo, Wanyamwezi ni wakarimu sana na hawana makuu a.k.a longolongo. Wanyamwezi mtakuwa Shemeji zangu nawapenda!!
Karibu sana. Tuliho.
 
WanaJf anayejua ni muda gani mtu anatakiwa aandikishe ndoa kabla haijafungwa kimila, kidini na kiserikali.
 
Wadau kwa heshima na taadhima nawapa salamu!

Katika pitapita zangu nimeona Jiko linalonifaa kwa Wanyamwezi, tafadhali anayefahamu taratibu za kupata Jiko kwa Wanyamwezi anipe ujuzi ili nijitokeze kwao.

Natanguliza shukrani zangu za dhati!!!

kumbuka si kila king'aacho ni dhahabu..........na la msingi ni kuwa......................................alamskiki si matusi......................usidhani hisia zako zinamgusa huyo mdada.........................never take life for granted..............
 
Kama ni jiko la mkaa lililotengenezwa na mnyamwezi, unaweza ukalipata kwa sh. 5000 tu.
 
Karibu.ndo maana hata USA pana itwa unyamwezini.ukikosea step hakuna rangi tutaach kukuonyesha.kuwa makini nasi
 
kumbuka si kila king'aacho ni dhahabu..........na la msingi ni kuwa......................................alamskiki si matusi......................usidhani hisia zako zinamgusa huyo mdada.........................never take life for granted..............
Mhh Ruta?
 
Back
Top Bottom