Hata km ni masharti ya Mganga msifanye hivi

AXIOM APEX VERBOSE

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
12,655
Reaction score
21,457
Leo naomba niongee na mama zangu na dada zangu.

Kwanza nawapa heshima zenu wadogo marhaba na wakubwa habarini za sahizi.

Sasa kuna hili suala nimeliona leo kwenye usafiri wa umma nimeona nilitolee neno kidogo. Sitaingia moja kwa moja kwenye masuala ya shirki ila hata km kujisahau msijisahau kiasi hiki.

Ipo hivi;

Leo asubuhi nilifanikiwa kuingia kwenye usafiri wa umma kwenye kujichanganya nikadandia gari moja linaloelekea k/koo sikua naenda k/koo nilikua nashuka kituo cha kati, uzuri nikabahatika kupata siti waliofuata walisimama.

Sasa katika sehemu niliyokaa nikawa nimekandamizwa na wanawake watatu.

Usawa niliokuwepo nimekaa ni usawa ambao km kuna kitu kinatoa harufu ni rahisi sana kwa mimi kuisikia ile harufu.

Cha kustaajabisha ni kwamba nilianza kusikia harufu ya ajabu ajabu nikijaribu kutafakari nikagundua ile harufu ni kutoka kwenye k za wanawake waliosimama.

Sitaki kuandika sana ila niwasihi sana mama zangu na dada zangu mambo mawili moja muwe mnajisafisha na mbili hata km ni masharti ya mganga semeni hapana, sio kwa ile harufu.

Nimemaliza.
 
Hapo unakuta katoka kushonwa usiku kucha hadi alfajiri kisha akanawa uso huyoooo kukimbizana na daladala.

Kiukweli suala la usafi kwa wanawake wengi ni changamoto inayotakiwa kuingiliwa kati na mamlaka husika zinazodili na personal hygiene and sanitation.
 
Hv jaman, hizo kitu huwa zinatema sana? Maana wengne huwa tunasikia tu story hatujawah kupambana nazo! Leten experience ambao mmewah kupambana nazo, zinatoa kama nin?, kama panya aliyekufa au zinatoa kama nin?
Unazijua embe Moshi zikiiva?
Zinanukia Sana mpaka Huwa zinaweka na rangi flani ya weusi wa nuktanukta wenye kuvutia kwa kihehe tunaita useregete...
Sasa hakuna kitu napenda kama harufu ya Mbunye Tena iwe imetoka period kama siku mbili nyuma hivi, naweza kaa chumvini masaa 6 mpaka usingizi ukanipitia
 
Leo naomba niongee na mama zangu na dada zangu.

Kwanza nawapa heshima zenu wadogo marhaba na wakubwa habarini za sahizi.

Sasa kuna hili suala nimeliona leo kwenye usafiri wa umma nimeona nilitolee neno kidogo. Sitaingia moja kwa moja kwenye masuala ya shirki ila hata km kujisahau msijisahau kiasi hiki.

Ipo hivi;

Leo asubuhi nilifanikiwa kuingia kwenye usafiri wa umma kwenye kujichanganya nikadandia gari moja linaloelekea k/koo sikua naenda k/koo nilikua nashuka kituo cha kati, uzuri nikabahatika kupata siti waliofuata walisimama.

Sasa katika sehemu niliyokaa nikawa nimekandamizwa na wanawake watatu.

Usawa niliokuwepo nimekaa ni usawa ambao km kuna kitu kinatoa harufu ni rahisi sana kwa mimi kuisikia ile harufu.

Cha kustaajabisha ni kwamba nilianza kusikia harufu ya ajabu ajabu nikijaribu kutafakari nikagundua ile harufu ni kutoka kwenye k za wanawake waliosimama.

Sitaki kuandika sana ila niwasihi sana mama zangu na dada zangu mambo mawili moja muwe mnajisafisha na mbili hata km ni masharti ya mganga semeni hapana, sio kwa ile harufu.

Nimemaliza.
😂😂Alikuwa period na Yuko safari kutoka Morogoro Malinyi amekesha Kaka Msibani amefiwa na Kaka yake
 
Ili somo liongezwe shuleni wafundishwe Wadada tu Aisee
 
Back
Top Bottom