Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
....yet they cry day and night to the Lord for marriage.
Tsssk.
Karusii, ukipigwa nitaangalia tu kama sikujui, acha uchokozi.
....yet they cry day and night to the Lord for marriage.
Tsssk.
Andaa prayer items..ngoja nikaoge!
Ndio mie tena dada yako wa ukweli, hii mada imenikuna haswaaaa, nilitegemea nione wanaume wakitiririka jinsi wanavyojituma kutuhudumia nashangaa kimyaaaa!! cute b ukuje huku mama
Raha...... "his woman or WOMEN"
Hapana kwakweli sio mimi niliyeandika hapo
mkipewa game la uhakika mnasahau yote hayo, tatizo ujanja wa wanawake ni huku nje tu lakini akishafungiwa ndani anatulia tuliiii
nobody can love u like i do cute b
Hahahaaaaaa no body can touch you like du
aisee huyo jamaa ni shida, nina dedication nyngne kali nikupe or
Nipe mkuu
Raha...... "his woman or WOMEN"
think about polygamy, on the other hand this creatures are instruments of pleasure
Hahha.poleni sana jama wa wallet nyembamba.ila nyingi apo ni mbwembwe tuu.kwa maisha ya sasa mdada hauthubutu kupigia debe makitu yote hayo(in reality). Labda ka hupendwi...mambo ya msingi kupewa yanaeleweka wazi hapo.labda man umejaaliwa ya kutosha yani na umependa kumfanyia mwenza wako .otherwise i conclude ni ndoto za alinacha...
Haha mara ya pili hii nimekubamba ila bado unakana. Basi tu, sitaita mashahidi kwa sababu Id yako inatia huruma. Mentor pray for her, bro.