Nimeona hii nikamuwaza Lara 1 tu...

Nimeona hii nikamuwaza Lara 1 tu...

HA! Hivi nawe huwa na misimamo ya aina hii!???

Huyu ndo mwanzilishi humu mkuu, nadhani tumfanyie kazi ali-reform, manake ana misimamo hadi mi kaka yake najiulizaga kweli huyu sista tumezaliwa tumbo moja kweli au maza alimwingizaga kingi mdingi??!!

cc atoto
 
Last edited by a moderator:
pesa kwa ajili ya mama yako ni jukumu lako na kaka zako.
na bajeti ya familia isihamie kwenu, unatakiwa utafute hela za kuwatunza wazazi wako kama nitakavyowatunza wa kwangu.
nyumba ntajenga, nguo ntakununulia na ntakulisha na kukupendezesha.

majukumu yasiyonihusu pelekea ndugu zako aisee, mie ntakupa msaada tu

Duuh
Sawa!
 
Huyu ndo mwanzilishi humu mkuu, nadhani tumfanyie kazi ali-reform, manake ana misimamo hadi mi kaka yake najiulizaga kweli huyu sista tumezaliwa tumbo moja kweli au maza alimwingizaga kingi mdingi??!!

cc atoto

Ndio mie tena dada yako wa ukweli, hii mada imenikuna haswaaaa, nilitegemea nione wanaume wakitiririka jinsi wanavyojituma kutuhudumia nashangaa kimyaaaa!! cute b ukuje huku mama
 
Last edited by a moderator:
Mie tena sio la kuuliza hilo

if thats so, hamna haja ya mwanamke kusoma mpka degree na masters... muishie form four and mkae nyumbani tu kulea family!!!
btw, mwanamke ata umpe nini she can always get trapped by just a little thing.
 
after all that care things, what does a man get instead? and why should i keep all that effort and money to a woman? i would rather concentrate to my kids.
 
Huyu ndo mwanzilishi humu mkuu, nadhani tumfanyie kazi ali-reform, manake ana misimamo hadi mi kaka yake najiulizaga kweli huyu sista tumezaliwa tumbo moja kweli au maza alimwingizaga kingi mdingi??!!

cc atoto
atoto kam zis wei for prayers!
 
Last edited by a moderator:
Ndio mie tena dada yako wa ukweli, hii mada imenikuna haswaaaa, nilitegemea nione wanaume wakitiririka jinsi wanavyojituma kutuhudumia nashangaa kimyaaaa!! cute b ukuje huku mama

Mmh tuoneeni huruma tu jamani, kuwapenda tunawapenda ila hali ngumu
 
if thats so, hamna haja ya mwanamke kusoma mpka degree na masters... muishie form four and mkae nyumbani tu kulea family!!!
btw, mwanamke ata umpe nini she can always get trapped by just a little thing.

Tunasoma kuondoa ujinga, so walaa usipate taabu, hata tukifanya kazi bado sio mbaya na mishahara ni yetu hupaswi kuiulizia, unless ulinisomesha wewe,, as long as jukumu letu kuu la kuzaa tunalitimiza basi walaaa msipate taabu.
 
Mmh tuoneeni huruma tu jamani, kuwapenda tunawapenda ila hali ngumu

Khaaah hali inakuwaje ngumu sasa kwa mwanaume!!! Sie mbona tukishindwa kuzaa mnatukimbia na kuchepuka hamtuonei huruma? Hell noooo hakuna huruma kaka yangu, we pambana kufa na kupona upate za kumwaga umfanyie wifi yangu yote hayo.
 
Tunasoma kuondoa ujinga, so walaa usipate taabu, hata tukifanya kazi bado sio mbaya na mishahara ni yetu hupaswi kuiulizia, unless ulinisomesha wewe,, as long as jukumu letu kuu la kuzaa tunalitimiza basi walaaa msipate taabu.

I hope its prayers to get a husband who will do all of that for me, then here i am very ready for prayers, lets start

Mmh!! hapa sijui kama kweli atajitokeza shem, manake hii misimamo tisha sana!!!
 
Khaaah hali inakuwaje ngumu sasa kwa mwanaume!!! Sie mbona tukishindwa kuzaa mnatukimbia na kuchepuka hamtuonei huruma? Hell noooo hakuna huruma kaka yangu, we pambana kufa na kupona upate za kumwaga umfanyie wifi yangu yote hayo.

Khaaa, kazi ninayo, sasa kama sista wa damu kabisa hanionei huruma, huyo mwanamke tuliyekutana ukubwani si ndo kabisaaaa!!! Kweli kuzaliwa mwanaume kazi, loh!
 
Mmh!! hapa sijui kama kweli atajitokeza shem, manake hii misimamo tisha sana!!!

Hahahaaaaa! Wasipojitokeza basi wajitokeze tuolewe wote, sasa mwanaume kwanini ayakimbie majukumu yake!! Bora wasijitokeze kuliko kama hawayawezi majukumu yao
 
Hahaaa nimependa tu 'schools that host presidential debates and those that act as polling stations' watu wana mineno...!!!
 
Khaaa, kazi ninayo, sasa kama sista wa damu kabisa hanionei huruma, huyo mwanamke tuliyekutana ukubwani si ndo kabisaaaa!!! Kweli kuzaliwa mwanaume kazi, loh!

Mie nikikuonea huruma nitakulemaza matokeo yake tutachekwa familia nzima, so pambana kaka yangu usiitie aibu familia, sitaki wifi aje kunilalamikia eti huwajibiki, nitakutia hata makwenzi nakwambia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom