Nimeona hii nikamuwaza Lara 1 tu...

Nimeona hii nikamuwaza Lara 1 tu...

Aisee, nilikua sijajua majukumu ya mume kwenye ndoa, kama ndio hayo wacha nichelewe chelewe kuoa, nijipange kwanza ili nikiona naweza kufanya hayo kwa asilimia 75 angalau nioe, vinginevyo ntajikuta nawahi kufa.

ndio maana watu wanawahi kuzeeka kabla ya umri wao maana majukumu yanakuwa mengi bila sababu za msingi..

ukioa na wakwe nao wanataka uwatunze kama binti yao utazani umeoa wote.. hii kitu sitafanya labda for special cases
 
Duuh .. This is too much.. Samahani madada zangu kama nitawakwaza .. but this is really too much .. Sasa by that time akimaliza kufanya hayo yote mwenyewe si na mume utakuwa umeshamkosa au? Its not fair kwa kweli. I do understand wana majukumu but this is too much for them.. Tukumbuke maisha now yamebadilika si kama zamani .. Now ni vyema to help each other but not to forget our position as husband / wife. Sisi wanawake ni viumbe dhaifu . But even wanaume wana madhaifu yao pia . Some of them need our support sio tuu kifedha Bali in everything. Sasa kama sisi hatuwasaidii angalau for some ideas unafikiri wao wataweza hata kukununulia Purse ? The answer is no. Utataka ufanyiwe hayo yote in this life labda uwe hujampenda huyo mumeo kwa dhati .. Na tukiendelea na huu mtindo definitely tutajuta. Siku akija kukutana na MTU anayemjali , kumthamini , kumsaidia na kumuonea huruma ndio bye bye hiyo.
Binafsi nilishuhudia MTU Wa karibu anaependa afanyiwe hivyo vitu hapo juu .. na Kuwa pia too pick on what kind of man she wanted to marry , Leo anajuta na hata kunilalamikia .. Sometimes tunajikosesha bahati za wawenza wenyewe because of the way we are thinking or want.. Too much demands trust me tutaendelea kulizwa kila siku na kuishia kuwa mafagio ambaye kila MTU ( mwanamme) anatumia likiisha linatupwa na kununuliwa jingine , God Forbid..
Tujifunze Ku share , kusaidiana na wenzetu ili ndoto zitimie kwa Ku achieve together.. hapo ndio utaona Raha ya Love, ndoa na mahusiano.. After all we do for ourselves.. Tukumbuke yote hayawezi kuwa kama mke/ mume akiwa anakuwa mtu wa ku receive tuu without to give . Lets work as a teammate . And not an ATM mate .. Thanks..

wote wangekuwa hivyo ingekuwa safi sana...
 
Hahaha bibi anafanyiwa haya yote???!


Nikupe namba yake umuulize? Sitaki kumwekea maneno mdomoni...lol!

Humkumbuki PM mmoja aliyewambia Watanzania kuwa ambaye hana uwezo wa kulea basi asizae?

"Not every ejaculation deserves a name" dogo!!

Babu DC!!
 
Nikupe namba yake umuulize? Sitaki kumwekea maneno mdomoni...lol!

Humkumbuki PM mmoja aliyewambia Watanzania kuwa ambaye hana uwezo wa kulea basi asizae?

"Not every ejaculation deserves a name" dogo!!

Babu DC!!

Shikamoo babu.

Mjukuu wako mtiifu nimeyahifadhi haya maneno for my own use.

"Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama babu Dark City."
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom