Nimeona hii nikamuwaza Lara 1 tu...

Nimeona hii nikamuwaza Lara 1 tu...

Cha ajabu leo adi kingeresa nimeelewaa...
Mada imekosha mtima wangweeeeee.....

Kiingereza kinachoongelea mada ya hivi huwa automaticaly kinakuwa rahisi ujue.
 
Miss Lara 1! miss her writings! Lara 1 pls come back ooooooh!
 
Honey we mgeni sana JF.

Take your time utaona.

Nobody locks horns with The Queen of the Jungle.

Female Toni Montana huh?!

But with that spanner you're holding, pshh! who would be that stupid to try you, right?
Hahaha, i'll show myself out now.
 
Duuh .. This is too much.. Samahani madada zangu kama nitawakwaza .. but this is really too much .. Sasa by that time akimaliza kufanya hayo yote mwenyewe si na mume utakuwa umeshamkosa au? Its not fair kwa kweli. I do understand wana majukumu but this is too much for them.. Tukumbuke maisha now yamebadilika si kama zamani .. Now ni vyema to help each other but not to forget our position as husband / wife. Sisi wanawake ni viumbe dhaifu . But even wanaume wana madhaifu yao pia . Some of them need our support sio tuu kifedha Bali in everything. Sasa kama sisi hatuwasaidii angalau for some ideas unafikiri wao wataweza hata kukununulia Purse ? The answer is no. Utataka ufanyiwe hayo yote in this life labda uwe hujampenda huyo mumeo kwa dhati .. Na tukiendelea na huu mtindo definitely tutajuta. Siku akija kukutana na MTU anayemjali , kumthamini , kumsaidia na kumuonea huruma ndio bye bye hiyo.
Binafsi nilishuhudia MTU Wa karibu anaependa afanyiwe hivyo vitu hapo juu .. na Kuwa pia too pick on what kind of man she wanted to marry , Leo anajuta na hata kunilalamikia .. Sometimes tunajikosesha bahati za wawenza wenyewe because of the way we are thinking or want.. Too much demands trust me tutaendelea kulizwa kila siku na kuishia kuwa mafagio ambaye kila MTU ( mwanamme) anatumia likiisha linatupwa na kununuliwa jingine , God Forbid..
Tujifunze Ku share , kusaidiana na wenzetu ili ndoto zitimie kwa Ku achieve together.. hapo ndio utaona Raha ya Love, ndoa na mahusiano.. After all we do for ourselves.. Tukumbuke yote hayawezi kuwa kama mke/ mume akiwa anakuwa mtu wa ku receive tuu without to give . Lets work as a teammate . And not an ATM mate .. Thanks..
 
attachment.php

Automatic Teller Machine .........
 
Hapa ndo akili za kuambiwa unachanganya na zako.

Utakuta mtoa mada yeye ndo anamlea mmewe, ila huku nje anazuga anahudumiwa, kila kitu anajinunulia ila akiulizwa anasema nimenunuliwa na my hubby.

Sasa wenye akili za kushikiwa ndo hao wanaenda kugombezana na waume zao kwa kulilia kulelewa. Mwisho wa siku ni kutafuta michepuko ya kucover gaps.
 
Haswa....Ni kweli. Tatizo some of women wanapenda sana ushindani na kujionyesha .. Eti Fulani anafanyiwa na mumewe na Mimi nataka nifanyiwe.. Hello , what is your identity? Do you , As yourself when it comes on Love..some are focusing too much on others you will misleading things and ending it up by yourself .. Let's be real here and not fake .. Thanks...
 
Thanks too!
 
"Take the kids to those schools that hold presidential debates...not to those schools which act as polling stations"!

Hii ni kiboko...!
 
Female Toni Montana huh?!

But with that spanner you're holding, pshh! who would be that stupid to try you, right?
Hahaha, i'll show myself out now.

There is a King you know.

When you grow up, you are gonna be like him.

The Alpha Male.
 
Hivi huyu mzee wa Free P kala ban ya maisha au! Magazeti yake siyaoni humu siku hizi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom