Nimeona hii nikamuwaza Lara 1 tu...

Nimeona hii nikamuwaza Lara 1 tu...

Hahahaha nimeipenda!mwanaume halisi lazima awajibike kwa mke wake hasa kiuchumi

Kabisaaaa, hili ni la msingi mnoooo!! Nashangaa hawaji hapa kusema ni kweli wanawajibika ipasavyo kama mada inavyowataka.
 
Kabisaaaa, hili ni la msingi mnoooo!! Nashangaa hawaji hapa kusema ni kweli wanawajibika ipasavyo kama mada inavyowataka.

Hatuji na kama kawaida yetu hatukubali kushindwa
 
Hahahaaaaa! Wasipojitokeza basi wajitokeze tuolewe wote, sasa mwanaume kwanini ayakimbie majukumu yake!! Bora wasijitokeze kuliko kama hawayawezi majukumu yao

Hahaaaaa umenikumbusha msemo wako hapo kwa red, teh teh teh!!!
 
Hahaaaaa umenikumbusha msemo wako hapo kwa red, teh teh teh!!!

Ndio hivyo bwana, sasa mwanaume kwanini aogope majukumu yake jamani!! Unless naye ana mpango wa kuolewa maana siku hizi ni kawaida tu
 
hayo maisha ni ya hukohuko kenya na kwenye maigizo,, mwanamke lazima afanye kazi mahitaji mwengine ajitimizie mwenyewe... hata kama ni ku-care sio kiivyo

Aisee, nilikua sijajua majukumu ya mume kwenye ndoa, kama ndio hayo wacha nichelewe chelewe kuoa, nijipange kwanza ili nikiona naweza kufanya hayo kwa asilimia 75 angalau nioe, vinginevyo ntajikuta nawahi kufa.
 
Mie nikikuonea huruma nitakulemaza matokeo yake tutachekwa familia nzima, so pambana kaka yangu usiitie aibu familia, sitaki wifi aje kunilalamikia eti huwajibiki, nitakutia hata makwenzi nakwambia

Khaaa haya bana sista, ngoja nikomae hivyo hivyo!!
 
Ndio hivyo bwana, sasa mwanaume kwanini aogope majukumu yake jamani!! Unless naye ana mpango wa kuolewa maana siku hizi ni kawaida tu

Sista hebu acha bana, mi unaniua kwa kicheko huku ujue, khaaaa!!!
 
Sista hebu acha bana, mi unaniua kwa kicheko huku ujue, khaaaa!!!

We cheka tu kaka yangu, ila hiyo ndio hali halisi, mwanaume sio kuwa na uume tu, maana hata uwe na uume kg 100 km huyajui majukumu yako kwa familia yako we ni bure tu.
 
We cheka tu kaka yangu, ila hiyo ndio hali halisi, mwanaume sio kuwa na uume tu, maana hata uwe na uume kg 100 km huyajui majukumu yako kwa familia yako we ni bure tu.

Mmh basi sawa
 
We cheka tu kaka yangu, ila hiyo ndio hali halisi, mwanaume sio kuwa na uume tu, maana hata uwe na uume kg 100 km huyajui majukumu yako kwa familia yako we ni bure tu.

Loh! hahahaha
 
bora umetuonea huruma mwaya. maana siku hizi mnatubebesha majukumu mazito sana mama. hasa sisi ambao wallet zetu ni nyembamba tunaghaili kabsa ata kuoa ili ku-avoid stress from type of women wenye hiyo mindset.

Hahha.poleni sana jama wa wallet nyembamba.ila nyingi apo ni mbwembwe tuu.kwa maisha ya sasa mdada hauthubutu kupigia debe makitu yote hayo(in reality). Labda ka hupendwi...mambo ya msingi kupewa yanaeleweka wazi hapo.labda man umejaaliwa ya kutosha yani na umependa kumfanyia mwenza wako .otherwise i conclude ni ndoto za alinacha...
 
I hope its prayers to get a husband who will do all of that for me, then here i am very ready for prayers, lets start

Andaa prayer items..ngoja nikaoge!
 
I hope its prayers to get a husband who will do all of that for me, then here i am very ready for prayers, lets start

Hi atoto, i see you, you know whata mean. Can i get a witness? Aisee!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom