Shosti sijakuelewa vizuri kwani mwanzo alikua na kazi au biashara yakumuingizia pesa japo yakukodo chumba au umeigia tuu kwenye ndoa sababu jua limeshakuchwa ukaona uondoe mkosi? na hayo yakuheshimiwa hukuyaona mwanzo kama huyu bwana anapenda akipita wewe usimame? jengine ushauri wa mambo yakua uendelee nae au uachane nae unao wewe,raha zake na dhiki zake wewe ndio unavumilia,na kama kawaida ya binadamu ana uzuri wake na ubaya wake na wewe ndio unaujua, sasa basi jua kua ndoa sio mchezo kuna kuvumiliana,na mweleze kwa mapenzi lolote unalotaka atakubali, ulimi wako ndio kila kitu jitahidi,usikate tamaa mapema....