Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

kwanza mwanaume anaekutaka na wewe ni mke wa mtu jua hakupendi wala hana akili
anakupenda kwa sababu anajua wewe ni cheap huna gharama na akishakukula atakuzarau kama takataka vile na kukutangaza utashangaa unatongozwa na ofisi nzima
Sio hana akili , kwa uzoefu wang, mwanaume(shetani) sa nyingine anakuwa na katabia cha kujaribu , sasa mwanamke(yesu) unaejaribiwa unatakiwa utumie akili. Shida ni kwamba yeye ndo anatengeneza mazingira ya kuliwa tunda , anatakiwa asimfeel jamaa , ajiepushe mbona inawezekana.
 
Ungekuwa mke mwema hata hayo mazoea na huyo MUHUNI usingeyaendekeza, na MUMEO usingemuita JAMAA...

Halafu utatafunwa, kuvunjiwa ndoa na kupigwa chini fasta. Jiulize kwanini ulivyozingua aliuchuna wiki nzima...
 
Angalia mazuri tu ya Mme wako usiangalie mabaya alafu hurumia watoto maana hujui huyo jamaa anamatatizo gani mfano magonjwa ukimwi which will affect your kids. Mwogope Mungu na uone hiyo sauti ya mwanamme ni shetani katika ukware wa kukupotezea reputation yako. Be careful mwombe sana Mungu akupe jicho la tatu katika hili. Kitendo cha masaa machache kitakuharibia heshma yako iliyopo milele

Ndo maana nimesema kwenye post nyingine hapo juu kuwa michango ya wanaume wengine kwenye huu uzi ni very interesting.

My understanding is that it takes two to tango, meaning that hata mume wake anahusika kwa hili. Vinginevyo, mke wake asinge-develop hisia kwa mtu mwingine.

Kama mleta mada atafanya yote alivyoshauriwa hapa, hakutakuwa na mabadiliko mpaka pale mume wake atakapotambua tatizo na kukubali kubadilika pia.

Ila ukweli ni kwamba wake za watu huwa wana-cheat tena sana tuu sema they know how to do it bila kukamatwa.
 
Kuna wanaume ving'ang'anizi kasha jua wewe ni mke wa mtu lakini bado anajisogeza kuna siku ataangukia pabaya.
.....Huyo mwaname ameshamsoma movement zake na kugundua kwamba anamtaka na anajiketa, ni suala la muda tuu, ndiyo maana anazidi kufukuzia.
 
Kama mme wako anachepuka nawe acha kuwa zoba nawe fanya maamuzi unayoona sahihi,, tatzo wanawake wa kisasa mnaofia kuachwa nawaume zenu kwasababu kipindi anakutoa kwenu ulikuw huna ata senti tano Mali zote ulizikuta kwa mwanaume,, PGA kazi tafuta zakwako ili uwe na jeuri kwa mumeo,, huwe na confidense na maamuzi yako,, haiwezekan uwe ushamfumania mume wako mara kibao katk mazingira ya kuchepuka zen unakuw na nidhamu ya uwogaa
 
iulize kwanini ulivyozingua aliuchuna wiki nzima...

Ungekuwa mke mwema hata hayo mazoea na huyo MUHUNI usingeyaendekeza, na MUMEO usingemuita JAMAA...

Halafu utatafunwa, kuvunjiwa ndoa na kupigwa chini fasta. Jiulize kwanini ulivyozingua aliuchuna wiki nzima...

Hapo kwenye bold unaonyesha kama vile mgeni kwenye hayo masuala.
 
Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.
Mi nimeolewa nna miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa.Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela.Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji km nyumba,usafiri wa maana na two beautiful kids.

Ktk kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu.Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji.Me sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba.Kiufupi ni mke mwema flan!!yes najiamini kwa hilo.Jamaa nishafumania msg za wanawake mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza.Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.

Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now.Kiufupi miezi km 6 iliyopita nimekutana na jamaa ktk kazi flani.Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flan ivi throughout..Tuliclick haraka sana tukawa close.Ilitokea tu sijui kwa nn..Nilinotice jamaa ananicare vby sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.

The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist.Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kbs.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.

Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao.Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz me ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband.Baada ya hapo akanikaushia km wiki.Aisee nilikonda kwa mawazo.Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mm anataka tuspend tym wawili.Kashanialika kwake mara kibao nachomoa.Imefika mahali najiona ntashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:

1.jamaa anajua me ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.

2.Since ni coworker baada ya game ntamwangaliaje ofcn?

3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri.Aisee mi ni mdada nayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.

4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling.Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote,confident about myself na I feel lyk a woman again.

Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence,kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.

Si umvulie chupi tu halafu tuletee mrejesho unajisikiaje baada ya kusaliti ndoa, acha kuashumu tu unaumiza kichwa bure tu
Na kama hutaki kumpoteza milele omba talaka uolewe na huyo ili usiwe mwasherati, ule starehe kihalali
 
Tatizo la wanawake ndio hili, kupendaga attention za kise....I hate you type of woman. Hamridhiki sijui mpoje mtu unapewa kila kitu ila bado tu! Sasa waje wale wanaohisi pesa inasolve mapenzi wajione ushenzi huu.

Mtu unajua umeolewa why do you keep close na marafiki wakiume at the firstplace? Hio ofisi yenu wanawake wenzio hakuna??? Hutakiwi kuwa na marafiki wa kiume for G sake. You are fucking taken goddamnit!

Si male friends wote wana nia mbaya ila unatakiwa uje kuwa mwanaume asie kaka wala baba yako always itafika point atataka kukugonga tu na ndio kilomchomleta karibu yako.

Nachukiaga sana hii tabia ya KE kujifanya kuzoea wanaume kwa kivuli cha my friend wakiwa katika uhusiano.Unakuta jitu unacheka cheka nalo siku nzima na ukitoka ofisini chat kama kazi. Na usikute jamaako alishakukataza ukaona kama anakubana bana. Tunazijua akili zenu zilivyo ndio maana tunawapigaga ban mapema ila ubishi wa kijinga tu.

Ukweli ni kwamba hamna mazoea ya kudumu kati ya ME na KE bila kuombana Gemu siku moja! Lazima tu mtafikia huko blood fukkk! Na atakudinya tu huyo jamaa maana ndio kinachofata. Uje ulete mrejesho kenge maji ww!
 
Mwanaume ku chit haizuiliki hawa viumbe ndio wameumbwa hivyo shukuru kakuheshimu kakuweka ndan huna bud kumpa heshima tu km mume
 
Kwa nini ujitese bidada!? Mpe jamaa hiyo kitu roho inapenda ili moyo wako uwe kwatu
 
Usijaribu kugegedwa na mfanyakazi mwenzako tena ofisi moja...
1. Hatokuheshimu
2. Hutokua huru ata ukitaka kumuacha kutakua na woga fulani na vizuizi
3. Ukipata nafasi ya juu utashindwa kumuongoza
4. Ofisini wakijua kua mke wa mtu unagegedwa na kijana hapo watakudharau tu.

Hizo ni feelings tu, trust me... Humpendi huyo kaka! Matatizo ya kwenye ndoa yako ndo yanasababisha yote hayo. Umesema wewe ni mke mwema, endelea kua mke mwema na achana na mihemko ya kijinga... Ukilala nae huyo inaonesha umekata tama kabisa katika ndoa yako, ata Mungu hawezi kukusaidia. Hurekebishi kosa kwa kosa kipenzi...
Kama unatafuta pa kutolea stress basi tafuta hobby... Nunua swimming costume kaogelee...
Una akili na iman ungeendeleq kusoma zaid ungekua kama Nyerere(jokes)
 
Ndo maana nimesema kwenye post nyingine hapo juu kuwa michango ya wanaume wengine kwenye huu uzi ni very interesting.

My understanding is that it takes two to tango, meaning that hata mume wake anahusika kwa hili. Vinginevyo, mke wake asinge-develop hisia kwa mtu mwingine.

Kama mleta mada atafanya yote alivyoshauriwa hapa, hakutakuwa na mabadiliko mpaka pale mume wake atakapotambua tatizo na kukubali kubadilika pia.

Ila ukweli ni kwamba wake za watu huwa wana-cheat tena sana tuu sema they know how to do it bila kukamatwa.
ni kweli mkuu watu wanacheat sana hata huyu mama anaruhusiwa kucheat sema tatizo lake anataka kupiga tukio la mtyu wa karibu ni very risk atafute chimbo la mbali huko
 
Dada pole sana ila nitakushauri nankukuuliza kwa kauli tofaut na wenzangu,,,hua sina kauli nzur sana hvyo nisamehe maana ukikereka ndio vzr ndio utakua umeelewa,,

Binadamu wengi vichwa panzi wanaamin kwamba ukijua kuitafuta hela na kuipata,,ukawa na mirad mingi unakua umefanikiwa,,, nonsense..

Binadamu tukiwa tunapata pesa wengi tunasahau tulipotoka,umejiuliza kwa nn mumeo ni mlevi?? Sawa unasali sana hua unaombea mumeo aachane na shetan wa pombe??

Binadamu hasa MWANAUME huwa hakataliwi kwa maneno tu,,anakataliwa kwa vitendo,,we umejiweka karibu then unataka ushauri kweli?au unamtaka unaigopa tu kusema hapa jukwaani?

Pole sana kwa unayopitia so ina maana huku jukwaan zikifika comment 200 na 150 inakushauri umpe jamaa hyo BWIMBWI YAKO utakuja kutupa mrehesho hapa??

Ndoa yako na watoto wako vina thaman kuliko dushe la huyo jamaa anaetaka kukumwagia mizungu yake bas,,,umeipigania ndoa miaka 9 halaf karagos mmoja aje kukuzuzua kwa kipi haswa?? Mm ni mwanaume tena mwanaume naejielewa na mwnye misimamo lakin tabia za wanaume unazijua vzr akishakupa bakora zake??

Kumfumania mumeo kwa sms au vip sio kigezo cha wewe kurudisha kisa umemfuma sms kwa simu yake..

NB: maisha ya kupata pesa na kumiliki vingi sio kwamba ndio mafanikio pekee,,mafanikio ni kua na vingi ambavyo pesa haiwez kununua,,umefanikiwa katika sekta ya maisha ila unataka kuyachezea mafanikio yako ktk liwazo la mwili na hisia duuuh,,,kitu pekee kisichoisha kwa mwanadam yaan kisicho na limit ni uvumiliv,vumilia na muepuke sana na umkatalie kwa vitendo sio maneno...

Karibu tusikilize nyimbo ya 4 NON BLONDES- whats up

Tchao
Well SAID!!!!
 
Akili yako imeshapanga kuisaliti ndoa yako, ndiyo maana umeaanza kusimulia mapungufu ya mumeo..........
Achana na huyo kijana sijui nimwite mwanaume linda ndoa yako kwa upendo na uaminifu,........

Kumbuka kile kiapo ulichopeana na mumeo wakati mnaoana, fikiria kipi chema kupoteza ndoa ama kumpoteza huyo jamaa.....



Kalamu Yangu.
 
Back
Top Bottom