Mwache ajichanganye!!!Na Ukoo mzima unapigwa talaka

Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.
Mi nimeolewa nna miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa.Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela.Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji km nyumba,usafiri wa maana na two beautiful kids.
Ktk kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu.Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji.Me sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba.Kiufupi ni mke mwema flan!!yes najiamini kwa hilo.Jamaa nishafumania msg za wanawake mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza.Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.
Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now.Kiufupi miezi km 6 iliyopita nimekutana na jamaa ktk kazi flani.Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flan ivi throughout..Tuliclick haraka sana tukawa close.Ilitokea tu sijui kwa nn..Nilinotice jamaa ananicare vby sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.
The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist.Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kbs.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.
Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao.Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz me ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband.Baada ya hapo akanikaushia km wiki.Aisee nilikonda kwa mawazo.Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mm anataka tuspend tym wawili.Kashanialika kwake mara kibao nachomoa.Imefika mahali najiona ntashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:
1.jamaa anajua me ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.
2.Since ni coworker baada ya game ntamwangaliaje ofcn?
3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri.Aisee mi ni mdada nayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.
4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling.Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote,confident about myself na I feel lyk a woman again.
Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence,kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.

Sisi wanaume tunaojielewa tukishafumania wake zetu kinachofata na talaka tu!!!!!
Umeongea kitu sahihi kabisaDaah! Nikiona hivi hadi nasisimka mwili. Laiti tungeweza kujua yaliyo mioyoni mwa wake zetu. Ukishatembea na huyo jamaa lazima umdharau mumeo kwasababu jamaa atasimamia ukucha ipasavyo hadi uone mumeo hamna kitu. Na huyo jamaa lazima amdharau mumeo na atawaeleza marafiki zake story itaenea na utaonekana malaya tuu. Kiufupi kila atakapokatiza mumeo watakuwa wanamchora tuu na kumdharau. Tofauti na mwanaume akitembea na mwanamke mwingine nje ya ndoa, ni vigumu kumdharau mkewake wa ndoa maana atasimamsimamia ukucha kwani kawaida mechi za ugenini huwa za kibabe na huo mchepuko ukikuona unakuwa na adabu na kupita mbali.
Chamuhimu ongea na mumeo umkanye hiyo tabia yake na ufunguke waziwazi kuwa kutokana na tabia yake hiyo, inafika mahali hadi unatamani angekupa attention kama wanazokupa watu wanaokutongoza huko njiani na kazini(mwanamke kutongozwa ni kawaida). Hapo ataelewa somo na atajiongeza.
It seems humwelewi. Anajitahidi kumsaidia huyo mama. Miss Natafuta hapo ameonyesha ukomavuIvi we mwanamke wanaume walikufanyaje? You are so negatively towards men
Ipo siku hasa penzi likikolea atafumwa tuOnly kama utamfuma. Vinginevyo, ataendelea kuku-cheat huku bado akiwa mke wako.
Miss mwambie huyu Dada yako namba 3 ni muhimu zaidi ya hizo namba zoteachana na huyo shetani dear hata kama una nyege bora ukapige game mbali huko heshima hainunuliwi mamii
Umenipa nguvu sana.Hujui namna nilivyofarijika na huu ushauri.Asante sanaUmeona eh? Ukitataka kumteka mwanamke mzima mzima teka hisia zake. Pamoja na mleta mada kudai kuwa mme wake ni msomi, anajua kuitafuta hela; wana maisha mazuri, wana kila kitu anachokihitaji kama nyumba, usafiri wa maana na two beautiful kids, lakini bado kuna kitu kina-miss.
Hii inaonyesha sometimes kuwa na hivyo vitu haina maana kuwa mwanaume atamtosheleza mwanamke kwa kila kitu. Haina maana kuwa you will be happy thereafter. Huyo mwamaume mwingine anam-care vibaya sana, japokuwa mleta mada hajafafanua kivipi, but I believe ana-meet her deep emotional needs, the most important thing for most women. Ndo maana akiwa nae under one room anashindwa kabisa, anapoteza uchangamfu, anaishiwa pozi kabisa na alipomkaushia wiki mleta mada alikonda kwa mawazo.
Easy said than done kwa mwanamke ambaye ametekwa kihisia. We have seen worse than this. Angekuwa mwanaume angefuata logic, lakini kwa mwanamke atafuata hisia zake. Kuna ambao wamemshauri ampende zaidi mume wake. Sidhani kama hampendi mume wake. Tatizo ni kuwa mume wake hatimizi emotional needs za mke wake na ndo maana anazitafuta kwingine.
This is one of the worst things I hear from people pale wanapokumbana na tatizo. Wanamlaumu shetani. We need to stop preaching of fear and stop focusing on what the devils or witches did, do or would do. Mleta mada ni binadamu kama binadamu wengine na she is entitled to her feelings. Na inawezekana hakuja hapa kuomba ushauri bali to find someone to listen to her. It could be that it is all she wants. To be listened to bila kuhukumumiwa. Yeye atafanya maamuzi yake mwenyewe and whatever decision she makes is none of our business.
Kuna message ilikuwa inasambaa whatsup kuwa moja ya watu wagumu kushaurika ni pamoja na mwanamke aliye-fall in love. Maana yake ni kuwa anachotaka ni mtu wa kusikiliza na kuelewa hisia zake, na siyo kumshauri cha kufanya. Deep down mleta mada anazijua feelings zake na atazitolea maamuzi yeye mwenyewe. For us just listen to her and understand how she feels.
Only kama utamfuma. Vinginevyo, ataendelea kuku-cheat huku bado akiwa mke wako.
Ipo siku hasa penzi likikolea atafumwa tu
....Huyo shetani mnamsingizia tuu, kinachomsumbua huyo ni tamaa tuu ya mwili, ambayo kwa kiasi kikubwa ameipandikiza mwenyewe kwa kumuwaza kichwani all the time...Kweli wanaume tumeumbiwa mateso. Eti oooh jamaa anaonyesha kunijali sanaa, hivi kuku ukitaka umkamate umchinje si ni lazima umbembeleze kwa kumtupia mtama? Huyo akishagonga mashine soon atakuona wa kawaida tuu.achana na huyo shetani dear hata kama una nyege bora ukapige game mbali huko heshima hainunuliwi mamii
Ni bora akakanywa ili asifanye na kutofanya ni mpaka huyo officemate aghairi la sivyo atamkula tu! Ila akae akijua kuwa siku ya arobaini inaweza kufika kesho au miaka 20 ijayo atafumwa tu. Imagine wewe ungalikuwa ni mumewe ungefanya nini maana hatujui wake zetu wanafanya nini. Si ajabu huyu aliyefungua uzi ni mke wangu na mimi nipo natoa ushauri! Tumwachie Mungu ila kwa vile lornapm yupo online ngoja nichungulie mke wangu kama yupo JF nikalilie chooniYeah, so utasubiri mpaka penzi lao likolee siyo eh? wiki, mwezi, wiki au mwaka, miaka?
Remember, if something is worth doing, it's worth doing right. Women are cleaver at this one.
....Huna lolote tamaa za mwili na umalaya vinakusumbua, eti napata nguvu ya kulishinda hili jaribu.Nawashukuru kwa mawazo yenu wapendwa.Napata nguvu ya kulishinda hili jaribu
Pole sana Kwa majaribu kikubwa muombe Mungu wako atakuepusha katika hilo jaribu kwani usaliti sio kitu kizuri.Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.