xav bero
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 5,133
- 7,352
Dada pole sana ila nitakushauri nankukuuliza kwa kauli tofaut na wenzangu,,,hua sina kauli nzur sana hvyo nisamehe maana ukikereka ndio vzr ndio utakua umeelewa,,
Binadamu wengi vichwa panzi wanaamin kwamba ukijua kuitafuta hela na kuipata,,ukawa na mirad mingi unakua umefanikiwa,,, nonsense..
Binadamu tukiwa tunapata pesa wengi tunasahau tulipotoka,umejiuliza kwa nn mumeo ni mlevi?? Sawa unasali sana hua unaombea mumeo aachane na shetan wa pombe??
Binadamu hasa MWANAUME huwa hakataliwi kwa maneno tu,,anakataliwa kwa vitendo,,we umejiweka karibu then unataka ushauri kweli?au unamtaka unaigopa tu kusema hapa jukwaani?
Pole sana kwa unayopitia so ina maana huku jukwaan zikifika comment 200 na 150 inakushauri umpe jamaa hyo BWIMBWI YAKO utakuja kutupa mrehesho hapa??
Ndoa yako na watoto wako vina thaman kuliko dushe la huyo jamaa anaetaka kukumwagia mizungu yake bas,,,umeipigania ndoa miaka 9 halaf karagos mmoja aje kukuzuzua kwa kipi haswa?? Mm ni mwanaume tena mwanaume naejielewa na mwnye misimamo lakin tabia za wanaume unazijua vzr akishakupa bakora zake??
Kumfumania mumeo kwa sms au vip sio kigezo cha wewe kurudisha kisa umemfuma sms kwa simu yake..
NB: maisha ya kupata pesa na kumiliki vingi sio kwamba ndio mafanikio pekee,,mafanikio ni kua na vingi ambavyo pesa haiwez kununua,,umefanikiwa katika sekta ya maisha ila unataka kuyachezea mafanikio yako ktk liwazo la mwili na hisia duuuh,,,kitu pekee kisichoisha kwa mwanadam yaan kisicho na limit ni uvumiliv,vumilia na muepuke sana na umkatalie kwa vitendo sio maneno...
Karibu tusikilize nyimbo ya 4 NON BLONDES- whats up
Tchao