mputamaseko
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,401
- 949
mpe tunda mwenzio wacha mawazo ya kichoyo
I mean unawachukia sana wanaume, hata baba yako bila shakamshauri wewe hiyo positive yako
unashangaa nini ?amuombe ushauri mumewe tena
Basi kaza tu,achana nae tamaa haifaiNajiheshimu sana ningekuwa cheap ningeshavua nguo nafight against hii hali na ujue kuwepo kwenye ndoa sio ticket ya kutokuwa tempted.
ni wewe nini? sio kwa ushauri huuUsijitese Kwa jambo ambalo linawezekana cha msingi mfanye siri, Kwa nini ujinyime kitu roho inatamani utajitesa bure, nakushauri mkubalie hautajuta, mbona mume wako anafanya. Hayo Mambo hayakwepeki kwenye dunia ya sasa
asante mkuu nashukuru kwa kunishauri bila kunijudge.Mume wangu naongea nae sana ila sijui ndo kashanizoea hata hajali anachukulia poa tu maisha yanasonga.Daah! Nikiona hivi hadi nasisimka mwili. Laiti tungeweza kujua yaliyo mioyoni mwa wake zetu. Ukishatembea na huyo jamaa lazima umdharau mumeo kwasababu jamaa atasimamia ukucha ipasavyo hadi uone mumeo hamna kitu. Na huyo jamaa lazima amdharau mumeo na atawaeleza marafiki zake story itaenea na utaonekana malaya tuu. Kiufupi kila atakapokatiza mumeo watakuwa wanamchora tuu na kumdharau. Tofauti na mwanaume akitembea na mwanamke mwingine nje ya ndoa, ni vigumu kumdharau mkewake wa ndoa au atasimamsimamia ukucha kwani kawaida mechi za ugenini huwa za kibabe na huo mchepuko ukikuona unakuwa na adabu na kupita mbali.
Chamuhimu ongea na mumeo umkanye hiyo tabia yake na ufunguke waziwazi kuwa kutokana na tabia yake hiyo, inafika mahali hadi unatamani angekupa attention kama wanazokupa watu wanaokutongoza huko njiani na kazini(mwanamke kutongozwa ni kawaida). Hapo ataelewa somo na atajiongeza.
Unanionyesha dalili flan ya mapungufu.Ina maana Jamaa akihama au akiacha kazi ampe Tu tunda ?Analinda heshima ya ndoa au aibu kwa watumishi wenzie kazini .Kama Niheshima basi atulie na kama Ni kukwepa aibu wasafiri wakagegedane Tu mbele mbele.achana na huyo jamaa bora angekua ofisi ya mbali sio hapo asee
Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.
Mi nimeolewa nna miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa.Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela.Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji km nyumba,usafiri wa maana na two beautiful kids.
Ktk kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu.Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji.Me sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba.Kiufupi ni mke mwema flan!!yes najiamini kwa hilo.Jamaa nishafumania msg za wanawake mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza.Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.
Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now.Kiufupi miezi km 6 iliyopita nimekutana na jamaa ktk kazi flani.Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flan ivi throughout..Tuliclick haraka sana tukawa close.Ilitokea tu sijui kwa nn..Nilinotice jamaa ananicare vby sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.
The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist.Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kbs.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.
Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao.Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz me ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband.Baada ya hapo akanikaushia km wiki.Aisee nilikonda kwa mawazo.Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mm anataka tuspend tym wawili.Kashanialika kwake mara kibao nachomoa.Imefika mahali najiona ntashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:
1.jamaa anajua me ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.
2.Since ni coworker baada ya game ntamwangaliaje ofcn?
3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri.Aisee mi ni mdada nayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.
4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling.Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote,confident about myself na I feel lyk a woman again.
Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence,kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.
sikusema me mtu wa maombi 24/7.Ila nimekulia kwenye maadili flan na nna hofu ya Mungu.na nimeweka wazi changamoto nyingi nazopitia nasali sana zinapita.Ila kwa hili naona shetani kaning'ang'ania.Sikuwahi kuwaza kutoka nje ya ndoa yangu wala kuwa mchepuko wa mtu.Nimemsoma Mara mbili mleta uzi,
Sishawishiki kuwa Mleta uzi ni Mwanamke kwa kadri ya Maandishi na lugha alizotumia huku akijitambulisha ni Mwanamke Tena Mtu wa sala na maombi