Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Kuwa mbali na Huyo Jamaa,may be ume develop feelings sbb ya ujirani wenu,umemtamn tu and since una familia utaishia kuivuruga tu familia nd ndo utakaposhtuka kuwa zilikuwa tamaa tu na sio Mapenzi....
 
"Mtapendana hadi kifo kiwatenganishe" kwa kamsemo hako huyo jamaa ni KIFO. Pili, kama unavyosali pindi uonapo sms za warembo kwake kushinda majaribu usilipize kisasi fanya vivyo hivyo kwa huyo Ndorobo. 3. Kama kila kitu unapata toka kwake japo unahisi anaCheat we ridhika kumbuka wengine wanaCheat na familia zimetelekezwa. 4.Mna watoto wawili nahisi ni wadogo, uwezo wa kukutimua anao na kuoa mwingine 5.Naamini hapo ofisini mumeo ana marafiki zake awe KE au ME. Hakuna siri chini ya jua, yote hayo tayar ushashitukiwa na wafanyakazi wenzako tayari na wanajua bado game tu(hili mumeo tayari kashaambiwa, niamini ktk hili) na siku ukimbunyikwa wafanyakazi wenzako wataelewa tu. (Na.4 & 5 weka kichwani) 6.Kuwa makini na huyo ndorobo wa muda, akikuharibia itakula kwako maana si wote wanakupenda hata marafk zako, wapo wengine wanatamani wachukue nafasi yako kwa mumeo.
NB:
MWANAMKE MPUMBAVU ATAIVUNJA NDOA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE.
 
pole sana, kesi yako juu ya matendo ya mumeo sio ya kwanza. Natoa lawama kubwa kwa wanaume wenzangu kwa matendo mabaya tunayowatendea wake zetu. Kuna rafiki zangu wa kike well educated with very high profile jobs lakini wanashida na wanaume zao kama zako kupelekea kuchanganyikiwa na wengine ninavyoongea wameshavunja mahusiano ya ndoa. Wanawake wengi mmekua waadilifu na wengi wanaobadilika tabia katika ndoa husababishwa na waume zao. Waume hasa generation hii, huendeleza tabia zao za kabla ya kuoa ikiwepo kujali zaidi na kuthamini marafiki na kutumia muda mwingi na marafiki kuliko rafiki zao, kurudi nyumbani usiku wa manane kila siku, kutoka out zaidi na marafiki kuliko wake zao. Kunywa pombe kipita kiasi kupelekea low sperm count na kushindwa ku perform home. Kudharau wake na kufanya ngono sana nje na kushindwa kuwaridhisha wake zao. Mbaya zaidi hawatunzi familia kabisa hususani pale wake zao wanapokuwa na kazi za maana huwa ni mzigo mkubwa kwa wanawake. Imefikia mahali mwanamke hasa msomi economically independent anauma kuwa na maisha mapya. Mjini hapo, wale wasioweza kutoka kwenye ndoa wanatunza ndoazao kwakuwa na relathionships nje ya ndoa ambazo huwa zinawariwadha sana na kuwafanya wajione wanawake kama unavyojisikiawewe. Inafika mahali mwanaume hawala ndio anamshughulikia mke wa mtu kwa kila kitu hata kumpeleka kliniki mwanamke anapokuwa mjamzito. Kwakweli, sisi wanaume wa sasa ni shida tumebaki kudai haki zetu na heshima wakati hatutimizi wajibu wetu. Wanaume tunapaswa kuelewa kuwa it is our primary responsibility ku take care of our family for one hundred percent regardless of wife's financial muscles, mwanamke akiwa na mali ni added advantage lakini tunapaswa kumlisha, kumvisha, malazi, matibabu, elimukwa watoto, tujifunze kutokuwa tegemezi au kusaidiwa wajibu wetu na wake zetu.
Sasa wewe dadangu kwa kesi yako sikulaumu kwakuwa mumeo ndiye aliyekusababishia hivyo and believe me mumeo hawizi kubadilika wako wengi wa aina hiyo. Huyo jamaa yako uliyefall ni mtihani sana kwako kwakuwa mnafanyakazi pamoja. Nimeona na nina marafiki wengi wa kike ambao ndo zao hazifai kabisa wanaishi maisha ya kuwa na boyfriends ila hawafanyikazi pamoja. Sikushauri uwe nae huyo jamaa kwakuwa lazima itafahamika tu na utapoteza integrity yako na heshimu ebu jitahidi kujizua ingawa ni ngumu. Pole sana

Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.
Mi nimeolewa nna miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa.Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela.Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji km nyumba,usafiri wa maana na two beautiful kids.

Ktk kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu.Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji.Me sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba.Kiufupi ni mke mwema flan!!yes najiamini kwa hilo.Jamaa nishafumania msg za wanawake mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza.Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.

Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now.Kiufupi miezi km 6 iliyopita nimekutana na jamaa ktk kazi flani.Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flan ivi throughout..Tuliclick haraka sana tukawa close.Ilitokea tu sijui kwa nn..Nilinotice jamaa ananicare vby sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.

The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist.Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kbs.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.

Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao.Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz me ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband.Baada ya hapo akanikaushia km wiki.Aisee nilikonda kwa mawazo.Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mm anataka tuspend tym wawili.Kashanialika kwake mara kibao nachomoa.Imefika mahali najiona ntashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:

1.jamaa anajua me ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.

2.Since ni coworker baada ya game ntamwangaliaje ofcn?

3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri.Aisee mi ni mdada nayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.

4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling.Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote,confident about myself na I feel lyk a woman again.

Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence,kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.
 
Usijaribu kugegedwa na mfanyakazi mwenzako tena ofisi moja...
1. Hatokuheshimu
2. Hutokua huru ata ukitaka kumuacha kutakua na woga fulani na vizuizi
3. Ukipata nafasi ya juu utashindwa kumuongoza
4. Ofisini wakijua kua mke wa mtu unagegedwa na kijana hapo watakudharau tu.

Hizo ni feelings tu, trust me... Humpendi huyo kaka! Matatizo ya kwenye ndoa yako ndo yanasababisha yote hayo. Umesema wewe ni mke mwema, endelea kua mke mwema na achana na mihemko ya kijinga... Ukilala nae huyo inaonesha umekata tama kabisa katika ndoa yako, ata Mungu hawezi kukusaidia. Hurekebishi kosa kwa kosa kipenzi...
Kama unatafuta pa kutolea stress basi tafuta hobby... Nunua swimming costume kaogelee...
I wish my X GF angekuwa na akili kama zako.

Shida ni kwamba kwa wengine emotions zikishika hatamu, ubongo una paralyse hadi mtu akutane na consequences, ndio memory za utimamu zinakuwa restored.
 
Hakuna anaeweza kukushauri kutokanae,lakini wewe unaonyesha uko tayari wakati unajijua ni mke wa mtu,kama kweli hauko tayari kuharibu reputation na maisha yako,usingekuja kuomba ushauri hapa,ungekuwa umeshakata shauri.
 
Jiheshimu na cyo kila kitu ni cha kujaribu..vingine n sumu ukijaribu itakudhuru..simama imara kulinda heshima yako na ndoa yako.
 
achana na huyo jamaa kabisa, kama unatambua heshima yako ilipo basi ilinde kwa nguvu zote.Maana ikidondoka huwezi kuirudisha tena. Kuwa imara wewe mwanamke, onyesha msimamo wako kwa kiakili kinyume na hisia zako mwamwimbe huyo jamaa HAITAWEZANA.
 
pole sana, kesi yako juu ya matendo ya mumeo sio ya kwanza. Natoa lawama kubwa kwa wanaume wenzangu kwa matendo mabaya tunayowatendea wake zetu. Kuna rafiki zangu wa kike well educated with very high profile jobs lakini wanashida na wanaume zao kama zako kupelekea kuchanganyikiwa na wengine ninavyoongea wameshavunja mahusiano ya ndoa. Wanawake wengi mmekua waadilifu na wengi wanaobadilika tabia katika ndoa husababishwa na waume zao. Waume hasa generation hii, huendeleza tabia zao za kabla ya kuoa ikiwepo kujali zaidi na kuthamini marafiki na kutumia muda mwingi na marafiki kuliko rafiki zao, kurudi nyumbani usiku wa manane kila siku, kutoka out zaidi na marafiki kuliko wake zao. Kunywa pombe kipita kiasi kupelekea low sperm count na kushindwa ku perform home. Kudharau wake na kufanya ngono sana nje na kushindwa kuwaridhisha wake zao. Mbaya zaidi hawatunzi familia kabisa hususani pale wake zao wanapokuwa na kazi za maana huwa ni mzigo mkubwa kwa wanawake. Imefikia mahali mwanamke hasa msomi economically independent anauma kuwa na maisha mapya. Mjini hapo, wale wasioweza kutoka kwenye ndoa wanatunza ndoazao kwakuwa na relathionships nje ya ndoa ambazo huwa zinawariwadha sana na kuwafanya wajione wanawake kama unavyojisikiawewe. Inafika mahali mwanaume hawala ndio anamshughulikia mke wa mtu kwa kila kitu hata kumpeleka kliniki mwanamke anapokuwa mjamzito. Kwakweli, sisi wanaume wa sasa ni shida tumebaki kudai haki zetu na heshima wakati hatutimizi wajibu wetu. Wanaume tunapaswa kuelewa kuwa it is our primary responsibility ku take care of our family for one hundred percent regardless of wife's financial muscles, mwanamke akiwa na mali ni added advantage lakini tunapaswa kumlisha, kumvisha, malazi, matibabu, elimukwa watoto, tujifunze kutokuwa tegemezi au kusaidiwa wajibu wetu na wake zetu.
Sasa wewe dadangu kwa kesi yako sikulaumu kwakuwa mumeo ndiye aliyekusababishia hivyo and believe me mumeo hawizi kubadilika wako wengi wa aina hiyo. Huyo jamaa yako uliyefall ni mtihani sana kwako kwakuwa mnafanyakazi pamoja. Nimeona na nina marafiki wengi wa kike ambao ndo zao hazifai kabisa wanaishi maisha ya kuwa na boyfriends ila hawafanyikazi pamoja. Sikushauri uwe nae huyo jamaa kwakuwa lazima itafahamika tu na utapoteza integrity yako na heshimu ebu jitahidi kujizua ingawa ni ngumu. Pole sana
Nitarud kwa ajili yako,sio kwa ubaya ila kuna kuna sehem upo sahihi sana sana sana ila kuna sehem napata ukakasi kdgo..
 
ebu jarib
Nawashukuru kwa mawazo yenu wapendwa.Napata nguvu ya kulishinda hili jaribu
u kubadilisha ladha ya pipi bishoste,miaka tisa shahawa zilezile teeeeeeh,,vua bikin mpe uone ana utram gani
 
Hii story inafanana sana na movie inayoitwa "Incomplete", jaribu kuitafuta ni same story, same situation, utapata solution
 
Akishakugonga na attention yote itaisha utabaki wewe ndo mtumwa wake ili asivujishe siri
 
Hapo dawa ni kucheza mechi za kirafiki tu, kwanini ujipe shida?
Ila jiandae kwa jambo 1 tu, kama ulivyosema wanaume tuna tabia ya kusimuliana hasa ukigonga demu mkali au mwenye hadhi fulani hivi, kwetu sisi tunaona fahari
 
the-weirdest-sex-stuff-thats-illegal-in-some-states-ss7.jpg
 
fikilia aibu ya mbele na siyo feelings za sasa, atakuharibia mpaka uone dunia chungu.
 
kwanza mwanaume anaekutaka na wewe ni mke wa mtu jua hakupendi wala hana akili
anakupenda kwa sababu anajua wewe ni cheap huna gharama na akishakukula atakuzarau kama takataka vile na kukutangaza utashangaa unatongozwa na ofisi nzima
Typically wrong
 
Back
Top Bottom