Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Usijaribu kugegedwa na mfanyakazi mwenzako tena ofisi moja...
1. Hatokuheshimu
2. Hutokua huru ata ukitaka kumuacha kutakua na woga fulani na vizuizi
3. Ukipata nafasi ya juu utashindwa kumuongoza
4. Ofisini wakijua kua mke wa mtu unagegedwa na kijana hapo watakudharau tu.

Hizo ni feelings tu, trust me... Humpendi huyo kaka! Matatizo ya kwenye ndoa yako ndo yanasababisha yote hayo. Umesema wewe ni mke mwema, endelea kua mke mwema na achana na mihemko ya kijinga... Ukilala nae huyo inaonesha umekata tama kabisa katika ndoa yako, ata Mungu hawezi kukusaidia. Hurekebishi kosa kwa kosa kipenzi...
Kama unatafuta pa kutolea stress basi tafuta hobby... Nunua swimming costume kaogelee...
 
Hisia ni kitu kibaya sana. Huyo jamaa anafahamu tayari kashakuteka kihisia na anachosubiri ni kutimiza anachotaka kukufanya tu

Umeona eh? Ukitataka kumteka mwanamke mzima mzima teka hisia zake. Pamoja na mleta mada kudai kuwa mme wake ni msomi, anajua kuitafuta hela; wana maisha mazuri, wana kila kitu anachokihitaji kama nyumba, usafiri wa maana na two beautiful kids, lakini bado kuna kitu kina-miss.

Hii inaonyesha sometimes kuwa na hivyo vitu haina maana kuwa mwanaume atamtosheleza mwanamke kwa kila kitu. Haina maana kuwa you will be happy thereafter. Huyo mwamaume mwingine anam-care vibaya sana, japokuwa mleta mada hajafafanua kivipi, but I believe ana-meet her deep emotional needs, the most important thing for most women. Ndo maana akiwa nae under one room anashindwa kabisa, anapoteza uchangamfu, anaishiwa pozi kabisa na alipomkaushia wiki mleta mada alikonda kwa mawazo.

Cha kufanya weka mawazo wewe ni mke wa mtu na ifikirie familia yako,heshima yako kwa mume,hapo ofisini...aibu utakayopata baada ya kugunduliwa usaliti itaharibu miaka yako yote 9 ya uaminifu

Easy said than done kwa mwanamke ambaye ametekwa kihisia. We have seen worse than this. Angekuwa mwanaume angefuata logic, lakini kwa mwanamke atafuata hisia zake. Kuna ambao wamemshauri ampende zaidi mume wake. Sidhani kama hampendi mume wake. Tatizo ni kuwa mume wake hatimizi emotional needs za mke wake na ndo maana anazitafuta kwingine.

Shetani yupo kutujaribu. Pambana tumshinde

This is one of the worst things I hear from people pale wanapokumbana na tatizo. Wanamlaumu shetani. We need to stop preaching of fear and stop focusing on what the devils or witches did, do or would do. Mleta mada ni binadamu kama binadamu wengine na she is entitled to her feelings. Na inawezekana hakuja hapa kuomba ushauri bali to find someone to listen to her. It could be that it is all she wants. To be listened to bila kuhukumumiwa. Yeye atafanya maamuzi yake mwenyewe and whatever decision she makes is none of our business.

Kuna message ilikuwa inasambaa whatsup kuwa moja ya watu wagumu kushaurika ni pamoja na mwanamke aliye-fall in love. Maana yake ni kuwa anachotaka ni mtu wa kusikiliza na kuelewa hisia zake, na siyo kumshauri cha kufanya. Deep down mleta mada anazijua feelings zake na atazitolea maamuzi yeye mwenyewe. For us just listen to her and understand how she feels.
 
Usijaribu kugegedwa na mfanyakazi mwenzako tena ofisi moja...
1. Hatokuheshimu
2. Hutokua huru ata ukitaka kumuacha kutakua na woga fulani na vizuizi
3. Ukipata nafasi ya juu utashindwa kumuongoza
4. Ofisini wakijua kua mke wa mtu unagegedwa na kijana hapo watakudharau tu.

Hizo ni feelings tu, trust me... Humpendi huyo kaka! Matatizo ya kwenye ndoa yako ndo yanasababisha yote hayo. Umesema wewe ni mke mwema, endelea kua mke mwema na achana na mihemko ya kijinga... Ukilala nae huyo inaonesha umekata tama kabisa katika ndoa yako, ata Mungu hawezi kukusaidia. Hurekebishi kosa kwa kosa kipenzi...
Kama unatafuta pa kutolea stress basi tafuta hobby... Nunua swimming costume kaogelee...
Asante nimekupenda bure.Jamaa sio coworker per se ni consultant wa project ambayo anaifanya na ofisi yetu.So all my workmates wanamjua na wamemzoea.Na pia me sio mama mtu mzima ni mdada wa mid 30's ivi.
 
Nawashukuru kwa mawazo yenu wapendwa.Napata nguvu ya kulishinda hili jaribu
Mbinu anayofanya huyo jamaa naijua vizuri, na wewe kusema sjui feelings zimeclick baada ya yeye kufanya vitu fulani vikakuteka kwake
na sababu iliyopelekea hivo ni kwamba mumeo kuna mambo fulani hakupi na naamini wala haihusian na sex ama financial issue, namin umenielewa, sasa muombee kwa Mungu na usimame na neno, he will surely leave those evil stuffs like drinking and all that then he will give u the attention u deserve
usidanganyike na baadh ya maushaur ya baadh ya wanawake wenzako huku kwamba its normal sjui kafanyie mbali wengine hapa ndoa zimewashinda sasa wanataka tu kuharib za wengine na wengine ni madunga embe tu japo sio wote, mana jaribu kujiuliza mwanamke mwenzio anakushaur ukafanye dhambi na mwanaume mwingine, yan wewe mwili wako aufunue mwanaume mwingine badala ya mume wako,
kazana kwenye maombi, tafuta pia mtumishi wa Mungu ukipata wa jinsia yako itakua vizuri zaidi mnaweza kuelewana zaidi na akakushaur mambo ya ndan na ya kiroho zaidi.
 
Mhhh nimekuekewa sana kitu unachomaanisha Lakn yote kwa yote ata kama Mimi ukanipa tuu basi heshima Ïna kwisha it like natural happens... Tu. Hivyo tinza ndoa na ukianza kamaliza labda huame mkoa... Kwani ukikutana lazima akugegedue..
 
Hiyo ni noma aisee achana nayo kabisaaaa
Wanaume hawana siri kabisaaa lazima atamsimulia MTU hapo ofsn....heshima itapungua

Embe zile care zile au mesej mnazoandikiana SK moja jaribu kumwandikia mumeo atashangaaa lakn atakujibu basi endelea hivo hivo uwapo kazin usiache kumtumia mesej za mapenzi
 
Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.
Mi nimeolewa nna miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa.Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela.Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji km nyumba,usafiri wa maana na two beautiful kids.

Ktk kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu.Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji.Me sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba.Kiufupi ni mke mwema flan!!yes najiamini kwa hilo.Jamaa nishafumania msg za wanawake mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza.Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.

Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now.Kiufupi miezi km 6 iliyopita nimekutana na jamaa ktk kazi flani.Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flan ivi throughout..Tuliclick haraka sana tukawa close.Ilitokea tu sijui kwa nn..Nilinotice jamaa ananicare vby sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.

The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist.Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kbs.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.

Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao.Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz me ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband.Baada ya hapo akanikaushia km wiki.Aisee nilikonda kwa mawazo.Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mm anataka tuspend tym wawili.Kashanialika kwake mara kibao nachomoa.Imefika mahali najiona ntashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:

1.jamaa anajua me ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.

2.Since ni coworker baada ya game ntamwangaliaje ofcn?

3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri.Aisee mi ni mdada nayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.

4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling.Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote,confident about myself na I feel lyk a woman again.

Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence,kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.

Mpe tu uvungu huo
 
Sisi wanaume tunaojielewa tukishafumania wake zetu kinachofata na talaka tu!!!!!
 
Huyo kidume anataka tu kuweka record tu hapo ofisini kua naye havumi lakini yumo, atakuchafulia CV yako bure na utabaki kujuta for the rest of your life..
 
Back
Top Bottom