Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Lorna my dear pole sana na maswahiba yanayokukuta. Amini nakwambia yanawakuta wakina dada wengi. Ni hivi, sisi wanaume ni wajanja sana. Tunajua kuwa wake za watu are yearning for attention. Kuna tatizo ndoa nyingi za siku hizi wanandoa kujisahau both wanaume na wanawake. Binafsi, nimeshatembea na wake za watu zaidi ya wanne. Hawakuwahi kuniomba pesa wala favor yoyote. Nimegundua attention ndio silaha kuu katika kuwala wanawake wapweke. Vitu vidogo sana kama salamu, checking on her, chocolate, na vizawadi vidogo vidogo tu vinawachanganya. Siamini kuwa wewe ni ma.laya kutokana na uliyoyasema. Naamini ni mwanamke decent tu unayetaka kufanya kosa kubwa ambalo madhara yake huyajui na hutakaa kuyasahau ukiamua kuchepuka. Kwa taarifa yako ni kuwa ukimpa jamaa tunda tu ujue umekwisha. Atakuvuruga zaidi na utaharibu ndoa yako. Wake za watu mnakuwaga na wivu sana kwa michepuko yenu. Utakuja kugundulika tu. Somehow women cant control their emotions. Hawa wake za watu niliotembea nao hata leo nikitaka napiga tena. Nakushauri usishindane na mume wako katika kuchepuka. Wewe ni mama wa watoto na ndiye unayeshika familia pamoja. Pindi utakapochepuka na kuachika jamii yote itanyoosha kidole kwako na kukuita mzinzi. Ndoa utakosa, watoto watataabika na kukuchukia, familia na ndugu watakudharau na kibaya zaidi huyo mchepuko wako atakuacha. Steer clear of playaz, ni wanaume hatari sana kwa sababu wanaelewa saikolojia ya wanawake ambayo kwa bahati mbaya inafanana kwa wanawake wote. Atakwambia what you want to hear and do things you want done. Lakini yote ni kukutengeneza tu. Trust me, naongea from first hand experience. Utaumia.
 
Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence,kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.

Maelezo yako yanaonesha kama unamsingizia tu mumeo kuwa tabia yake ndio umekufikisha hapo ulipo. Lakini kiundani wewe mwenyewe ndio unataka kuharibu ndoa yako. Halafu, yawezekana wewe ndio ulimuanza huyo bwana kwa body language.

Hao watoto wenu wazuri ndio ishara ya uzuri wako na mumeo, mara utakapo haribu uzuri wako ndio unapoteza na uzuri wa hao watoto wenu.

Kama upendi tabia ya mumeo mueleze, na madhara ya hiyo tabia yake. Kama hakupi chakula cha usiku kwa sababu yeye anakula hotel, basi mwambie na wewe utaenda hotelini.

Usiweke mazingira ya nyie kuwa wawili tu - wewe na huyo jamaa wa ofisini kwenu, wala mawasiliano ya aina yoyote yasiyokuwa ya kikazi.

Ili kumaliza kabisa hiyo issue once and for all, mwambie huyo bwana kuwa mumeo ameanza kuhisi hayo ma-feeling feeling yako kwa huyo bwana. Na una bahati reasoning yako ina-overcome emotions. Siku zote emotions zikipewa nafasi matokeo yake ni kilio tu kwani kufikiri kunazimika.
 
Huwezi kutaka viwili kwa pamoja...either ukate kika kitu au utoke nae...sio mara ooh nikitoka nae mara ntaaibika itakuwaje.ara anataka game mara unashundwa kuzuia hisia...acha longo longo amua kusuka ama kunyoa.....mwisho wa siku jua mume yupo tu pale pale kule ni part time
 
Mnajua watanzania mna matatizo sana!
huyu dada ameeleza kwa kina tatizo alilo nalo, na ameonesha kabisa kuwa she is missing something kwenye ndoa yake, na hilo gap katokea muwekezaji anataka kuziba mapengo. yeye pia ana hamu ya kuwa mwanamke tena, anajua madhara ya kutoka na workmate, anajua madhara ya kucheat ila she is trapped na huyu kijana wa kazini!
sasa kuita hizi hamu zake ni pepo, kumtaka aepukane na tamaa ni simple solution kwa tatizo kubwa!
elezea how anaweza kuepukana na hilo jaribio....!
msaidie aone kuwa anasaidika na afanye right decisions!
vinginevyo ni kumfanya dada wa watu asononeke tu, maana she will end up cheating kwa kuwa watu hamtoi masuluhisho, hamsaidii mbinu, wala nini!
Mbona sijaona kama wewe umetoa iyo solution? Mi nadhani kama ana zidiwa na hisia bora ange divorce na mume wake amuachie jamaa custody ya watoto, alafu afanye anacho taka kufanya, cheating is so evil
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Usijitese Kwa jambo ambalo linawezekana cha msingi mfanye siri, Kwa nini ujinyime kitu roho inatamani utajitesa bure, nakushauri mkubalie hautajuta, mbona mume wako anafanya. Hayo Mambo hayakwepeki kwenye dunia ya sasa
Ushauri mbovu kutokea
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kifupi huyo ni mharibifu na wewe unatamaa unajihisi kuna cha tofauti unakwenda kupata huko kumbe aibu tu
 
IMG_20170515_064850.jpg

Nyoko kabisa lishenzi linatafuta ukimwi
 
Umenipa nguvu sana.Hujui namna nilivyofarijika na huu ushauri.Asante sana
Naona wanaokushauri kwenye mwelekeo wa kutafunwa ndo unaona wamekufariji mama katafunwe tu maana ushadhamilia naona ushauri nwingine unakucheleweshea adhima yako katafunwe tu mama majibu yake utayapata
 
Sikiliza moyo wako, ila hiyo situation naijua hapo ushalegezwa magoti,Shida ni moja tu work mate,ila hapo huchomoi mpe tu hata kama sio leo utakuja kumpa tu😀....wanaokwambia heshima, hakunaga heshima mbele ya nyege trust me!
Cc Heaven Sent kwa ushauri to wenye povu zaidi
Hivi ww si ulisema utanitafuta nikulegeze magoti? mbona umekuwa kimya sasa au ndio tuseme umebadili gia angani?
 
Unataka kuniambia ulikosea kuchagua?
Jamaa kesha jua hupati my b mda wa kufurah na mme wako maana ake kajua vitu unavyo vi miss yeye kaziba magepu aise Embu kuwa na msimamo unaanzaj kuweka ukaribu huo na mtu asiye na mpango nawe
ivi ushawi kufikiri mme wako akijua itakuwaj?
omba ushauri jinsi unavyoweza kumrudisha mme wako kwenye mstari na si na wewe kutoka kwenye mstari iyo nyumba mnataka kujilipua wote kumbukeni mna watoto.
 
Back
Top Bottom