Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Please never argue with him or never give him any reason to feel he that you ere jealousy, I am married and I know the value of beautiful decent women n a mother, they are hard to come.

Your value and image at your current position is very high, usijiangushe hata kidini.

Also call your collegue in the office face him with courage, tell him you respect him for admiring you, but he should be decent to respect other pls wife. Kama unaweza muulize JEE angefurahiya kumuona mama yake akimdhulumu babayake, atashtuka ama kukasirika, than tell him that's what I don't want for my children.
Thank u so much.Haya maneno yamenipa nguvu Sijui nisemeje!Wengi wanakimbilia kunijudge hawajui ninayopitia kwenye ndoa.Sema tu whateva I have been going thru haijustify mm kucheat.I kno that for sure na ndo maana ninajitahidi kushinda huu mtihani.
 
achana na huyo jamaa bora angekua ofisi ya mbali sio hapo asee

Tofauti yake nini? Na huyo wa mbali si atamgegeda tu atakuwa amecheat ndoa yake, na hatari ya kuvunja ndoa na kuwapoteze a haki wanawe kwa kuishi na wazazi wake wote wawili?
 
achana na huyo jamaa bora angekua ofisi ya mbali sio hapo asee
Yani huyu keshalegezwa na jamaa huku anaheshim ndoa dah tuna kazi ngumu aisee nlivo muelewa anataka njia za kumudu nje na ndani na si vinginevyo kama ntakua sijakosea mii simpi wazo langu huyu
Na akiliwa tu keshaisha huyu.
 
Pole sana dadangu kwa pepo la tamaa linalojaribu kukuteka ili upoteze ndoa yako. M nakushauri epuka hilo jaribu kumbuka kiapo cha ndoa. All man we are the same
Mnajua watanzania mna matatizo sana!
huyu dada ameeleza kwa kina tatizo alilo nalo, na ameonesha kabisa kuwa she is missing something kwenye ndoa yake, na hilo gap katokea muwekezaji anataka kuziba mapengo. yeye pia ana hamu ya kuwa mwanamke tena, anajua madhara ya kutoka na workmate, anajua madhara ya kucheat ila she is trapped na huyu kijana wa kazini!
sasa kuita hizi hamu zake ni pepo, kumtaka aepukane na tamaa ni simple solution kwa tatizo kubwa!
elezea how anaweza kuepukana na hilo jaribio....!
msaidie aone kuwa anasaidika na afanye right decisions!
vinginevyo ni kumfanya dada wa watu asononeke tu, maana she will end up cheating kwa kuwa watu hamtoi masuluhisho, hamsaidii mbinu, wala nini!
 
Thank u so much.Haya maneno yamenipa nguvu Sijui nisemeje!Wengi wanakimbilia kunijudge hawajui ninayopitia kwenye ndoa.Sema tu whateva I have been going thru haijustify mm kucheat.I kno that for sure na ndo maana ninajitahidi kushinda huu mtihani.
Women need to be Appreciates, they need to feel wanted, they need to praised. Even DUH MKE WANGU HIKI CHAKULA LEO KITAMU SANA, MAKES A BIG DIfference .

So with this foolish guy in your office, has touched were you are most vulnerable, thats why you feel recipocative its not love nor any other thing.

Challenge yourself to win you man back but with dignity and inteligence, usimbembeleze, make you life arround your children and maybe arround his part of the family, make yourself very beautiful n uour house very immaculate, make it a heaven.

Confuse him, make him wonder, umejiremba na hutoki njee, na ukitok una wanao ama ndugu zake, lazima hatapata pressure na atashtuka. He should always see you loking like a million dollars.

I pry for u to succeed, and be a women n half
 
Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.
Mi nimeolewa nna miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa.Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela.Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji km nyumba,usafiri wa maana na two beautiful kids.

Ktk kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu.Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji.Me sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba.Kiufupi ni mke mwema flan!!yes najiamini kwa hilo.Jamaa nishafumania msg za wanawake mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza.Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.

Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now.Kiufupi miezi km 6 iliyopita nimekutana na jamaa ktk kazi flani.Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flan ivi throughout..Tuliclick haraka sana tukawa close.Ilitokea tu sijui kwa nn..Nilinotice jamaa ananicare vby sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.

The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist.Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kbs.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.

Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao.Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz me ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband.Baada ya hapo akanikaushia km wiki.Aisee nilikonda kwa mawazo.Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mm anataka tuspend tym wawili.Kashanialika kwake mara kibao nachomoa.Imefika mahali najiona ntashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:

1.jamaa anajua me ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.

2.Since ni coworker baada ya game ntamwangaliaje ofcn?

3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri.Aisee mi ni mdada nayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.

4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling.Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote,confident about myself na I feel lyk a woman again.

Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence,kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.
mliona kimjinimjini sasa hapo ndio kuachana kimjinimjini kumefika.hapo naisi mliona mkiwa wote michepuko samahani
 
Tukusaidie nin ulijenga kagera au una msiba arusha kiufupi swala lako ni la kitoto unachat na mtu ambae si mumeo unadevelop feelings afu unakuja kuomba mxaada ukiendelea kujipendekeza ata ushauliwe na mwenye jf uyo jamaa atakutia tango tu coz ushamweka rohoni, fwata hisia zako then be responsible for your decision, kuna usemi usemao "life is full of choices, people chose, then they are responsible of the outcome"
 
Kwa jinsi nlivyosoma maelezo yako inaonyesha kumekosekana ile furaha ya mapenzi baina yako na mumeo.if thats the case then tafuta namna ya kulirekebisha hilo.kama haitawezekana then angalia ustaarabu mwengine.maana sidhani uliingia kwenye ndoa kwaajili ya kulea watoto na kuitwa mke wa fulani,kile kilichokufanya uingie kwenye ndoa the first time.kitafute
 
Mambo mengine bora yaishie hapo hapo hata kama hisia ni kali sana. Mkishafanyana utajutia nakwambia, hamna jipya ni mihemko tu.
Kuwa busy na issue zingine ili coworker akutoke akilini.
Maswala ya hisia ni YA Sisi wenyewe kuyalea moyoni. Na yanaepukika. Apunguze mawasiliano na huyo jamaa na kuondoa attention kwake. Aepuke kuwa naye hasa katika mazingira ya wawili peke yao.

Pia ajaribu kuengea na mmewe na amwambia kuwa anajisikia mkiwa mme wake kuwa mbali naye emotionally.
 
Huo ni ushetaji mama. Unaingia katika majaribu makubwa. Hapo huna wa kumraumu baadae ila ni nafsi yako. Achana nae kabisa mama. Hiyo ni starehe ya muda mfupi ila madhara ni makubwa. Hamnaga siri hata kidogo. Hebu jaribu kuyashinda hayo majaribu mama. Tena usilogwe ukampa ndo ushaharibu ndoa yako. Mungu hakupi vyote. Achana nae kabisa tena kabisa. Ushinde moyo wako wako mama.
 
Kwa jinsi nlivyosoma maelezo yako inaonyesha kumekosekana ile furaha ya mapenzi baina yako na mumeo.if thats the case then tafuta namna ya kulirekebisha hilo.kama haitawezekana then angalia ustaarabu mwengine.maana sidhani uliingia kwenye ndoa kwaajili ya kulea watoto na kuitwa mke wa fulani,kile kilichokufanya uingie kwenye ndoa the first time.kitafute
Thanx kwa ushauri.
 
Hujielewi wewe
Endelea kuendekeza tamaa ukose familia yako hiyo wenzio wanasugua goti wazipate wewe unaleta tamaa za kitoto
 
Huo ni ushetaji mama. Unaingia katika majaribu makubwa. Hapo huna wa kumraumu baadae ila ni nafsi yako. Achana nae kabisa mama. Hiyo ni starehe ya muda mfupi ila madhara ni makubwa. Hamnaga siri hata kidogo. Hebu jaribu kuyashinda hayo majaribu mama. Tena usilogwe ukampa ndo ushaharibu ndoa yako. Mungu hakupi vyote. Achana nae kabisa tena kabisa. Ushinde moyo wako wako mama.
Asante sana kwa kunielewa.Its exactly what i needed.Mtu anishauri bila kunihukumu.Umenipa nguvu ya kukataa hii hali.
 
kwanza mwanaume anaekutaka na wewe ni mke wa mtu jua hakupendi wala hana akili
anakupenda kwa sababu anajua wewe ni cheap huna gharama na akishakukula atakuzarau kama takataka vile na kukutangaza utashangaa unatongozwa na ofisi nzima
Well said.....nafikiri Dada achukue ushauri wako.
 
Humu jf watu wamekaa kukatishana tamaa na kujifanya watabiri wa nyota..

Ushauri wangu dada we mpe uone kitatokea nini? Unaweza kuta jamaa ndio akawa mkata kiu wako daima na kukondolea balaa la kupigwa kamoja na huyu mmeo aliye mlevi.

Utaishi Kwa malalamiko ya mmeo hadi lini? jamaa kaonesha nia basi huna budi kumtunuku zawadi ya ushindi.

Usiwe na hofu hata yeye Hawezi kutangaza ofisini maana Kwa sifa ulizotaja jamaa anaonesha kabisa si mpenda barobaro ni MTU wa kazi na ndio maana ulipomtolea nje mara ya kwanza alikubaliana nawe week nzima akawa mbali nawe he ofisini walihoji au waliongelea kutengana kwenu??

Wakati mwingine watu wanawatisha wenzao hofu hofu tu wapuuze NAKUTAKIA MAFANIKIO MEMA cha kuzingatia ni afya mkapime kwanza.
 
Back
Top Bottom