Kuku wa Kabanga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2009
- 807
- 369
Tatizo lako ni kukaa kimya na kumezea anayofanya mumeo,sidhani km unampenda huyo coworker wako bali nahisi umechoka tu anayofanya mumeo bila kificho,kawaida mwanaume akistukiwa kuwa anachepuka hubadili mbinu ili next time usimkamate na mwanaume asiyekamatwa na mkewe kuwa anachepuka tunatafsiri anamheshim mkewe na hivyo hafanyi mambi yake kizembe.
Nakushauri tulia,ukifuma tena ushahidi wa text msgs za michepuko kuwa mbogo uone atakavyojerekebisha,sio kwa kuacha michepuko bali kwa kuchepuka kwa heshima maana iko wazi hakuna mwanaume asiyechepuka.
La kuongeza,huyo jamaa anakupa attention kwa sababu bdo hajakugegeda.

nauona Mfumo Dume katika Ubora wake! Yani ni kana kwamba Kwa mwanaume kuchepuka siyo vibaya isipokuwa Kwa mwanamke ndo vibaya
kemea kwa pande zote mbili me Na ke !