Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Follow your heart my sister, usikatishwe tamaa na ushauri wa jf, fanya kile moyo wako unapenda, ukae ukijua furaha ya kweli inatoka kwako kwa kufanya yale unayoyapenda, mojawapo ya mambo yatakayokupa furaha ni pamoja na ku make love na co-worker.

JUST DO IT.
 
Pindi, utakapomkubalia na kumpa bwimbwi, umekwisha, utamsahau mumeo, utasahau watoto wako hao wawili, mumeo atakapoona tofauti utaanza kumpa majibu ya mkato. Binti yangu, kata mawasiliano naye ghafla, na akikufuatilia mwambie mumeo amesha ijua siri yenu kisha mtoe jamaa hiyo moyoni mwako. Penzi halionjwi, kama amesha kufanya u feel like a woman, basi ujue mzinga tayari umeshauchonga. Jiandae, 1. kumbambikizia mumeo mimba isiyo yake , 2.Jiandae kuachana na mumeo pamoja na hao two kids wako. Usijaribu kumuonjesha bwimbwi utamkabidhi jumla. Are you there?.
 
Nimemsoma Mara mbili mleta uzi,

Sishawishiki kuwa Mleta uzi ni Mwanamke kwa kadri ya Maandishi na lugha alizotumia huku akijitambulisha ni Mwanamke Tena Mtu wa sala na maombi
Nimeliona hilo pia...tunachezewa akili
 
Kumbuka Ndoa yako ni ya miaka tisa dada!!!kuna watu kibao wanatafuta ndoa mpaka leo hawajapata..udiichezee dada yangu..na hiyo Ni mitihani ya maisha hiyo..TULIA na mume wako..EPUKA Ukaribu na huyo jamaa specially kuwa wawili peke yenu..

Mwisho;hongera kwa ujasiri wa kuja kuzungumza humu..maana wengi wanatulia wanaishia kuharibu ndoa yao..!!
 
sikusema me mtu wa maombi 24/7.Ila nimekulia kwenye maadili flan na nna hofu ya Mungu.na nimeweka wazi changamoto nyingi nazopitia nasali sana zinapita.Ila kwa hili naona shetani kaning'ang'ania.Sikuwahi kuwaza kutoka nje ya ndoa yangu wala kuwa mchepuko wa mtu.
Ukiwa na hofu ya Mungu hwez tamani mwanaume mwingine zaidi ya mumeo...The day unamvulia chupi hyo jamaa ndo siku ya kuvunjika ndoa yako emotionally before hamjaachana na mumeo kwa aibu...Fikiria bugudha kwa hao beutiful kids mliowapata...Nyege zipo tu ila kwa sasa unatakiwa kusimama kama mama...mke...mlezi wa familia...mume atarudi tu na uache kupekua simu yake
 
Pindi, utakapomkubalia na kumpa bwimbwi, umekwisha, utamsahau mumeo, utasahau watoto wako hao wawili, mumeo atakapoona tofauti utaanza kumpa majibu ya mkato. Binti yangu, kata mawasiliano naye ghafla, na akikufuatilia mwambie mumeo amesha ijua siri yenu kisha mtoe jamaa hiyo moyoni mwako. Penzi halionjwi, kama amesha kufanya u feel like a woman, basi ujue mzinga tayari umeshauchonga. Jiandae, 1. kumbambikizia mumeo mimba isiyo yake , 2.Jiandae kuachana na mumeo pamoja na hao two kids wako. Usijaribu kumuonjesha bwimbwi utamkabidhi jumla. Are you there?.
Hujazungumzia na UKIMWI mkuu maana hawataweza kula pipi ndani ya ganda kila siku..Kuna siku watachakaza rim tu hapo ndio utajua kwanini hakuna picha ya kambarage na nguo za chama
 
Mpe tu afu acha kazi ili ulinde heshima yako maana hata siri ikivuja utakuwa haupo
 
Mwanzo tu huo, kwa kuwa jamaa anasarandia.

Akishakugonga mara moja tu, ujue, hayo mapenzi unayoyasema hutayaona tena.

Wewe komaa na Mumeo tu
 
Dada kawaida Yetu ss wanaume kwamba..
. tukishaoa huwa tunakuwa na tamaa na vyupi vya nje lakn sio kwamba hatuwapendi wake zetu.
. tunakuwa na kaupendo ka kinafki au tamaa na mwanamke ambaye hujamgonga na ukishamgonga tu tunaona takataka.

. heshima kwa mwanamke niliyemvua chupi hasa mke wa mtu inapungua na baadae anakuwa kero.
Hvyo basi ukithubutu kupa uchi huyo jamaa tambua ya kwamba utadharaurika na huyo jamaa zaidi hata ya mwanamke anauejiuza.

Jamaa akishakugonga tu siku akikuona unacheka na mwanaume mwingne ataanza kukusema ww ni Malaya unajichekesha ovyo kwa wanaume na ndio maana hata yeye kakugonga na huo ndio mwanzo wa ww kutangazwa na kuiona ofisi chungu..

Ww jifanye penda penda utakuja kujilaumu mpaka ukome
 
Kwnza we mwanaume,pili umemiss attention tu kwa mumeo ila sionkwamba unampenda tatu naweza kuamini we ni mwanamke coz nimeona hujui unataka nini...unasepa ana kila kitu na mtafutaji toka lini wanawake wakapenda pesa?haya wanaume mjifunze ht ukiwa na hela bado huwez kumtuliza mwnamke
 
unamsingizia
 
huyu jamaa lazima atakupa mtanange, hisia ni kitu cha hovyo sana. kuna mazingira utajikuta usha mpa maana tayari una hisia nae.

we vunga tu alafu jamaa atoke na mwingine uanze wivu, maneno ya ajabu na kuumia kwa kiwango cha mali.
 
Achana na mawazo ya kijinga hayo, ana kucare kwa lipi? Mmeo ndio anae kucare mpaka huyo jamaa anakuona una mvuto!!!
Na kama utatembea nae ni umeamua tu sio kuwa ana kucare
 
Back
Top Bottom