Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Ila bhana na nyie wanaume mnaboa sana mkipata wanawake wametulia mnahangaika nn jmn? Kuna utofauti wa papuchi? Aaaaaaaaaagh?
 
Shetani amekua ndio msingiziwaji sana lakini kumbuka kwamba wakati ulivyokuwa una establish haya mambo na huyo mwanaume shetani hakuwepo,na ukisema shetani alikupitia hadi mkafikia hapo sio kweli maana mlipanga hadi mahali pa kwenda kwamaana ya nyumbani kwa mwanaume hapo bado ni akili yako na yeye,sasa kama walivyocomment wengine ni kwamba hiyo ni Roho ya uzinzi na uasherati inakusumbua stay away from that kwa yafuatayo
1).Mweleze wazi kwamba sipo tayari kwa kuvuliwa chupi na yeye,
2)mwombe msamaha kwa wewe kumtamanisha na kujirahisi kwake maana yawezekana ulimtongoza.
3)Mshirikishe mumeo na hii ni kama una upendo wa dhati sana mwambie na pia u muombe msamaha,usimfiche kitu hadi mlipofikia mapana ahadi mwambie maana hii ndio njia sahihi ya kuiondoa roho ya uzinzi/uasherati.na ufanyapo haya muombe Mungu akupe kibali cha kukuendea jambo hili kwa mumeo na hata kwa huyo Mwanaume
4)Shughulika na Mungu pekee kwa kuugua goti akupe rehema maana hakika usipofanya haya utakua hujatibu kitu bado hii hali itakuotea tuu!
5)Jiheshimu kama Mke wa Mtu kwa kuvaa mavazi ya heshima,maana inatokea sana ninyi wakina mama huwa mna vaa mavazi ambayo hata kama sio malaya utaonekana malaya kwa mavazi utakayokua umeyavaa.Mavazi ndio yanatangaza vile ulivyo na kumbe sio sasa chunga sana upande wa mavazi,vaa kwa heshima na usivae eti kwa kumpendezesha mtu wa nje,vaa kwa kumpendezesha Mungu na Mume wako.ukitaka faida nyingi za nini maana ya ndoa nitafute kwa wewe kuweka email yako na sihitaji kukutana nawe face to face unless upo na Mume wako.
6)Ukivaa mavazi ya heshima utawaonyesha watoto wako tabia njema hawataiga.
7)Ukifanya uchafu huo watoto wako watahisi na hutaweza wakataza kitu
 
Hiyo hali inawatokea wengi sana kwenye ndoa, wanaume mnapaswa kujua kuwa mkeo atakapojua kuwa una mchepuko Kwa namna moja ama nyingine, wanaume wengi hupenda kukanusha lakini Mke siyo mtoto Mdogo, ikatokea mkayamaliza Ni vema, Hali hiyo iki kirudia Mara Kwa Mara hupelekea mwanamke kuanza kupoteza hisia Kwa Mume wake kabisa, ikatokea Mke akaja mpenda mwanaume mwingine na Mwenye hisia nae nakwambia weeee acheni buana nature is ordered! Wanaume mfahamu hivyo yani Kama mkeo Siku akijua unachepuka atakusamehe lakini jua hapo badae .... Ila Mwenyezi Mungu atuhurumie atusamehe na atusadie kushinda mabaya yote! Huyo dada ni anawakilisha wengi!
 
Nakushauri pia kama Mume wako anachepuka mtafute Mungu sana.Muombee sana toka akitoka mlangoni,pia kua nae karibu ufahamu shida yake ni nini,akichepuka usilipize eti kwamba utamkomoa,wewe ndio utadhani kikao sana na zaidi sana yeye anachepuka kwa kukosa the upper most basic needs zake sasa yawezekana anatoka kwasababu kuna kitu a nakosa, jifunze kufa hamu Mume wako anataka nini,unajua ukimpa hata Pipi tuu kwa upendo hakika atabaki na wewe Mm nadhani kuna kitu hakiko sawa kati yako na yeye be careful,wapo wengi nje wakiamua kumchukua kabisa hutomuona maana hao wa nje wanambinu nyingi za kulea
 
Naamini hilo pia kwa jinsi alivo ushauri utagundua kitu hicho yani

Siwezi kuwasemea hua ni vipi hasa ila mnanishangaza sana manapokua mmepata mahala salama kwa maisha mkikosa tu dudu ya kotosha mnaifanya ndoa haina maana kabsaaa jmn kwa nini?hivi kati ya dhiki za maisha na kukosa dudu kipi kinavumilika? Na je kwa nini hamuombi kuachwa kabisa kwakosa dudu?

Kwaa wanaume tulio wengi hua tunajikita zaidi kimaisha nakuchukulia kawaida ila inazungumzika na kubadili muelekeo pia.
Ishu sio dudu km unavodhani,wala pesa ndo maana nikasema mapema nina uwezo msije mkadhani nimevutiwa na hela au natafuta hela.Tatizo nililogundua kwangu ni kukosekana emotional satisfaction kutoka kwa mume wangu km alivosema mchanguaji mmoja.Mume hajali mambo yangu kiivo.Hata usimsimulia stress za kazi hayuko concerned.
Kwa hiki kipindi kifupi jamaa amekuwa very concerned na mambo yangu,ana pay attention na ananielewa ananisikiliza,anajali, ananishauri.Hapo ni kwa mambo ya kawaida tu na work related matters.Sijawahi kushare nae details za ndoa yangu.Hii ni kwa sbb mwanzoni kabla hatujazoeana kiivo nilijinadi kwake kwamba am the happiest wife na under no circumstance sitokaa kumcheat mume wangu.Na sielewi why mtu anacheat.Nadhani pia kuna status flan ambayo ananichukulia coz hajui details za maisha yangu ya ndoa.And I didnt wanna break that.Yeye mambo yake ya mahusiano,familia,kazi etc ananiambia.Ila me sina nguvu ya kumsimulia wala sitaki.Sikutaka aone najustify me na yeye kuwa close kwa kumsema mume vby.Basi iko hivo tu.Na nimejikaza kutokuonyesha udhaifu muda wote akiwepo.
 
Na utakapojua wanaume wengi hawajatulia iko hivi wanaume walio wengi hawapendi wake zao wawe na access na simu za wanaume wao, hicho peke Yake ni kiashiria kuwa huyo mwanaume hajatulia, Kama uko sincerely Kwa nini ukatae? Though mwanaume mwingine anakupa simu lakini anakuwa na nyingine ambayo anaificha kwenye Gari au kwenye droo Ofisini!
 
Ishu sio dudu km unavodhani,wala pesa ndo maana nikasema mapema nina uwezo msije mkadhani nimevutiwa na hela au natafuta hela.Tatizo nililogundua kwangu ni kukosekana emotional satisfaction kutoka kwa mume wangu km alivosema mchanguaji mmoja.Mume hajali mambo yangu kiivo.Hata usimsimulia stress za kazi hayuko concerned.
Kwa hiki kipindi kifupi jamaa amekuwa very concerned na mambo yangu,ana pay attention na ananielewa ananisikiliza,anajali, ananishauri.Hapo ni kwa mambo ya kawaida tu na work related matters.Sijawahi kushare nae details za ndoa yangu.Hii ni kwa sbb mwanzoni kabla hatujazoeana kiivo nilijinadi kwake kwamba am the happiest wife na under no circumstance sitokaa kumcheat mume wangu.Na sielewi why mtu anacheat.Nadhani pia kuna status flan ambayo ananichukulia coz hajui details za maisha yangu ya ndoa.And I didnt wanna break that.Yeye mambo yake ya mahusiano,familia,kazi etc ananiambia.Ila me sina nguvu ya kumsimulia wala sitaki.Sikutaka aone najustify me na yeye kuwa close kwa kumsema mume vby.Basi iko hivo tu.Na nimejikaza kutokuonyesha udhaifu muda wote akiwepo.
Akila mzigo anaweza na yeye kuwa hana attention na wewe tena, na ikitokea hvyo utateseka sana maana unamuona kila siku
 
Nakubaliana nawe kabisaa ila mazoea mabaya ndo maana ilikua ngumu kucut off.La kumuona kila siku na kukaushiwa ndo haswaa penye mtihani maana kila nikiwaza hilo pozi linaisha.
 
Kuna Mwanamke mwingine unakuta tangu ubinti wake hajawahi kuwa hata Na boyfriend hadi anakuja kuolewa na huyo Mume wake akiwa anamwamini Na kumpenda Kabisa, gafla anakuja kugundua Kumbe Mume wake anauhusiano Na mwanamke mwingine loh hatakama mwanaume utakana kama ilivyo desturi yenu na hali hiyo ikawa inajirudia mara Kwa mara, jua ipo Siku ..... Mimi nilikuwa siamini Kama mwanamke aliyeolewa anaweza kuchepuka Ila sasa nimeamini, halafu wanawake wakiamua kufanya Siri mwanaume hutakaa uje ustukie hata Siku moja! Labda hao ambao walio ofisi moja hapo wambea lazima watamtafuta huyo Mume Na kumweleza lakini Kama yuko mbali na Kama mwanamke anajielewa mwanaume kamwe hatakuja ajue!
 
Nakubaliana nawe kabisaa ila mazoea mabaya ndo maana ilikua ngumu kucut off.
Basi sawa ushapenda sana, lkn fukiria impact za baadae pia mmeo akija kujua itakuwaje?
But wewe ndio muamzi wa mwisho
 
Shetani amekua ndio msingiziwaji sana lakini kumbuka kwamba wakati ulivyokuwa una establish haya mambo na huyo mwanaume shetani hakuwepo,na ukisema shetani alikupitia hadi mkafikia hapo sio kweli maana mlipanga hadi mahali pa kwenda kwamaana ya nyumbani kwa mwanaume hapo bado ni akili yako na yeye,sasa kama walivyocomment wengine ni kwamba hiyo ni Roho ya uzinzi na uasherati inakusumbua stay away from that kwa yafuatayo
1).Mweleze wazi kwamba sipo tayari kwa kuvuliwa chupi na yeye,
2)mwombe msamaha kwa wewe kumtamanisha na kujirahisi kwake maana yawezekana ulimtongoza.
3)Mshirikishe mumeo na hii ni kama una upendo wa dhati sana mwambie na pia u muombe msamaha,usimfiche kitu hadi mlipofikia mapana ahadi mwambie maana hii ndio njia sahihi ya kuiondoa roho ya uzinzi/uasherati.na ufanyapo haya muombe Mungu akupe kibali cha kukuendea jambo hili kwa mumeo na hata kwa huyo Mwanaume
4)Shughulika na Mungu pekee kwa kuugua goti akupe rehema maana hakika usipofanya haya utakua hujatibu kitu bado hii hali itakuotea tuu!
5)Jiheshimu kama Mke wa Mtu kwa kuvaa mavazi ya heshima,maana inatokea sana ninyi wakina mama huwa mna vaa mavazi ambayo hata kama sio malaya utaonekana malaya kwa mavazi utakayokua umeyavaa.Mavazi ndio yanatangaza vile ulivyo na kumbe sio sasa chunga sana upande wa mavazi,vaa kwa heshima na usivae eti kwa kumpendezesha mtu wa nje,vaa kwa kumpendezesha Mungu na Mume wako.ukitaka faida nyingi za nini maana ya ndoa nitafute kwa wewe kuweka email yako na sihitaji kukutana nawe face to face unless upo na Mume wako.
6)Ukivaa mavazi ya heshima utawaonyesha watoto wako tabia njema hawataiga.
7)Ukifanya uchafu huo watoto wako watahisi na hutaweza wakataza kitu
namba 2 sio kweli soma maelezo yangu vzr.
 
Ishu sio dudu km unavodhani,wala pesa ndo maana nikasema mapema nina uwezo msije mkadhani nimevutiwa na hela au natafuta hela.Tatizo nililogundua kwangu ni kukosekana emotional satisfaction kutoka kwa mume wangu km alivosema mchanguaji mmoja.Mume hajali mambo yangu kiivo.Hata usimsimulia stress za kazi hayuko concerned.
Kwa hiki kipindi kifupi jamaa amekuwa very concerned na mambo yangu,ana pay attention na ananielewa ananisikiliza,anajali, ananishauri.Hapo ni kwa mambo ya kawaida tu na work related matters.Sijawahi kushare nae details za ndoa yangu.Hii ni kwa sbb mwanzoni kabla hatujazoeana kiivo nilijinadi kwake kwamba am the happiest wife na under no circumstance sitokaa kumcheat mume wangu.Na sielewi why mtu anacheat.Nadhani pia kuna status flan ambayo ananichukulia coz hajui details za maisha yangu ya ndoa.And I didnt wanna break that.Yeye mambo yake ya mahusiano,familia,kazi etc ananiambia.Ila me sina nguvu ya kumsimulia wala sitaki.Sikutaka aone najustify me na yeye kuwa close kwa kumsema mume vby.Basi iko hivo tu.Na nimejikaza kutokuonyesha udhaifu muda wote akiwepo.
Basi kwa hilo wewe kua free jali vitu muhimu tu usiji shughulishe nae yan kua kawaida tu kwake haina kuuliza mbona umechelewa mbona kuna hiki na hiki shughulika na nyumba yako watoto wako usiumize kichwa juu yake huna ishu ingia humu cheka furahi na usio wajua inatosha
Huyo unae mfeel hatadumu katika hiyo hali ya sasa chunga sana atakuvua chupi tu amzarau mumeo ukiona kero zaidi ni bora kuachwa au kukaa mbali nae kwa mashart ajerekebishe kwanza.

Mawanamke halisi hana sifa ya kuchepuka
 
Nakubaliana nawe kabisaa ila mazoea mabaya ndo maana ilikua ngumu kucut off.La kumuona kila siku na kukaushiwa ndo haswaa penye mtihani maana kila nikiwaza hilo pozi linaisha.
Pia ujue mwanamke unadhamani kabla ya kuvua nguo, ukisha vua basi wanaume tunaangalia mwingine
 
Kuna Mwanamke mwingine unakuta tangu ubinti wake hajawahi kuwa hata Na boyfriend hadi anakuja kuolewa na huyo Mume wake akiwa anamwamini Na kumpenda Kabisa, gafla anakuja kugundua Kumbe Mume wake anauhusiano Na mwanamke mwingine loh hatakama mwanaume utakana kama ilivyo desturi yenu na hali hiyo ikawa inajirudia mara Kwa mara, jua ipo Siku ..... Mimi nilikuwa siamini Kama mwanamke aliyeolewa anaweza kuchepuka Ila sasa nimeamini, halafu wanawake wakiamua kufanya Siri mwanaume hutakaa uje ustukie hata Siku moja! Labda hao ambao walio ofisi moja hapo wambea lazima watamtafuta huyo Mume Na kumweleza lakini Kama yuko mbali na Kama mwanamke anajielewa mwanaume kamwe hatakuja ajue!
Asante shetani
 
Tena Mdada kama Kama huyo anampa jamaa bure kabisa Kwa kiroho safi! Wanaume Kwa mtini mjifunze!
 
Back
Top Bottom