Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Pole sana dada,kumpotezea huyo jamaa wa office ni rahisi sana.Wewe ongeza attention kwa mumeo itakusaidia.Angalia anakunywa bia gani weka kwa fridge siku moja ya week end unamchomea nyama vizurii unatia viungo unampa na ndizi choma au ugali na kachumbari yenye ndimu na pili pili.Akimaliza kula unampa na bia zake mbili unamwambia leo nimeamua tuwe marafiki mume wangu .You are my best friend I love you.Baada ya hapo mjali mumeo kinzia vaa yake ,anachokula na vitu vingine.Mjali kama unavyojali sms ya mchepuko kwenye simu yake(Natania).Na watoto fuatilia mambo yao kwa karibu.Hapo utajikuta umewekeza kwenye familia yako na hisia za huyo jamaa zimepotea zenyewe.Usikubali kuwa tegemezi kihisia itakukost ,tena kwa co worker ndo haifai kabisa.Utajishushia heshima yako ulojenga mda mref.Wewe umshea na sisi hujui huyo jamaa anashea na nani this situation na wanampa mikakati gani ili uanguke.Usisubiri mumeo afanye kila kitu hapo alipofanya kama mwanadam panatosha palipobaki malizia mama ndo maana ya kuoana hiyo.Kuwa problem solver usiwe complainer.Kwa sababu kwa maelezo yako unataka kmlaumu mume kwa kutokukujali wakati anakujali kwa kiasi kikubwa mnoo yaani.
 
86da7f42c52c1c3d00e2c723dffc505a.jpg

Usiombee mumeo akukamate, utajuta uamuzi wako. Yaani hata huo upendo wake kidogo aliokuwa nao juu yako utaondoka, believe me hauta-solve chochote by infidelity. "MWISHO WA DHULUMA NI AIBU!"
 
Pole sana dada,kumpotezea huyo jamaa wa office ni rahisi sana.Wewe ongeza attention kwa mumeo itakusaidia.Angalia anakunywa bia gani weka kwa fridge siku moja ya week end unamchomea nyama vizurii unatia viungo unampa na ndizi choma au ugali na kachumbari yenye ndimu na pili pili.Akimaliza kula unampa na bia zake mbili unamwambia leo nimeamua tuwe marafiki mume wangu .You are my best friend I love you.Baada ya hapo mjali mumeo kinzia vaa yake ,anachokula na vitu vingine.Mjali kama unavyojali sms ya mchepuko kwenye simu yake(Natania).Na watoto fuatilia mambo yao kwa karibu.Hapo utajikuta umewekeza kwenye familia yako na hisia za huyo jamaa zimepotea zenyewe.Usikubali kuwa tegemezi kihisia itakukost ,tena kwa co worker ndo haifai kabisa.Utajishushia heshima yako ulojenga mda mref.Wewe umshea na sisi hujui huyo jamaa anashea na nani this situation na wanampa mikakati gani ili uanguke.Usisubiri mumeo afanye kila kitu hapo alipofanya kama mwanadam panatosha palipobaki malizia mama ndo maana ya kuoana hiyo.Kuwa problem solver usiwe complainer.Kwa sababu kwa maelezo yako unataka kmlaumu mume kwa kutokukujali wakati anakujali kwa kiasi kikubwa mnoo yaani.
Thanx my sis.I hear you!Katika safari yangu ya ndoa nimejifunza mengi na nimefanya mengi kurescue situation hasa kwenye ishu za michepuko wa mume.Nimefanya hiki na kile ila mwisho naishia kusali tu maana kuna kipindi mtu unataka hata kufa kwa unayofind out.Mtu unajaribu hili na lile ukidhani wewe ndo problem.Baada ya muda anaendelea tu like nothing happened.Kuna wakati naona ananitake for granted.Kuna wkt nakata tamaa km atakuja kubadilika na kuacha tabia zake.Ila yote kwa yote sikuwazaga kulipizia aisee much less na mtu wa kazini.Najielewa vzr sana ndo maana nafight kujicontrol as i know the consequences.Kuna saa nikiwa peke yangu am like oh God whats happening to me?I was feeling guilty all along.Ila blv me ushauri wa members hapa umenipa nguvu.Naona hiki kitu kinanitoka najisikia moyo mwepesi.Hili suala sikuweza kushare na yeyote naanzaje!U guys hamjui tu mmenisaidiaje.Nawashukuru sana
 
Nakumbuka ile siku rafiki yangu aliponiomba nimtongoze demu wake, ambaye shemeji yangu huyo alinikubalia bila hiyana. Jamaa ikamuuma sana, akawa ananilazimisha nimueleze ukweli kama nilifanikiwa kumgegeda, nilimkatalia katakata. Ila ukweli tuliujua wawili sisi.

The point is, wapo wanaume wanaotumia technic za hatari kuwapima wake zao, ila outcomes yake ni sooo.

Kaa radar dada.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Sikiliza moyo wako, ila hiyo situation naijua hapo ushalegezwa magoti,Shida ni moja tu work mate,ila hapo huchomoi mpe tu hata kama sio leo utakuja kumpa tu😀....wanaokwambia heshima, hakunaga heshima mbele ya nyege trust me!
Cc Heaven Sent kwa ushauri to wenye povu zaidi
Haha eti hakunaga Heshima mbele ya nyege, haki roho mbaya yako inazidi kila siku khee. Huu uzi kuna watu wamewaambia wake zao hakuna tena kufanya kazi lol
 
Hiyo n changamoto kubwa sana inayowakuta wengi sana, kwa situation ulionayo utakuja kuleta majbu hapa lazma jamaa akupitie.. Hapo ulipofika lazima utagawa mzigo lasvyo mshirikishe mumeo hapo ndio utapona
Naamini hilo pia kwa jinsi alivo ushauri utagundua kitu hicho yani

Siwezi kuwasemea hua ni vipi hasa ila mnanishangaza sana manapokua mmepata mahala salama kwa maisha mkikosa tu dudu ya kotosha mnaifanya ndoa haina maana kabsaaa jmn kwa nini?hivi kati ya dhiki za maisha na kukosa dudu kipi kinavumilika? Na je kwa nini hamuombi kuachwa kabisa kwakosa dudu?

Kwaa wanaume tulio wengi hua tunajikita zaidi kimaisha nakuchukulia kawaida ila inazungumzika na kubadili muelekeo pia.
 
"Namfeel mno Jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling " aliesema wanawake mwalimu wetu kipofu hakika hakukosea.....ngoja nikakojoe nilale miee.
Hapo ndo nnapo amini kuna aina ya ushauli anautaka na si kumuambia acha
 
Kwa jinsi nlivyosoma maelezo yako inaonyesha kumekosekana ile furaha ya mapenzi baina yako na mumeo.if thats the case then tafuta namna ya kulirekebisha hilo.kama haitawezekana then angalia ustaarabu mwengine.maana sidhani uliingia kwenye ndoa kwaajili ya kulea watoto na kuitwa mke wa fulani,kile kilichokufanya uingie kwenye ndoa the first time.kitafute
Word!
 
Dada kawaida Yetu ss wanaume kwamba..
. tukishaoa huwa tunakuwa na tamaa na vyupi vya nje lakn sio kwamba hatuwapendi wake zetu.
. tunakuwa na kaupendo ka kinafki au tamaa na mwanamke ambaye hujamgonga na ukishamgonga tu tunaona takataka.

. heshima kwa mwanamke niliyemvua chupi hasa mke wa mtu inapungua na baadae anakuwa kero.
Hvyo basi ukithubutu kupa uchi huyo jamaa tambua ya kwamba utadharaurika na huyo jamaa zaidi hata ya mwanamke anauejiuza.

Jamaa akishakugonga tu siku akikuona unacheka na mwanaume mwingne ataanza kukusema ww ni Malaya unajichekesha ovyo kwa wanaume na ndio maana hata yeye kakugonga na huo ndio mwanzo wa ww kutangazwa na kuiona ofisi chungu..

Ww jifanye penda penda utakuja kujilaumu mpaka ukome
Asipo kuelewa atakua na lake jambo
 
Kosa linalofanywa na sisi wanandoa (ME & KE) kufikiri kwamba ukishaoa hutaona mtu ambaye anakuvutia kimapenzi. Watatokea wengi tu wanaokuvutia kimapenzi isipokuwa unaacha kuitii tamaa ya moyo na kubaki na mke/mme wako. Hapa cha muhimu kuamua kubaki na mumeo / mkeo tu. Kwanza tendo la usaliti katika ndoa huwa linamnyima raha sana yule anayesaliti maana ukimwangalia mwenza wako unajisikia mzigo wa maumivu umekujaa moyoni na wala hutapata furaha yoyote katika moyo wako.
 
Asante kwa ushauri tena from a man's point of view.Nilishaamua kupotezea ila nikawa naumia mwenyewe but am now at ease,thanx sana.
 
Kosa linalofanywa na sisi wanandoa (ME & KE) kufikiri kwamba ukishaoa hutaona mtu ambaye anakuvutia kimapenzi. Watatokea wengi tu wanaokuvutia kimapenzi isipokuwa unaacha kuitii tamaa ya moyo na kubaki na mke/mme wako. Hapa cha muhimu kuamua kubaki na mumeo / mkeo tu. Kwanza tendo la usaliti katika ndoa huwa linamnyima raha sana yule anayesaliti maana ukimwangalia mwenza wako unajisikia mzigo wa maumivu umekujaa moyoni na wala hutapata furaha yoyote katika moyo wako.
Asante
 
Damn...mumeo akiwa na washkaji anajitamba mke wangu hafurukuti nimemweka kiganjani kumbe...dohh! Kumbuka tu maamuzi utakayofanya yana consequence...ikiwa ni pamoja na mume kujua kuwa umechepuka.
 
Hatari si salama mtangulize Mungu uyapite majaribu una piti dada angu....thaman yako iko kwa kuwa aja chojoa chupi aki kuvua tu huna thaman tena
 
Mwaya kikubwa endlea kukazia kwenye maombi umrejeshe mumeo kwenye mood, utafurahi lkn huyo mbwa anataka kkuharibia tu akishakulala ujue hutokuwa na jipya kwake, afu unamweleza nn Mungu kwa ww kuvunja nyumba yako kwa mikono yako mwenyew kama mwanamke badala yakuijenga? Omba sana huyo ni mumeo unauhalali nae maombi yako yanafika kwa Mungu soon. Usithubutu kudanganywa
 
Back
Top Bottom