Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Atakugegeda na atakutupa wanaume huwajui, ikiona kibox manyoya chako huna thamani Tena, tulie na mume wako
 
Jiulize can he take care of u n your children, cause the minute your husband finds out he will dump you.

This guy can he afford to give your children better life n schooling than what they have now.

Desire of a few minutes should never destroy the base of your children, this foolish husband of yours will come to his senses very soon , when he realizes how wonderful and decent his wife is.

I advise you never show him that u know about his stupid ways, totally ignore, make wonders in your home, experience in your cooking for you children don't deman, show total independence, but be a bit selfish in bedroom. NEVER COMPLAIN.

This will make him think, make his mind to wonder.
 
kwanza mwanaume anaekutaka na wewe ni mke wa mtu jua hakupendi wala hana akili
anakupenda kwa sababu anajua wewe ni cheap huna gharama na akishakukula atakuzarau kama takataka vile na kukutangaza utashangaa unatongozwa na ofisi nzima
Dadakee unaongea kama unaka ekspiriensi kias fulani hivi
 
nna imani mume wako wakati unakutana nae kwa mara ya kwanza alikua na hivyo vyote unavyoviona kwa huyo jamaa,..usikubali kumsaliti mume wako kwa mazingira ambayo mumeo alikua nayo na yy tangu mwanzo..cha msingi angalia wapi mlipotetereka mpaka vyote vikapotea kwa mume wako
 
Jiulize can he take care of u n your children, cause the minute your husband finds out he will dump you.

This guy can he afford to give your children better life n schooling than what they have now.

Desire of a few minutes should never destroy the base of your children, this foolish husband of yours will come to his senses very soon , when he realizes how wonderful and decent his wife is.

I advise you never show him that u know about his stupid ways, totally ignore, make wonders in your home, experience in your cooking for you children don't deman, show total independence, but be a bit selfish in bedroom. NEVER COMPLAIN.

This will make him think, make his mind to wonder.
Thanx i appreciate ur wisdom
 
Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.
Mi nimeolewa nna miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa.Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela.Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji km nyumba,usafiri wa maana na two beautiful kids.

Ktk kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu.Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji.Me sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba.Kiufupi ni mke mwema flan!!yes najiamini kwa hilo.Jamaa nishafumania msg za wanawake mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza.Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.

Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now.Kiufupi miezi km 6 iliyopita nimekutana na jamaa ktk kazi flani.Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flan ivi throughout..Tuliclick haraka sana tukawa close.Ilitokea tu sijui kwa nn..Nilinotice jamaa ananicare vby sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.

The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist.Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kbs.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.

Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao.Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz me ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband.Baada ya hapo akanikaushia km wiki.Aisee nilikonda kwa mawazo.Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mm anataka tuspend tym wawili.Kashanialika kwake mara kibao nachomoa.Imefika mahali najiona ntashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:

1.jamaa anajua me ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.

2.Since ni coworker baada ya game ntamwangaliaje ofcn?

3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri.Aisee mi ni mdada nayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.

4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling.Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote,confident about myself na I feel lyk a woman again.

Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence,kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.

Sasa umeshasema Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling.Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote,confident about myself na I feel lyk a woman again.

Sasa kilichokuleta huku nini ushauri gani unautaka .. Mpe tu kwa kuwa umeshasex naye kimawazo na moyoni
 
Una pepo la ngono,jitathmini UPYA.
unapataje fikra na kumlinganisha mume wako na jamaa!!?
KWELI wanawake Mwl WENU kipofu,HASA WEW MWL WAKO KIPOFU,KIZIWI ,MWEHU NA MTEJA!!
 
Sasa umeshasema Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling.Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote,confident about myself na I feel lyk a woman again.

Sasa kilichokuleta huku nini ushauri gani unautaka .. Mpe tu kwa kuwa umeshasex naye kimawazo na moyoni
kuna watu mmekaa kuhukumu tu wenzenu.Nimeeleza navojisikia pengine mawazo yenu yatanipa nguvu ya kushinda hili.Najua its very wrong na namshukuru Mungu ameniepushia hadi leo hakuna anything physical btn us.Nimejitahidi kumu-avoid sana maana kuna kipindi tulikua kwenye mazingira flan very tempting.Just know that it hasnt been easy for me.Hata sasa namshukuru Mungu anayenisimamia najua ntavuka tu salama hili jaribu.Am only a human being and am not perfect.
 
Usijitese Kwa jambo ambalo linawezekana cha msingi mfanye siri, Kwa nini ujinyime kitu roho inatamani utajitesa bure, nakushauri mkubalie hautajuta, mbona mume wako anafanya. Hayo Mambo hayakwepeki kwenye dunia ya sasa
Ibilisi yuko kazini na vijana wake ndio hawa.Mwenyezi Mungu atuepushe
 
  • Thanks
Reactions: JMF
Acha kupotosha ...
Sio napotosha ndugu yeye kaomba Ushauri, na mimi nampa ushauri kwa jinsi ninavyofahamu mimi unatakiwa kufahamu binadamu tupo tofauti wote hatuwezi kuwa na mawazo sawa halafu ungetakiwa umuelewe vizuri mtoa post kama hapa namnukuu
"4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling.Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote,confident about myself na I feel lyk a woman again." mwisho wa kunukuu.
Mimi kama mwanasaikologia mtu akifikia kwenye hatua kama hiyo lazima umshauri positive aendelee na Sio Kurudi nyuma sio vizuri kucheza na hisia,
We live just once maisha ni ya hapahapa duniani, maisha lazima yafurahiwe kadri y'all feelings zetu nzuri how comes feeling nzuri kama hiyo aziache zipite, dada nakusahuri usikilize moyo wako unavyokutuma.
Yaani huku JF kuna watu wanajifanya wanajua kushauri wengine kuliko wanavyojishauri wenyewe.
Dada nakwambia ushauri wetu changanya na zako ila usiutese moyo wako.
Mimi ni male ushauri wangu ni wakiume manake ndio zetu hatuogopagi na wewe usiwe muoga.
Mambo mengine mazuri ni ya kujaribu na kisha unaendelea na maisha yako ya kawaida.
You live only once . Life is enjoyable through such kind of feelings, live your feelings
 
Thanx i appreciate ur wisdom

Please never argue with him or never give him any reason to feel he that you ere jealousy, I am married and I know the value of beautiful decent women n a mother, they are hard to come.

Your value and image at your current position is very high, usijiangushe hata kidini.

Also call your collegue in the office face him with courage, tell him you respect him for admiring you, but he should be decent to respect other pls wife. Kama unaweza muulize JEE angefurahiya kumuona mama yake akimdhulumu babayake, atashtuka ama kukasirika, than tell him that's what I don't want for my children.
 
Ibilisi yuko kazini na vijana wake ndio hawa.Mwenyezi Mungu atuepushe
Ndugu tuheshimihane ushauri unaweza kupokelewa au kutokupokelewa binadamu tupo tofauti tusilazimishane mtazamo.
Sijawahi kuwa kijana wa ibilisi wengine tumesoma sana historia hivyo tunamtazamo hasi sana na hizi dini zilizoletetwa na waarabu,wahindi,wazungu, usidhani watu wote tunaamini kuhusu uwepo wa ibilisi, sijui mungu au shetani.
Acha kukremu maisha
 
Achana nae, siku ukimkubali akakuvua pichu alaf aje kukuacha utatamani kuhama hiyo ofisi.
Alaf ebu jaribu kuwaza kama ndo katumwa akutege then siku unampa gem akurekod itakuwaje?
tunza ndoa yako na muheshim sana mumeo hizo ni tamaa tu potezea zitaisha.
 
Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.
Mi nimeolewa nna miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa.Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela.Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji km nyumba,usafiri wa maana na two beautiful kids.

Ktk kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu.Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji.Me sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba.Kiufupi ni mke mwema flan!!yes najiamini kwa hilo.Jamaa nishafumania msg za wanawake mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza.Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.

Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now.Kiufupi miezi km 6 iliyopita nimekutana na jamaa ktk kazi flani.Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flan ivi throughout..Tuliclick haraka sana tukawa close.Ilitokea tu sijui kwa nn..Nilinotice jamaa ananicare vby sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.

The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist.Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kbs.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.

Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao.Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz me ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband.Baada ya hapo akanikaushia km wiki.Aisee nilikonda kwa mawazo.Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mm anataka tuspend tym wawili.Kashanialika kwake mara kibao nachomoa.Imefika mahali najiona ntashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:

1.jamaa anajua me ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.

2.Since ni coworker baada ya game ntamwangaliaje ofcn?

3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri.Aisee mi ni mdada nayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.

4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling.Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote,confident about myself na I feel lyk a woman again.

Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence,kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.
Piga moyo konde achana na hisia zako yashinde majaribu starehe ya dakika 5 itakuacha nadoa milele achana nae epuka ukaribu nae mwenzako huyo anataka akutafune tu nahujui mapungufu yako mana huyo sio mumeo anaekuwekea siri madhaifu yako huyo atayatoa tu hadharani na utapoteza heshima yako Acha kujiweka karibu nae usikubali kukutana nae falagha shetani anakujaribu ukishindwa shauri zako kila mchuma jangaa
...... tumia akili kujishauri usisukumwe na moyo utajutaaa
 
Back
Top Bottom