Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

Nadra sana kwa mwanamke kukuambia her emotional needs. As a man you will have to figure that out yourself.

Kama wanaishi wote nyumba moja na wanalala wote kitanda kimoja mumewe atajua kuwa kuna tatizo somewhere unless he takes her for granted.

Wanawake are emotionally intelligent and resilient, unaweza ukaona appearance yake ni ya furaha, but deep down she is unhappy.
Asante!
 
Hakika nakwambia ukimvulia chuppi huyo(mwanaume) malaya utakuja kujuta. Kwa uzoefu nilionao, utakapomvulia tu ndoa yako haitabaki salama, usiache kuleta mrejesho
 
IMG-20170512-WA0032.jpg
IMG-20170512-WA0031.jpg
IMG-20170512-WA0030.jpg
IMG-20170512-WA0028.jpg
IMG-20170512-WA0029.jpg


Kama upo tayari kupigwa picha za fumanizi kama hizi alizopigwa mke wa Pe De Shee Javan basi mvulie chupi huyo kamanda. Maana naona hata kazi mtafukuzwa au mtaacha wenyewe.
 
mmmh aisee.... embu kaa chini halafu umwambie afanye hivyo vitu jamaa anavyokufanyia labda utakuwa poa
 
Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.
Mi nimeolewa nna miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa.Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela.Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji km nyumba,usafiri wa maana na two beautiful kids.

Ktk kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu.Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji.Me sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba.Kiufupi ni mke mwema flan!!yes najiamini kwa hilo.Jamaa nishafumania msg za wanawake mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza.Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.

Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now.Kiufupi miezi km 6 iliyopita nimekutana na jamaa ktk kazi flani.Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flan ivi throughout..Tuliclick haraka sana tukawa close.Ilitokea tu sijui kwa nn..Nilinotice jamaa ananicare vby sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.

The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist.Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kbs.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.

Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao.Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz me ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband.Baada ya hapo akanikaushia km wiki.Aisee nilikonda kwa mawazo.Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mm anataka tuspend tym wawili.Kashanialika kwake mara kibao nachomoa.Imefika mahali najiona ntashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:

1.jamaa anajua me ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.

2.Since ni coworker baada ya game ntamwangaliaje ofcn?

3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri.Aisee mi ni mdada nayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.

4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling.Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote,confident about myself na I feel lyk a woman again.

Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence,kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.
Umalaya tu
 
Cheating is wrong

With a workmate tena, hujipendi mama

Keep those legs closed
 
They say, A woman is Strong... And yes your darling....keep that Satan away. Pray every moments ...and don't allow your feelings to drag you to the empty pit of shame.
 
Sisi wanaume tunatumia akili sana huyo jamaa anatumia akili sana kuteka hisia zako anajua umeolewa tena, unafamilia nzuri tu plus mume ambae he is responsible kwenye familia yake, sasa kosa utakolofanya kumvulia chupi huyo jamaa blv me utaleta uzi hapa unajuta kulichofanya.Acha kufuata hisia hilo ni pepo linakuvuta bila ya wewe kujua heshima ulio ijenga miaka yote itapotea kwa muda mfupi sana acha acha kabisa hizo hisia acha kbs dada
 
Mrejesho : Hatimaye shetani kanizidi nguvu nimemvulia yule mfanyakazi mwenzangu picchu. Nimeinjoy penzi lake sitaki nimuache.


Cc:Mleta MADA
 
Uliolewa wa nn. Au uliozeshwa na wazazi ?,hizo no tamaa za mwili Dada. Kwa msemo mqingine ni umalaya na uchangu wa kistarabu.
 
Uzuri wa Shetani akishakuangusha tu anasepa, unabaki peke yako unajishangaa na hutakuwa na msaada. Wahenga walisema, majuto ni mjukuu, Endelea tu mipango yako dada
 
wanatukwaza sana sijui wapoje hawa viumbe
Sahihi ... Ila co wote 2po ivo to that extent, wapo wanaoweza kubadlika endapo wataelezwa wap wanabug n 2po pia ambao hatuwez... and vicevesa is true
 
Leo uko hoi, ukimpa mbunye huyo jamaa atasimamia kucha halafu ndo utashindwa kujielewa na kujicontrol kabisa... Dharau kwa mumeo zitaanza na mwisho wa siku unapoteza ndoa yako.... Jamaa anajua una mume, kwanini asiende kukojoza wengine.... Haya shauri yako..
 
Sahihi ... Ila co wote 2po ivo to that extent, wapo wanaoweza kubadlika endapo wataelezwa wap wanabug n 2po pia ambao hatuwez... and vicevesa is true
we unaweza kubadilika
 
Mtoa Uzi Mungu anakupenda sana. Yaani kuanzia mtu wa kwanza mpaka sasa hakuna mshetwani hata mmoja. Wrote wanakuombea ushinde hayo majaribu. Kama ni lazima uchepuke, kachepuke mbali. Hapo ofcn kwako ikitokea mmeo kaja utajiskiaje? Tena unaweza kuta amepokelewa na huo mchepuko wako.si utazimia wewe? Kifupi follow your God
 
Back
Top Bottom