Black fire
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 755
- 1,324
Nakushauri pia,tulia,jioni rudi mwambie Jirani kumbe ile peni ni Urembo tuuu,pia,kwenda kuyauza kwa sasa hivi subiri kwanza,tulia,maana waliyoyapoteza bila shaka wanayatafuta hadi maeneo watu wanayouzia madini,hivyo waweza kwenda kwa haraka nao wakakudaka,jipe miezi,then kauze kidogodogo,pia acha kushirikisha watu,maana pesa na madini vinaua sana,bila kujali ni Ndugu au mtu baki,pia kuwa makini na PM
Utapeli UtapeliWork
Kesho atakuja mtu kulalamika katapeliwa hela hapa

ByHongera sana bro! Ucende na hiyo pen ila nenda madini hya tena baadh so yote. Umeagana na ukapuku.
Kumbe ni wewe ndio umeiokota enheeee..?
Kuwa makini hata na PM za humu.
Kuwa makini sana na maisha yako tangia sasa... Unapotoka jitahidi asijue yeyote yule hata ndugu yako wa damu. Kosa kubwa umemjulisha mpaka jirani!
Kweli duniani Si mahala salama tena, Tumsifu Yesu kristuUsikurupuke utaweka maisha yako rehani kwa mda nfupi sana
hahahahahahaThen ni pm
Hilo jini broJana katika matembezi yangu ya kutafuta AJIRA mitaa ya Indira Ghandi kule mnazi mmoja, nikapita sehemu moja inaitwa GoldePlaza, ndipo nikaokota peni iliyoandikwa "QUEEN'S GEM & JEWELLERY DAR ES SALAAM" hii peni ni nzito kiasi na ni ya kioo, nilibaki nayo na kurudi nayo hadi home Tabata.
Sasa jana usiku nilipatwa na mshangao [emoji15] baada ya kuona kile kioo kilichopo kwenye peni kutoa mwanga wa ajabu baada ya kuiweka juu ya meza, ilibidi niitoe na kuiweka kwenye bag, leo asubuhi nimeitoa na kuikagua vizuri na hadi sasa nimefikia hatua ya kuivunja na ndani nimekuta vijiwe vinang'aa sana ni kama almasi."sijui sina sifa za madini ya almasi ni zipi"
Kwa yoyote mwenye msaada katika hili anisaidie maana inaweza ikawa ndio nimetusua kwa style hii.
Zishawekwa mwanzon mwa uziWeka pichs
nilikuwa nataka kujua kilichopo ndani
Hyo ni diamonds sema kua makini....Jana katika matembezi yangu ya kutafuta AJIRA mitaa ya Indira Ghandi kule mnazi mmoja, nikapita sehemu moja inaitwa GoldePlaza, ndipo nikaokota peni iliyoandikwa "QUEEN'S GEM & JEWELLERY DAR ES SALAAM" hii peni ni nzito kiasi na ni ya kioo, nilibaki nayo na kurudi nayo hadi home Tabata.
Sasa jana usiku nilipatwa na mshangao [emoji15] baada ya kuona kile kioo kilichopo kwenye peni kutoa mwanga wa ajabu baada ya kuiweka juu ya meza, ilibidi niitoe na kuiweka kwenye bag, leo asubuhi nimeitoa na kuikagua vizuri na hadi sasa nimefikia hatua ya kuivunja na ndani nimekuta vijiwe vinang'aa sana ni kama almasi."sijui sina sifa za madini ya almasi ni zipi"
Kwa yoyote mwenye msaada katika hili anisaidie maana inaweza ikawa ndio nimetusua kwa style hii.
umeshakata kioo??
Jana katika matembezi yangu ya kutafuta AJIRA mitaa ya Indira Ghandi kule mnazi mmoja, nikapita sehemu moja inaitwa GoldePlaza, ndipo nikaokota peni iliyoandikwa "QUEEN'S GEM & JEWELLERY DAR ES SALAAM" hii peni ni nzito kiasi na ni ya kioo, nilibaki nayo na kurudi nayo hadi home Tabata.
Sasa jana usiku nilipatwa na mshangao [emoji15] baada ya kuona kile kioo kilichopo kwenye peni kutoa mwanga wa ajabu baada ya kuiweka juu ya meza, ilibidi niitoe na kuiweka kwenye bag, leo asubuhi nimeitoa na kuikagua vizuri na hadi sasa nimefikia hatua ya kuivunja na ndani nimekuta vijiwe vinang'aa sana ni kama almasi."sijui sina sifa za madini ya almasi ni zipi"
Kwa yoyote mwenye msaada katika hili anisaidie maana inaweza ikawa ndio nimetusua kwa style
weweeeeeeeeeeeeee...madini hayo mkuu...kayauze faster...umenitusuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!Jana katika matembezi yangu ya kutafuta AJIRA mitaa ya Indira Ghandi kule mnazi mmoja, nikapita sehemu moja inaitwa GoldePlaza, ndipo nikaokota peni iliyoandikwa "QUEEN'S GEM & JEWELLERY DAR ES SALAAM" hii peni ni nzito kiasi na ni ya kioo, nilibaki nayo na kurudi nayo hadi home Tabata.