Nimeokoka nimeacha pombe

Ana kucha nzuri
Asante!
Unywaji wa pombe sikuizi umekua kama tamaduni Bar zinafurika vijana kila siku ,Mbaya zaidi vijana wanakunywa pombe bila kipimo watu wanakata maji mbaya , nawaza tu je ni watu hawana furaha na maisha ni stress au ndo furaha imezidi hiki kizazi?
vyote kwa pamoja na sio A frica tu mkubwa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…