Jihadhari na pombe

Jihadhari na pombe

Joined
Mar 21, 2024
Posts
35
Reaction score
68
Matumizi ya pombe kila siku ni Moja ya mambo yanayoathiri sana maendeleo yetu kwenye JAMII.

Takwimu mbalimbali zinatuthibitishia kwamba matumizi ya vinywaji changamshi, beer, konyagi yamekuwa yakiathiri sana maendeleo ya watu.

Kama mdau ninayependa maisha, AFYA ya akili asubuhi ya Leo ninapenda kuwekeza nguvu kukumbusha kuwa Pombe inaathiri sana AFYA, mahusiano na maisha kwa ujumla.

Tafakari chukua hatua!!!!!!
#partmalila #saikolojia
 
Pombe haina shida, kikubwa kunywa kwa kiasi. Hata chakula ukila vibaya kitakuletea changamoto.
 
Matumizi ya pombe kila siku ni Moja ya mambo yanayoathiri sana maendeleo yetu kwenye JAMII.

Takwimu mbalimbali zinatuthibitishia kwamba matumizi ya vinywaji changamshi, beer, konyagi yamekuwa yakiathiri sana maendeleo ya watu.

Kama mdau ninayependa maisha, AFYA ya akili asubuhi ya Leo ninapenda kuwekeza nguvu kukumbusha kuwa Pombe inaathiri sana AFYA, mahusiano na maisha kwa ujumla.

Tafakari chukua hatua!!!!!!
#partmalila #saikolojia
Thanks 🙏 Noted ✍️
 
Suala la athari za pombe ni jambo la mtu binafsi sana ingawa watu wanaodhurika au kuathiriwa na pombe hutengeneza taswira ya pamoja juu ya madhara ya pombe katika jamii.

Kuna watu kila siku akitoka kwenye kazi zake lazima apige chupa kadhaa za bia au pombe kali na bado kimaisha wako juu sana,

Kuna watu hawanusi hata chupa tupu ya pombe na bado ni mafukara wa kutupwa.

CHA KUFANYA:-

* Kaa chini kisha tathmini mwenendo wako binafsi katika unywaji wa pombe ili ubaini kama kuna manufaa kiasi gani au hasara na madhara kiasi gani unayoyapata kupitia unywaji wa pombe.

* Epuka Kutumia ushawishi au kaida za mitaani na watu wengine kuhusu pombe. Kamwe usikubali kushawishiwa kutumia pombe ikiwa wewe mwenyewe hujaamua, usifuate mkumbo.

Zingatia: POMBE si hitaji la lazima maishani mwako, ukiona kila mara unalazimika kutumia pombe, basi tambua kuwa umeangukia kwenye uraibu wa pombe.
 
Matumizi ya pombe kila siku ni Moja ya mambo yanayoathiri sana maendeleo yetu kwenye JAMII.

Takwimu mbalimbali zinatuthibitishia kwamba matumizi ya vinywaji changamshi, beer, konyagi yamekuwa yakiathiri sana maendeleo ya watu.

Kama mdau ninayependa maisha, AFYA ya akili asubuhi ya Leo ninapenda kuwekeza nguvu kukumbusha kuwa Pombe inaathiri sana AFYA, mahusiano na maisha kwa ujumla.

Tafakari chukua hatua!!!!!!
#partmalila #saikolojia
Ulishatumia ukaacha au unashuhudia uongo?
 
Back
Top Bottom