KERO Nimenyimwa Mafao yangu NSSF

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Nina swali jamani...kuna mradi rafiki yangu alikua anafanya kazi, ulisimama 2020...miaka 6 imepita, pesa zake anaweza kuzipata NSSF au ndio muda umeenda?
Anazitoa ila wadau wanamsaidia akisomeka kwa 10 % eti,nchi ngumu sana hii
 
Mkuu ili nipate mpunga wote inatakiwa nikae muda gani bila ajira?
Kama una elimu ya kuanzia Diploma, kwa sheria mpya unakaa miezi mitatu ndio unaenda kufanya mchakato...

Kama elimu ni chini ya hapo, nafikiri hawanaga sababu ya kusubiri zaidi ya mwezi mmoja...

Wataalamu watanisahihisha.
 
Ili wajikopeshe wao hela za watu
 
Wapo sahihi , ungekua huna kazi ingekua ni sawa
 
Ili wajikopeshe wao hela za watu
Wana dhambi sana.😃😃.
Sisi tunateseka Kwa wahindi siku ukitaka kwenda kuchukua Wananuna.
Mara ohoo sio vizuri kuchukua Hela zako.sasa nisubiri miaka 60 Leo?
Mimi naona wangetunga sheria kwamba kazi yoyote utakayofanya muajiri wako akulipe na nssf hapo sawa.ila sio kila kampuni au taasisi ya mtu binafsi inatoa nssf
 
Mifuko ya Jamiii ni usenge na utapeli wa kipumbavu sana
 
Nina swali jamani...kuna mradi rafiki yangu alikua anafanya kazi, ulisimama 2020...miaka 6 imepita, pesa zake anaweza kuzipata NSSF au ndio muda umeenda?
Ili alipwe pesa zake inabidi apeleke barua ya kufukuzwa kazi na akishapeleka Nssf watampa form ataipeleka kwa muajili wake ili ijazwe na kisha anatakiwa kuirudisha Nssf, Nssf wakishaipoke na wakajilizisha watamwambia asuburi wiki mbili kungojea malipo yake anayodai.
 
Kama ni mifuko 2 tofauti kuna ugumu hapo, ila sheria inafaa kufanyiwa marekebisho kuendana na hii hali ya Dunia ya sasa.
 
Kimfumo nssf na psssf bado naona zinategemeana

Kuna sheria inahusiana na kitu kinaitwa "Totalization"; zamani kabla psssf haijaundwa watumishi wote wa serikali mafao yao yalikuwa ni nssf

Ko hi "totalization" inahusisha kuunganisha mafao yako ya nssf na psssf

Ko kuchomoa mafao yako nssf kama mtumishi wa umma italeta shida (nahisi inaweza onekana kama unajaribu kuchomoa mafao psssf)

Cha msingi rekodi ya michango yako nssf bado uwe nayo wakati unaenda kuchomoa psssf mwishoni
 
Siku hizi utaratibu hauko hivyo mzee wangu
 
Nikapigiwa simu na watu wa NSSF nikaambiwa hawataendelea kuchakata ombi la mafao yangu NSSF kwa sababu nimeshaajiriwa serikalini

Hata ingetokea umeajiriwa sekta binafsi, bado wangekubania usipate fao lako la kukosa ajira...

Ukiomba hilo fao inakupasa usipate ajira nyingine yeyote nadhani ndani ya miezi 6 au zaidi...
 
Watu weusi tuna tabia ya kutokua logical.

Tulichomezeshwa tunakishika hicho hicho hatutumii akili zaidi.

Kwahiyo kwakua kazini kwenu mmeambiwa majibu ni haya tu wewe huwezi kufikiria legitimacy ya hayo majibu?
Sawa tumia akili yako mtu mweupe ka claim popote Kwa namna iyo kama utapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…