Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 8,198
- 9,911
Wewe unashida kubwa sanaNdio sababu ya kumpigisha mtu magoti na kutoa bunduki au? hizi akili za mavi mnatoaga wapi

Mwanaume unapigaje goti?Nimeumia sana sababu katika maisha yangu sijawahi kupigishwa magoti na polisi
Kumbe walikuchenjia baada ya Wewe kuwamulika na Taa ya Gari yako? Sasa wao kukufuata na kukuhoji kuna Kosa hadi Wewe ukimbilie kuhamaki Mitandaoni kuwa Wamekutishia?Nimeumia sana ndani ya moyo wangu.
Dk 45 zilizopita nilikuwa na mke na mtoto wa miezi sita tumetoka pharmacy kuchukua dawa na gari. Sababu za kiusalama siwezi taja ni sehemu gani. Navyorudi nikapaki kwenye duka pembeni ya barabara nilikuwa na kiu.
Baada ya kupaki wife nae akawa ananiagiza vitu vingine nikawa sijazima gari na taa. Kumbe mbele yangu kulikuwa na polisi wawili wamevaa sare na wengine wanne hawana sare wapo na silaha. Hakaja mmoja mwenye sare akasema.
Hujui matumizi ya taa? Kwanini unatumulika? Nikabaki nimetahamaki. Maana hata dk 1 au mbili sidhani kama zilikuwa zimeisha. Nikamwambia samahani sikuwaona. Jamaa akaniambia shuka kwenye gari. Nikashuka, wakati nashuka wale jamaa wengine wakawa wamesogea wakaniambia piga magoti.
Kupiga magoti wakaanza kuniuliza unaenda kununua nini? Nikawajibu maji ya kunywa. Wakajibu unatumulika kisa unaenda kununua maji tu. Mwingine akasema hujasikia kwamba unatakiwa kukaaa ndani? Nikawaambia tena samahani maana watu wote pale wakawa wametawanyika.
Basi nikawa nimetulia ila hasira zimenipanda sana nikawa nimekaa kimya. Wakasema nenda. Kuingia kwenye gari jamaa kaja kasema mbona huendi kununua maji? Nikamwambia nimeghairi jamaa akajibu unasemaje?
Polisi akasema mmoja akasema kwanza huyu hatujamkagua mmoja akawa anakoki bunduki. Nikakaa kimya sijajibu kitu. Jamaa wa duka akaawa anafunga faster polisi mmoja akazunguka gari kamulika na torch kaenda hadi kwa wife kamkuta ametulia kamshika mtoto wala hatetereki hata simu hajashika jamaa akawaambia wenzake muacheni. Basi nikasepa.
Nimeumia sana sababu katika maisha yangu sijawahi kupigishwa magoti na polisi wala sijawahi kwenda hata kituo chochote. Nimeamini Watanzania hatupo salama kabisa.
Kumbe walikuchenjia baada ya Wewe kuwamulika na Taa ya Gari yako? Sasa wao kukufuata na kukuhoji kuna Kosa hadi Wewe ukimbilie kuhamaki Mitandaoni kuwa Wamekutishia?
Hivi hili Tukio lako lingetokea Siku nyingine siyo hii ya Kuamkia leo Siku ya Kumbukumbu ya Uhuru wa Tanzania ungekimbia Kuhamaki hivi na kusema Umetishiwa Maisha?
Hivi logically tu unajua kabisa kuwa nchi bado haijatulia kutokana na yaliyotokea Oktoba na huku kuna Matishio ya Maandamano ya Kimapinduzi (ya Fujo, Uharibifu na Visasi) je, Vyombo vya Ulinzi na Usalama vikijipanga kwa kulinda Amani kuna tatizo kwa upande wako? Ni kwanini tunapenda mno Kuzusha mambo, kuleta Taharuki na kutafuta tu Umaarufu wa Kipumbavu?
Na hata kama hao Maaskari wametaka uwaonyeshe Kitambulisho chako je, hapo kuna tatizo? Huoni kuwa hili ni jambo la kawaida mno hasa nchi ikiwa inapitia Changamoto za Kiusalama, Vita na Mapinduzi?
Najua hutonielewa na wala Wapumbavu na Wanafiki wenzako hawatanielewa ila wenye Akili watanielewa vyema sana tu.
Tupunguze Chuki za Kijinga na Uzushi wa Kitoto ili mradi tu upate Sifa na Umaarufu.
Naunga mkono kwa 100% Vyombo vya Ulinzi na Usalama kufanya Kazi yake kwa Ustawi na Amani ya jumla ya Tanzania yangu.
Haya karibuni Mnitukane kama kawaida yenu Majuha (Fools)
Nimeumia sana ndani ya moyo wangu.
Dk 45 zilizopita nilikuwa na mke na mtoto wa miezi sita tumetoka pharmacy kuchukua dawa na gari. Sababu za kiusalama siwezi taja ni sehemu gani. Navyorudi nikapaki kwenye duka pembeni ya barabara nilikuwa na kiu.
Baada ya kupaki wife nae akawa ananiagiza vitu vingine nikawa sijazima gari na taa. Kumbe mbele yangu kulikuwa na polisi wawili wamevaa sare na wengine wanne hawana sare wapo na silaha. Hakaja mmoja mwenye sare akasema.
Hujui matumizi ya taa? Kwanini unatumulika? Nikabaki nimetahamaki. Maana hata dk 1 au mbili sidhani kama zilikuwa zimeisha. Nikamwambia samahani sikuwaona. Jamaa akaniambia shuka kwenye gari. Nikashuka, wakati nashuka wale jamaa wengine wakawa wamesogea wakaniambia piga magoti.
Kupiga magoti wakaanza kuniuliza unaenda kununua nini? Nikawajibu maji ya kunywa. Wakajibu unatumulika kisa unaenda kununua maji tu. Mwingine akasema hujasikia kwamba unatakiwa kukaaa ndani? Nikawaambia tena samahani maana watu wote pale wakawa wametawanyika.
Basi nikawa nimetulia ila hasira zimenipanda sana nikawa nimekaa kimya. Wakasema nenda. Kuingia kwenye gari jamaa kaja kasema mbona huendi kununua maji? Nikamwambia nimeghairi jamaa akajibu unasemaje?
Polisi akasema mmoja akasema kwanza huyu hatujamkagua mmoja akawa anakoki bunduki. Nikakaa kimya sijajibu kitu. Jamaa wa duka akaawa anafunga faster polisi mmoja akazunguka gari kamulika na torch kaenda hadi kwa wife kamkuta ametulia kamshika mtoto wala hatetereki hata simu hajashika jamaa akawaambia wenzake muacheni. Basi nikasepa.
Nimeumia sana sababu katika maisha yangu sijawahi kupigishwa magoti na polisi wala sijawahi kwenda hata kituo chochote. Nimeamini Watanzania hatupo salama kabisa.
Leo umepika sambusa ama vishetiUoga mbaya sana ma ume waponza wengi
Nyie ndo mnaphirwa mnatulia mnatuongezea laana kwa nchi.Hata km sheria hizo ni kandamizi.
Uhai wa mtu huwezi kulinganishwa thamani yake ni chochote duniani.
Naona unahasira sana leo baada ya kuona dalili ya kushindwa kwenda kufanya wizi kwenye supermarkets za watu na kuharibu mali za watu.Nyie ndo mnaphirwa mnatulia mnatuongezea laana kwa nchi.
Kwahiyo kwako uhai muhimu kuliko utu wako? Kubwa jinga wewe!! Hasara kwa taifa.
We *****, polisi ni wangesePropaganda mshaanza ili kutia hofu watu…cjui nyie mboga mboga mkoje.