Nimenusurika kufumwa dakika za mwisho

Ustaarabu au ujinga tu, leo kaanza hivvyo mwanaume umenuna, kesho atanyanduliwa mwaume utazira kumnyandua hapo hakuna issue.

Binafsi ningemtight mpaka atoe password na huo mziki wake sio wa kitoto lazima angeomba msamaha
Password angeitapika tu 😂😂😂
 
Kuficha password ndo patakugharim aisee. Huu ni mgogoro rasmi. Ungeonyesha tu. Ukweli hukuweka huru. Uongo ni gharama sana. Mbali na kwamba yeye ni msaliti basi wewe umeshajiweka mbali naye
 
Mambo mengine ni kujitakia tu matatizo Mke wa mtu unachati na Mwanaume mwingine mambo ya Sex ili iweje? Pole kwa yote usiache kuleta mrejesho.
 
Jamani yeye simu zake zote hanipi passwords na nishamfuma mara nyingi tu,ilikua ni shetani tu na nlichat nae as friends only, halafu jana kanijia ghafla kanipokonya simu kaipekura Kote hajakuta kitu
Sasa yeye anachepuka kwanini akupangie maisha, dah wewe fanya kitu roho yako inapenda bana,Mimi na wangu marufuku kugusana simu Wala kufatiliana kila mtu afanye atakalo.
 
Leo nimejifunza kumbe wengi hatuthamini HISIA na utu wa mwanamke.
Mwenye makosa hasemwi lakini asiye na kosa anatukanwa kweli kweli.
Ipo siku wanawake wa nchi hii watashtuka...wanaume tutateseka sana
Asante kaka umeona mtu ni narcissistic hata shoga hajamuacha mtu unavumilia kisa Jamii na watoto, halafu iwe mm ni mkosa pekee kisa kuchat tu na mtu wala sina mpango wa kutoka nae na wala simjui yupo nchi za nje ,ni kama story tu kupass time
 
Ka mume kako ni kafupi ? Kana kichwa kama koleo? Na ma miguu yana bonge la mavigimbi?.Kaa kwa kutulia katakuua maana vina wivu balaa .
🤣🤣🤣wivu hauchagui urefu wala ufupi humjia yeyote
Hivi wivu ni kipimo cha upendo???
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Mumeo ni mstaarabu sana na umemuonea eeh? Yaani ashtukie kitu na akuombe password ukatae kutoa aki mimi ni mdada ila ningekua ndiye mumeo hiyo password ungetoa kwa hayo mabanzi(makonzi) ungekula, why usitulie na ndoa yako unajitafutia kuachwa buree
Dada plz taratibu wee, usitutishe hapa michepuko mitamu sometimes. Huuhuhuh
 
Sasa yeye anachepuka kwanini akupangie maisha, dah wewe fanya kitu roho yako inapenda bana,Mimi na wangu marufuku kugusana simu Wala kufatiliana kila mtu afanye atakalo.
Hakika kabisaaah, hii principle ni yangu kabisaah, na mahusiano yetu yako vizuri zaidi ya jana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom