Nimenusurika kufumwa dakika za mwisho

Leo nimejifunza kumbe wengi hatuthamini HISIA na utu wa mwanamke.
Mwenye makosa hasemwi lakini asiye na kosa anatukanwa kweli kweli.
Ipo siku wanawake wa nchi hii watashtuka...wanaume tutateseka sana
Nina hakika huyo mume wake angejulikana kama yumo humu na yeye angedondoshewa nyundo.
 
Mumeo ni mstaarabu sana na umemuonea eeh? Yaani ashtukie kitu na akuombe password ukatae kutoa aki mimi ni mdada ila ningekua ndiye mumeo hiyo password ungetoa kwa hayo mabanzi(makonzi) ungekula, why usitulie na ndoa yako unajitafutia kuachwa buree😏😏
Hakuna mume hapo#unaanzaje kuninyima password ya simu yako na tunalala kitanda kimoja.
 
Jamani yeye simu zake zote hanipi passwords na nishamfuma mara nyingi tu,ilikua ni shetani tu na nlichat nae as friends only, halafu jana kanijia ghafla kanipokonya simu kaipekura Kote hajakuta kitu
Huyu ni mwanamke mwenye maumbile ya kiume muache uende Kwa huyo unayechati naye.
 
Acheni kuwalaumu wanawake wakati wanaume ndiyo chanzo na ni wachepukaji sana kwenye ndoa zao.

Sasa nyie wanaume mnaosema utampiga mwanamke hiyo siyo suluhu ya mwanamke kukupenda kumbukeni wanawake wanapitia mitego mingi sana ya kutongozwa na kuhongwa pale wanapo kwama mambo yao.

Mi nshasema sintokaa nimuache au kumpiga mwanamke kisa anachepuka au nimemfuma live akiliwa acha aliwe tu. Mwenye laana ni huyo mlaji itamcost maisha yake.

Huyu mtoa mada kasema ukweli kwanza hakuwa na nia ya kutoka na hicho kichalii walichat for fun tu.
 
Ila mbususu itakuja niua aisee

Nilikula mke wa mtu mitaa ya mafisa yule jamaa alijua alikuwa akinitumia sms za vitisho za kutishia kuniua
 
Jamani yeye simu zake zote hanipi passwords na nishamfuma mara nyingi tu,ilikua ni shetani tu na nlichat nae as friends only, halafu jana kanijia ghafla kanipokonya simu kaipekura Kote hajakuta kitu
Trust me, halijaisha...na litakughalimu pakubwa kwenye ndoa yako. Kama sio muda huu basia kwa muda unaokuja.
 
Hali zenu?

Jamani mwenzenu mume wangu sujawahi mchiti ila yeye nishamfumania mara kadhaa tu.

Basi na mimi nkaamua kuchat na kijana tu yupo nje ya nchi wala sipo in relationship naye ilikua tunachat mambo ya sex tu ila si mpenzi wangu wala chochote na ni mara ya kwanza kiongea na jinsia ya kiume tokea niolewe miaka 8.

Basi akanishtukia alivokuja kuchungulia simu nikafunga mbio simu hapo sasa ndo akashtukia, ila nikagoma kutoa password nkamjibu ni sis wangu tuna mambo yetu hayakuhusu.

Akaniacha ila hajaamini hadi sasa haniongeleshi. Je na wewe ushawahi kunusurika dakika za mwisho? na yule kijana nishamblock sirudii tena.
Mimi nilimuonya asiingie FB....hakunisikiliza...akajiunga...baada ya siku chache alirushiwa picha ya DUSHE...akanionesha eti kumbe huku ndio kuko hivi?

Sasa hivi hataki hata kusikia...labda awe anaingia kimya kimya
 
Akikuacha kuna behewa hapa halina abiria..leo akija jifanye umelala uchi miguu juu nakuhakikishia hasira zitakwisha
 
Hali zenu?

Jamani mwenzenu mume wangu sujawahi mchiti ila yeye nishamfumania mara kadhaa tu.

Basi na mimi nkaamua kuchat na kijana tu yupo nje ya nchi wala sipo in relationship naye ilikua tunachat mambo ya sex tu ila si mpenzi wangu wala chochote na ni mara ya kwanza kiongea na jinsia ya kiume tokea niolewe miaka 8.

Basi akanishtukia alivokuja kuchungulia simu nikafunga mbio simu hapo sasa ndo akashtukia, ila nikagoma kutoa password nkamjibu ni sis wangu tuna mambo yetu hayakuhusu.

Akaniacha ila hajaamini hadi sasa haniongeleshi. Je na wewe ushawahi kunusurika dakika za mwisho? na yule kijana nishamblock sirudii tena.
Kumbe ndio sababu umeniblock eeeh
 
Yaani kiukweli mimi mke wangu akitaka tukosane asitoe password kwa simu yake endapo ninamashaka juu ya jambo fulani.Yaani kwa jinsi scenario ilivyo unaonyesha si mwaminifu na kwangu mm ingekuwa bonge la mgogoro katika ndoa yetu.
Niliwai mpiga mitama demu wangu alitoe mwenyewe tena huku analia.sipendagi ujinga mimi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom