Nimenunua powerbank feki , msianguke nilipojikwaa

Nimenunua powerbank feki , msianguke nilipojikwaa

Pole, vitu vingi sana siyo halisi, mimi nilishaamua kununua vitu kwa dealers au kwa watu wenye kujua nini mteja, hii inasaidia kurejesha kitu kama kinakasoro
 
Pia hata Ww mtoa mada/mnunuaji una makosa, jina la bidhaa ni copy and paste YA Oraimo ambayo wanatoa bidhaa bora, hvy Ww unanunua bidhaa feki.
 
View attachment 3434188

View attachment 3434189

View attachment 3434190

View attachment 3434191

View attachment 3434192

Nimeamua kuweka uzi huu kwasababu hata TBS wanaopaswa kutulinda wamebaki kuwa watazamaji, kuna bidhaa feki nyingi sana mtaani

Kuna bidhaa za kampuni ya ORAIMAB ikiwemo powebank niliyonunua, kaeni nazo mbali.

Sehemu nilipo kumekuwa na changamoto ya umeme, Siku ya jana (Jumanne) nikaingia Facebook kutafuta power bank. Niliona moja ya 10,000mAh kwa bei ya elf 12. Bei ilinipagawisha nilidhani muuzaji kapewa hajui thamani ya kitu anachouza kwasababu bei elekezi ya powerbank za 10000 mAh ni zaidi ya elf 30, Nilimpigia muuzaji, tukakutana nikachukua nikidhani nimeokota embe dodo chini ya mti.

Nikaichaji kwa masaa sita hadi 100%. Asubuhi ya leo umeme ulikatika, nikaiunganisha na simu. Mambo yalianza kunishangaza—charge ikashuka haraka: 100% kwenda 75%, ghafla 50%, ikadrop 25% ikakaa kidogo ikaacha kabisa kuchaji.

Powebank ya 10000 Mah huwa kwa wastani inachaji simu mara mbili, hii ilichaji simu kwa dakika 23 hivi na simu haikufika hata asilimia 30%.

Cha kusikitisha, niliifuta namba ya muuzaji lakini nilipojaribu kusechi upya nikaona kuna matangazo tofauti tofauti ya power bank kama niliyonunua na nyingine kubwa zaidi za mAH 40,000 na mAH 50,000 zote zinauzwa elf 15
Karibu town, karibu tena
 
Asante sana... Katika zama hizi bado kuna watu wanatumia power bank??? Mkuu unatumia Samsung Galaxy S4?
 
Hii 60,000 ya Kwanza inacharge Hadi laptop
Ya pili 150,000
Mswaki WA umeme 30,000
Njoo nikupe vitu og
Hyo ya kwako nauza 4,000 ipo pia
 
Attachments

  • IMG-20250719-WA0273.jpg
    IMG-20250719-WA0273.jpg
    80.7 KB · Views: 19
  • IMG-20250505-WA0039(3).jpg
    IMG-20250505-WA0039(3).jpg
    46.7 KB · Views: 23
  • IMG-20250505-WA0040(4).jpg
    IMG-20250505-WA0040(4).jpg
    65.3 KB · Views: 19
  • IMG-20250802-WA0261.jpg
    IMG-20250802-WA0261.jpg
    58.1 KB · Views: 21
Tatizo kubwa ambalo linalofanya watu kubwatukia bidhaa fake ni kupenda bei kitonga, I'm telling from my experience oraimo product ubora wake ni wa hali ya juu na bei zake ujipange vizuri . Yaani ununue powerbank ya oraimo ya 10000mah kwa 12000tzs hapo lazima upate famba. Njia nyingine unayoweza kubaini original au fake ni ku scan barcodes itakuambia.
 
Hii 60,000 ya Kwanza inacharge Hadi laptop
Ya pili 150,000
Mswaki WA umeme 30,000
Njoo nikupe vitu og
Hyo ya kwako nauza 4,000 ipo pia
Mkuu tukiachana na ndugu yetu hapo juu kutapeliwa elfu 8 juu ya bei halisi ya elfu 4, nauliza hivi vidole ni vyako?.

Au umevaa zile gloves nyeusi za kushikia products wakati wa kushuti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom