Wapi nitapata power banks kwa bei ya jumla

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
802
Hello, naomba kwa yeyote mwenye idea ya zinapopatikana POWER BANKS, hapo Dsm. Sihitaji nyingi sana. Mimi huwa naagiza China na kusupply madukani na kwa wadau wengine, sasa mzigo wetu (KIMI DEV. CONSULT LTD) umechelewa na sitaki kumpoteza mteja wangu fulani mwenye uhitaji wa haraka.

Kwa anaye fahamu au yeye ndo muuzaji basi anipigie kwa SIMU 0754 734009. Ziwe zenye capacity 8400-20,000 mAh.

Na kwa yeyote mwenye kuuza hizi Powerbanks kwa rejareja, NA anahitaji tuwe tunamletea popote alipo, atupe email yake nasi tutampa price quotation na atafurahia bei zetu. ( we source and supply powerbanks, used laptops and tablets- kutoka nje ya nchi).

OFISI yetu ipo Mbeya mjini, na hivi karibuni tunafungua ofisi yetu Sinza Mugabe Dsm.

Asanteni!
KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED
 
mimi ninazo zenye capacity ndogo kesho nitapokea mzigo wa 8400 MaH nauzaga rejareja. Ngoja niikuchekk then tuangalie tunafanyaje biashara
 
mimi ninazo zenye capacity ndogo kesho nitapokea mzigo wa 8400 mah nauzaga rejareja. Ngoja niikuchekk then tuangalie tunafanyaje biashara

umeshapokea mzigo wako? Kama ndio ni ukubwa gani na utaniuzia bei gani kwakuwa nami nataka kuwauzia wateja wangu nimezoea kuwapa, sema mzigo wangu umechelewa.
No yangu 0754 734009, tuwasiliane hata kwa whasapp
 
Mimi ninazo za 20000 mAh wakuu
 
Hello, naomba kwa yeyote mwenye idea ya zinapopatikana POWER BANKS, hapo Dsm. Sihitaji nyingi sana. Mimi huwa naagiza China na kusupply madukani na kwa wadau wengine, sasa mzigo wetu (KIMI DEV. CONSULT LTD) umechelewa na sitaki kumpoteza mteja wangu fulani mwenye uhitaji wa haraka.

Kwa anaye fahamu au yeye ndo muuzaji basi anipigie kwa SIMU 0754 734009. Ziwe zenye capacity 8400-20,000 mAh.

Na kwa yeyote mwenye kuuza hizi Powerbanks kwa rejareja, NA anahitaji tuwe tunamletea popote alipo, atupe email yake nasi tutampa price quotation na atafurahia bei zetu. ( we source and supply powerbanks, used laptops and tablets- kutoka nje ya nchi).

OFISI yetu ipo Mbeya mjini, na hivi karibuni tunafungua ofisi yetu Sinza Mugabe Dsm.

Asanteni!
KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED

Mimi nauza Power Banks kwa rejareja. Ninao mzigo wa kutosha kwa bei ya shilingi 75,000 tu. Napatikana katika simu namba 0714845683, niko Dar es Salaam maeneo ya Kimara Mwisho au Kinondoni Mangoe Garden. :thumbup::thumbup:
 
Attachments

  • 1409968441514.jpg
    1409968441514.jpg
    61.7 KB · Views: 157
  • 1409968531756.jpg
    1409968531756.jpg
    62.1 KB · Views: 161
  • 1409968571906.jpg
    1409968571906.jpg
    71.8 KB · Views: 151
  • 1409968669727.jpg
    1409968669727.jpg
    73.9 KB · Views: 143
  • 1409968705529.jpg
    1409968705529.jpg
    64 KB · Views: 157
Mimi nauza Power Banks kwa rejareja. Ninao mzigo wa kutosha kwa bei ya shilingi 75,000 tu. Napatikana katika simu namba 0714845683, niko Dar es Salaam maeneo ya Kimara Mwisho au Kinondoni Mangoe Garden. :thumbup::thumbup:

Poa mkuu, japo mimi mi nataka bei ya jumla, kwakuwa na mimi husambaza. hizo bei zako ndio nauzia. Thanks anyway!!
 
Back
Top Bottom