Nimenunua LUKU sh 1000/-

Nimenunua LUKU sh 1000/-

Mkuu embu funguka kuhusu kuandika barua, what ifu matumizi yatafika unit 60 kwa mwezi huku ulishaandika barua?

Wanakuchimba Mkwara hautakiwi kuzidisha unit 50 kwa mwezi,familia yetu kijijini karatu wanatumia hiyo hudumu ila mie unit 50 kwa mwezi hazitoshi maana taa za watts 40 zipo 6 nje zinawaka kuanzia saa kumi na mbili jioni mpaka saa 12 asubui(12hrs x 240w~3Units),Friji unit 2 kwa siku,TV +Redio 2units kwahyo kwa siku natumia karibia unit 7 je kwa mwezi units 200!!
 
Hakika huduma za kibenki kwenye simu zimesaidia sana leo hii ilikuwa nilale giza lakini katika kuangalia tigopesa nikakuta kuna shilingi 1200/- nikafanya muamala tanesco nimefanikiwa kupata unit 2 za umeme tosha kabisa mpaka kesho! Da walala hoi tunafurahije?
N:B ukiwa na elf 5000 usinunue umeme kwa kuiweka yote watakata kodi utapata umeme wa sh 3500 badala yake nunua sh 2000, halaf muamala mwingine elf 2000 halaf mwingine elf 1000 utapata unit 12 wakati ukiitoa yote utaambulia unit 7 tu!!!

Kama umesoma hesabu hiyo theory yako si kweli,ukinunua umeme wa 5000 kama Ewura+REA wanakata let's say 1% ya amount hvyo utakatwa 50, na kama ukinunua wa buku 2000 watakata 1% 20,ukinunua wa 1000 watakata 10 kwahyo ni vile vile tu (20+20+10=50)
 
LUKU,Meter 04***8422**,Receipt EVG70***5551,Units 11.40kWh,012* 2678 1126 50*1 5*65,Cost TZS 4,265.60,Timebased TZS 6,734.40,TOTAL TZS 11,000.00

LUKU,Meter 04***8422**,Receipt EVG70**63161,Units 13.40kWh,083* 2450 67*5 60*2 1*01,Cost TZS 5,000.00,TOTAL TZS 5,000.00
 
Wanakuchimba Mkwara hautakiwi kuzidisha unit 50 kwa mwezi,familia yetu kijijini karatu wanatumia hiyo hudumu ila mie unit 50 kwa mwezi hazitoshi maana taa za watts 40 zipo 6 nje zinawaka kuanzia saa kumi na mbili jioni mpaka saa 12 asubui(12hrs x 240w~3Units),Friji unit 2 kwa siku,TV +Redio 2units kwahyo kwa siku natumia karibia unit 7 je kwa mwezi units 200!!

Mkuu tv na rado haziwezi maliza unit 2.
 
Units 41 kwa Tshs. 5,000 ni sawa kwa sisi wenye matumizi madogo ambao hatuzidishi Units 75 kwa mwezi kwani tunauziwa Unit 1 kwa Tshs. 100. Ukipiga hesabu utaona Units 41 tunauziwa Tshs. 4,100, ukiweka makato ya 18%VAT, 3%REA na 1%EWURA inakuwa Tshs. 902, ukizijumlisha unapata Tshs. 5,002. Kumbuka sisi hatulipishwi Service Charge!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Watu wengine kujifanya wajuaji khaaaa 5000 units 41 Tanesco una hisa? 4,000 unit 10.7, 5000 unit 13.6 kwahyo umeme wa 1000 ni unit 2 na point kadhaa hata kama unakaa ntwara au lindi elfu 5 hauwezipata 41units.

Mkuu acha ubishi,kwani ktk matumizi ya umeme kuna makundi yametengwa,ndio maana wanapokuunganishia umeme kwa mala ya kwanza wanakuwekea units 50 ili kujua ni tariff gani wakuweke,kwa kuangalia ni muda gani zimekwisha wanaopata umeme kwa bei ya chini sana ni wenye tarrif 4,akinunua umeme wa 10,000 anapata units 77! kwani huwa hawakatwi service charges,ila mashariti yake ni lazima utakaponunua umeme mala moja lazima zipite siku 30 ndio ununue tena na ni lazima uwe wa kiwango kile kile kama cha mwanzo
na uwe si zaidi ya 20,000 kama mwanzo wakati wanakurekebishia ulianza na umeme wa bei hiyo.ukikosea tu masharti inakuondoa kwenye tariff hiyo,Na wengi ndio wanaposhindwa hapo.Cha muhimu lazima ujue kwanza matumizi yako.Ila kama utaiweza ni nzuri sana mimi umeme wa 20,000 napata unit 130!!!
 
Mmh.... shilingi 5000 kwa uniti 41? Hapana, kwa bei ya umeme ya sasa ilivyopaa, hilo haliwezekani.

Mimi mwenyewe, leo hii nimenunua umeme kwa njia ya simu, nimenunua umeme wa shilingi 8,000 nimeambulia uniti 21 tu!

nisawa kama meter yako imesetiwa kwenye tarrif 4 mi nilienda kwa manager nikabadilishiwa tarrif sasa hivi nanunua Umeme unit moja 100 bila vat halafu hakuna service charge kwa mwezi kwenye tarrif 1
 
Hakuna bei hiyo, labda hiyo itakuwa ni bei ya wanaokuwa subsidized, ambao wapo kunapopita bomba la gesi huko Mtwara, baada ya serikali kunywea, baada ya wananchi wa maeneo hayo kupiga mkwara mzito, kuwa hawako tayari gesi hiyo itoke hata kwenye bomba la kalamu!

hapana mkuu mi Niko Arusha na. pia hapo dar Nina biashara napata hivyo
 
Hakika huduma za kibenki kwenye simu zimesaidia sana leo hii ilikuwa nilale giza lakini katika kuangalia tigopesa nikakuta kuna shilingi 1200/- nikafanya muamala tanesco nimefanikiwa kupata unit 2 za umeme tosha kabisa mpaka kesho! Da walala hoi tunafurahije?
N:B ukiwa na elf 5000 usinunue umeme kwa kuiweka yote watakata kodi utapata umeme wa sh 3500 badala yake nunua sh 2000, halaf muamala mwingine elf 2000 halaf mwingine elf 1000 utapata unit 12 wakati ukiitoa yote utaambulia unit 7 tu!!!

asante sana mkuu kwa ugunduzi wako mkuu. mimi huwa nanunua wa tsh 500 napata unit 1.3 au wa tsh 1000 napata unit 2.7. hata kama ukinunua kidogo, umeme wa tsh 300 ni unit 8 tu! sasa hizo unit 12 wewe unazipataje mkuu? naomba utufafanulie.
 
mh! 5000 unit 41? Meaning 8 units kwa buku moja!
Hapana mkuu!
Buku moja ni around 2.3 units!

1000=2.7 units. hata kama ukinunua kwa pesa kidogo au kwa pesa nyingi hakuna unafuu wowote--ukinunua kidogo unapata unit chache na ukinunua sana unapata unit nyingi--kwa kuwa bei ipo fixed. understand?
 
Mkuu embu funguka kuhusu kuandika barua, what ifu matumizi yatafika unit 60 kwa mwezi huku ulishaandika barua?

ipo computerized iyo huduma ukizdsha matumizi inakurudsha kwenye system ya mwanzo kwa hiyo lazma ujipme matumiz yako kwanza mie huwa natumia unit 57 kwa kila kitu na inanifaa. Barua unaandika tuu kwa meneja kuomba kubadilishiwa matumizi then wanakubadilishia mie nko Dar nanatumia mwaka sasa saafi 7000 kwa mwez
 
Hii ya kuandka barua ili niwe tarif 4,ni haki yangu au mpaka nipite mlango wa nyuma? Naomba nijuzwe.
 
Hii ya kuandka barua ili niwe tarif 4,ni haki yangu au mpaka nipite mlango wa nyuma? Naomba nijuzwe.

unaamua mwenyewe na mahali uliko mie nltaka pita mlango wa nyuma nkaona sio nkaandka cku 3 ikawa tayari ila ukizunguka ni siku iyo iyo
 
asante sana mkuu kwa ugunduzi wako mkuu. mimi huwa nanunua wa tsh 500 napata unit 1.3 au wa tsh 1000 napata unit 2.7. hata kama ukinunua kidogo, umeme wa tsh 300 ni unit 8 tu! sasa hizo unit 12 wewe unazipataje mkuu? naomba utufafanulie.
nunua kwenye simu, kwanza kima cha chini ni sh elf 1000 huwezi nunua umeme wa mia tatu ni uongo!!! nimeshaeleza jaribu uone!
 
Back
Top Bottom