tsh 350/= mkuuKwani unit moja ni shilingi ngapi wadau? Maana wengine siku nyingi tumetumia umeme!
Mimi wa 5000 napata units 7 hiv tatizo n lip?
yaani tanesco ndio kampuni pekee ambayo mteja mwaminifu,hapewi ofa ila anakamuliwa kisawasawa.leo mjanja wewe , na hivi jengo linabomolewa watakusubiri uweke hela nyingi wakukate na hii uliyoikimbia , ili kupapunguza machungu ya ubomoaji.Hakika huduma za kibenki kwenye simu zimesaidia sana leo hii ilikuwa nilale giza lakini katika kuangalia tigopesa nikakuta kuna shilingi 1200/- nikafanya muamala tanesco nimefanikiwa kupata unit 2 za umeme tosha kabisa mpaka kesho! Da walala hoi tunafurahije?
N:B ukiwa na elf 5000 usinunue umeme kwa kuiweka yote watakata kodi utapata umeme wa sh 3500 badala yake nunua sh 2000, halaf muamala mwingine elf 2000 halaf mwingine elf 1000 utapata unit 12 wakati ukiitoa yote utaambulia unit 7 tu!!!
Una deni,ukinunua wanakata 2500 kama deni hiyo nyingine iliyobaki ndio unapata hizo unitsMimi wa 5000 napata units 7 hiv tatizo n lip?
Unit moja =350/=Inawezekana umeme ukawa bei tofauti tofauti,
Elf 10 napata unit 28.1
Elf 15 nimepata unit 42
Asante kwa majibu ila hilo swali naona niliuliza mwaka 2014!tsh 350/= mkuu