Inawezekana matumizi yao hayavuki unit 55 kwa mwezi hivyo hawana makato makubwa na bei ya umeme kwa unit ni ndogo sana tofauti na sisi tunao tumia zaidi ya unit 55 kwa mwezi.mh! 5000 unit 41? Meaning 8 units kwa buku moja!Hapana mkuu!Buku moja ni around 2.3 units!
Watu wengine kujifanya wajuaji khaaaa 5000 units 41 Tanesco una hisa? 4,000 unit 10.7, 5000 unit 13.6 kwahyo umeme wa 1000 ni unit 2 na point kadhaa hata kama unakaa ntwara au lindi elfu 5 hauwezipata 41units.
nunua kwenye simu, kwanza kima cha chini ni sh elf 1000 huwezi nunua umeme wa mia tatu ni uongo!!! nimeshaeleza jaribu uone!
hakika huduma za kibenki kwenye simu zimesaidia sana leo hii ilikuwa nilale giza lakini katika kuangalia tigopesa nikakuta kuna shilingi 1200/- nikafanya muamala tanesco nimefanikiwa kupata unit 2 za umeme tosha kabisa mpaka kesho! Da walala hoi tunafurahije?
N:b ukiwa na elf 5000 usinunue umeme kwa kuiweka yote watakata kodi utapata umeme wa sh 3500 badala yake nunua sh 2000, halaf muamala mwingine elf 2000 halaf mwingine elf 1000 utapata unit 12 wakati ukiitoa yote utaambulia unit 7 tu!!!
Mkuu embu funguka kuhusu kuandika barua, what ifu matumizi yatafika unit 60 kwa mwezi huku ulishaandika barua?
5000 unit 41 ni sahihi kabla ya kupanda ilkuwa unit 53 Asa ivi mpaka 7000 ndo unapata 53! ni sahihi kbs kwan ata mie natumia ivo ivo msiwe wabish wadau ktk hili. Kuna madaraja matatu ya matumizi ya luku sie tunatumia daraja la 3 ambalo lazma uandikie barua tanesco kwa hiyo sio mtwara ni mahala popote
Lakini hiyo tarrif uliyopo si ndiyo hiyo tunayoelezwa kuwa mteja hapaswi kutumia zaidi ya unuti 50 kwa mwezi?nisawa kama meter yako imesetiwa kwenye tarrif 4 mi nilienda kwa manager nikabadilishiwa tarrif sasa hivi nanunua Umeme unit moja 100 bila vat halafu hakuna service charge kwa mwezi kwenye tarrif 1
Unafanyaje ili usilipishwe service charge?Units 41 kwa Tshs. 5,000 ni sawa kwa sisi wenye matumizi madogo ambao hatuzidishi Units 75 kwa mwezi kwani tunauziwa Unit 1 kwa Tshs. 100. Ukipiga hesabu utaona Units 41 tunauziwa Tshs. 4,100, ukiweka makato ya 18%VAT, 3%REA na 1%EWURA inakuwa Tshs. 902, ukizijumlisha unapata Tshs. 5,002. Kumbuka sisi hatulipishwi Service Charge!
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Tzs 5000=14 Units.Hakika huduma za kibenki kwenye simu zimesaidia sana leo hii ilikuwa nilale giza lakini katika kuangalia tigopesa nikakuta kuna shilingi 1200/- nikafanya muamala tanesco nimefanikiwa kupata unit 2 za umeme tosha kabisa mpaka kesho! Da walala hoi tunafurahije?
N:B ukiwa na elf 5000 usinunue umeme kwa kuiweka yote watakata kodi utapata umeme wa sh 3500 badala yake nunua sh 2000, halaf muamala mwingine elf 2000 halaf mwingine elf 1000 utapata unit 12 wakati ukiitoa yote utaambulia unit 7 tu!!!
Service charge imefutwa kwa wateja wote. Imebaki VAT,Ewura,Rea charges.Unafanyaje ili usilipishwe service charge?
Hakika huduma za kibenki kwenye simu zimesaidia sana leo hii ilikuwa nilale giza lakini katika kuangalia tigopesa nikakuta kuna shilingi 1200/- nikafanya muamala tanesco nimefanikiwa kupata unit 2 za umeme tosha kabisa mpaka kesho! Da walala hoi tunafurahije?
N:B ukiwa na elf 5000 usinunue umeme kwa kuiweka yote watakata kodi utapata umeme wa sh 3500 badala yake nunua sh 2000, halaf muamala mwingine elf 2000 halaf mwingine elf 1000 utapata unit 12 wakati ukiitoa yote utaambulia unit 7 tu!!!
Unashangaa wa buku?Hakika huduma za kibenki kwenye simu zimesaidia sana leo hii ilikuwa nilale giza lakini katika kuangalia tigopesa nikakuta kuna shilingi 1200/- nikafanya muamala tanesco nimefanikiwa kupata unit 2 za umeme tosha kabisa mpaka kesho! Da walala hoi tunafurahije?
N:B ukiwa na elf 5000 usinunue umeme kwa kuiweka yote watakata kodi utapata umeme wa sh 3500 badala yake nunua sh 2000, halaf muamala mwingine elf 2000 halaf mwingine elf 1000 utapata unit 12 wakati ukiitoa yote utaambulia unit 7 tu!!!
Kuna kitu kinaitwa TARRIF. Tarrif tofauti bei tofauti.Hakika huduma za kibenki kwenye simu zimesaidia sana leo hii ilikuwa nilale giza lakini katika kuangalia tigopesa nikakuta kuna shilingi 1200/- nikafanya muamala tanesco nimefanikiwa kupata unit 2 za umeme tosha kabisa mpaka kesho! Da walala hoi tunafurahije?
N:B ukiwa na elf 5000 usinunue umeme kwa kuiweka yote watakata kodi utapata umeme wa sh 3500 badala yake nunua sh 2000, halaf muamala mwingine elf 2000 halaf mwingine elf 1000 utapata unit 12 wakati ukiitoa yote utaambulia unit 7 tu!!!
mkuu mbona Mimi nikinunua wa 5000 napata unit 41? Ila kweli ukinunua mwingi wanakupunja, niknunua was 10000 napata 47