Nimenunua friza kubwa ya homebase tsh laki 8 je nimelenga au famba?

Daah nimecheka sana unatunza tv ambazo hauzitumii na mafriji kama huwezi kuuza wape ndugu utafuga nyoka kwa vitu visivyoeleweka daah nimsfurahi kuona kabati sitting room enzi za kwa bibi yangu mbeya na vitambaa vya kufuma safi sana Mkuu...
 
huyo mamdenyi ni kati ya memba wa mwanzo jf kuomba mchango wa pesa humu na tulimchangia anadhani file lake hatuna leo anatuita washamba aje akanushe hapa nifanye yangu na by then tulikuwa wastaarab leo angeonekana tapeli
Kwani kuomba mchango na ushamba kunahusiana nini hivi unawezaje kukaa na hayo mazagazaga ndani yote daah si wape hata madogo au wagawie watu maisha yaende...
 
Kakwambia ukweli ni ushamba wa hali ya juu kujitangaza mdau alikuuliza unatengeneza barafu ukajieleza wee na mapicha maana friji uliyonunua mara nyingi ni wa wafanyabiashara wa barafu na vinywaji baridi.

Kuomba msaada JF sio dhambi halafu tuma screenshot ya huo msaada uliompa. watoa misaada hawajitangazi kihivyo.

Acha ushamba mkuu. Nunua kabati jipya. sebule ipo kianalogy zaidi kuwa kidigitali.

pwee pwee mbwembwe nyiingi mpaka unaeleza uliponunulia simu kujishtukia napo kipaji
na umaskini ni mzigo zaidi mwaka 2013 ulitembeza bakuli humu jf ulizifanyia nini kima wewe

huyo mamdenyi ni kati ya memba wa mwanzo jf kuomba mchango wa pesa humu na tulimchangia anadhani file lake hatuna leo anatuita washamba aje akanushe hapa nifanye yangu na by then tulikuwa wastaarab leo angeonekana tapeli

amecheza na legendari mwache aukalie anadhan kila id ni ya boya
 
Kakwambia ukweli ni ushamba wa hali ya juu kujitangaza mdau alikuuliza unatengeneza barafu ukajieleza wee na mapicha maana friji uliyonunua mara nyingi ni wa wafanyabiashara wa barafu na vinywaji baridi.

Kuomba msaada JF sio dhambi halafu tuma screenshot ya huo msaada uliompa. watoa misaada hawajitangazi kihivyo.

Acha ushamba mkuu. Nunua kabati jipya. sebule ipo kianalogy zaidi kuwa kidigitali.

pwee pwee mbwembwe nyiingi mpaka unaeleza uliponunulia simu kujishtukia napo kipaji
you must be a harlout
 
Back
Top Bottom