Vyovyote iwavyo punguza chenye wanga nyingi na mafuta pamoja na sukari.. Epuka vyakula vya kusindikaAhsante sana.na je kama sina uzito mkubwa natakiwa kuwa na ratiba gani ya kula kwa siku?
[emoji1787][emoji1787] u nailed it.Funga na umuombee mkeo mkuu [emoji23] anapitia wakati mgumu sasa, na ni rahisi kujaribiwa....[emoji23]
Mzee JK wewe hupendi?Mwamba bila shaka ni mzee wa kitimoto bia moja moto moja baridi
Jamaa kafanikiwa kupiga watu kamba[emoji23][emoji23][emoji23]. Kwasababu hata mtu mwenye 110kg bado kabisa hajafika huko atuelezapo. Anaongelea morbid obesity, hizo kilo ni ndogo sana kukufikisha huko utakako tukuamini[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu jamaa naona kaamua kuja kuchekesha jukwaa tu, Uzito wa 95 kg sio sababu ya maelezo ya hali unayoizungumzia labda kama Height yako ni 80 cm.
Unene unahusianaje na kujisaidia kinyesi kingi?
95 kg ndo zikufanye utumie stick maalumu kutype?
NONSENSE
Kumbe kuna watu wenye akili[emoji23][emoji23][emoji23], yaani jamaa na story kaikamia kweli.wewe utakua na kilo kuanzia 150 huko, kilo 95 sio za hivyo kama ulivyozielezea ..pole lakin [emoji55]
vipi mkuu...salama mbona unaguna
πππ Nimecheka jamanππππ Kama mazuri vile π€£π€£π€£π€£.Kama ni kwel umenenepa ivyo nenda mloganzila ukawekewe puto Kama Peter Msechu,utapungua πππππππ€£π€£π€£π€£π π π π ππππ.Wanajamvi za muda huu. Kilichonileta jamvini kwa wajuvi muda huu ni ili tatizo langu linalonisumbua. Nimevunga nimeona hali inazidi kuwa mbaya na hivyo kulazimika kuliweka wazi.
Mimi kiasili nina mwili wa wastani tu, mwaka jana kati kati nikaanza kunenepa. Nilichukulia ni hali ya kawaida. Ila nilizidi kunenepa na kg kuongezeka.
Hivi hapa nilipo nina kilo 95 kasoro. Ngozi ya paji la uso imeshuka chini. Nikiwa nasali wakati wa kula chakula huku nimenyosha mikono, ngozi za vidole zinaning'inia chini na kuchezacheza.
Nikivua nguo tu mwili unafutuka futuka mpaka nahisi aibu mno kwa mpenzi wangu. Chooni kwa kupima tu haraka haraka najisaidia kinyesi kilo kasoro kwa mkupuo. Kama nikiwa kijijini basi natumia maji ndoo kubwa iliyojaa kukamilisha shughuli nzima.
Naumia mno ndugu zangu. Shingoni nyuma yakichwa ngozi zimejjikunja kunja hali inayonilazimu kuvaa kofia walau niifiche hali hiyo.
Nikiwa napeleka moto inanilazimu tumbo langu lote nilikusanye na kulimwaga juu ya tumbo la mpenzi wangu. Kama ni dog basi tumbo langu nalimwaga juu ya mgongo wake.
Hali hii mpaka lini?
Nachoka kuandika msaada tafadhalini.
We ni mwongo ama unafurahisha genge tuWanajamvi za muda huu. Kilichonileta jamvini kwa wajuvi muda huu ni ili tatizo langu linalonisumbua. Nimevunga nimeona hali inazidi kuwa mbaya na hivyo kulazimika kuliweka wazi.
Mimi kiasili nina mwili wa wastani tu, mwaka jana kati kati nikaanza kunenepa. Nilichukulia ni hali ya kawaida. Ila nilizidi kunenepa na kg kuongezeka.
Hivi hapa nilipo nina kilo 95 kasoro. Ngozi ya paji la uso imeshuka chini. Nikiwa nasali wakati wa kula chakula huku nimenyosha mikono, ngozi za vidole zinaning'inia chini na kuchezacheza.
Nikivua nguo tu mwili unafutuka futuka mpaka nahisi aibu mno kwa mpenzi wangu. Chooni kwa kupima tu haraka haraka najisaidia kinyesi kilo kasoro kwa mkupuo. Kama nikiwa kijijini basi natumia maji ndoo kubwa iliyojaa kukamilisha shughuli nzima.
Naumia mno ndugu zangu. Shingoni nyuma yakichwa ngozi zimejjikunja kunja hali inayonilazimu kuvaa kofia walau niifiche hali hiyo.
Nikiwa napeleka moto inanilazimu tumbo langu lote nilikusanye na kulimwaga juu ya tumbo la mpenzi wangu. Kama ni dog basi tumbo langu nalimwaga juu ya mgongo wake.
Hali hii mpaka lini?
Nachoka kuandika msaada tafadhalini.
yani...au basi π πKumbe kuna watu wenye akili[emoji23][emoji23][emoji23], yaani jamaa na story kaikamia kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
litutumbwe unataka ageuke Katutumbwe?litutumbwe
Kwanza jina lako linaakisi maumbile yako[emoji848][emoji2827]
Fanya haya
1. Asubuhi kunywa lita ya maji yenye mchanganyiko wa ndimu na asali.. Usile chochote tena
2. SAA nne pata chochote kisicho na wanga
3. Mchana kula ushibe
4. Jioni pata juice fresh
5. Usiku kula matunda na salad tuu
Asante sana[emoji38][emoji38][emoji38] Nimecheka jaman[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kama mazuri vile [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Kama ni kwel umenenepa ivyo nenda mloganzila ukawekewe puto Kama Peter Msechu,utapungua [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119].
Hujui yaliyonkuta bora ukae tu kimyaWe ni mwongo ama unafurahisha genge tu
95kg huwezi kuwa hivyo unavyosema labda uwe andunje
Ngozi kulegea na kuning'inia ni baada ya kunenepa kisha ukapungua, ukiwa umefura ngozi inakuwa intact
Hahahlitutumbwe unataka ageuke Katutumbwe?
Dada nimekutamani plz nipe tundaNa nyjnyi mnakula kula sana
Tena huyu litutumbwe awekewe puto la tofali, maana tumbo lake lunazslisha nyongo kali kuliko ya mamba inayeyusha chakula chote ndani ya sekunde 3 tu.πππ Nimecheka jamanππππ Kama mazuri vile π€£π€£π€£π€£.Kama ni kwel umenenepa ivyo nenda mloganzila ukawekewe puto Kama Peter Msechu,utapungua πππππππ€£π€£π€£π€£π π π π ππππ.
SawaPole mkuu, ila unavosimulia mi hoi[emoji2][emoji2][emoji3] wakati wa kupeleka moto tumbo unalikusanya na kulimwaga juu ya mpenzi wako[emoji3]
Fanya mazoezi, zingatia mlo kamili(matunda)